TANU na ASP vilikutana na vikwazo kama hivi kutoka kwa wakoloni

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Wakoloni walivizuia vyama vya TANU na ASP kushinda chaguzi kwa mbinu kama hizi zinazotumika sasa hivi kuzuia vyama vingine kushinda chaguzi.

Kila mtu anajua na anaona kama uwanja wa uchaguzi hauko sawa kwa vyama vyote. Uwanja haukuwa sawa waziwazi wakati wa akina Nyerere na Karume wakidai Uhuru wa nchi zao na hauko huru leo wakati wa utawala wa watu weusi wenyewe. Mbinu na mitego ni ileile kama iliyokuwa ikitumiwa na wakoloni, tofauti yake ni rangi ya wategaji mitego hiyo.

Madaraka yalikuwa matamu kwa wakoloni na ni matamu kwa watawala wa leo. Mbinu zilizotumiwa na weupe sio za kificho na zinazotumiwa na weusi sio za kificho pia.

Swali hapa ni je, akina Nyerere na Karume walitumia njia zipi kuvishinda vikwazo na wapinzani wa sasa wanatumia njia zipi kuvishanda vikwazo?

Je, mbinu walizotumia akina Nyerere bado zinafaa katika zama hizi?
 
..Mwalimu Nyerere na Tanu hawakukutana na vikwazo na ukatili wanaopitia wapinzani chini ya Ccm na dola.

..Mfano mdogo tu, hakuna taarifa zozote kwamba Mwalimu Nyerere aliwahi kukamatwa, kupigwa, na kudhalilishwa, na jeshi la polisi la Waingereza.

..Mfano mwingine, uchaguzi wa 1958 na 1960 ambazo zilisimamiwa na Wakoloni wa Kiingereza hakuna mgombea wa Tanu aliyeenguliwa.

Cc Nguruvi3, Mohamed Said, Fundi Mchundo
 
Yaani kwenye mechi ya Simba na Yanga, halafu Yanga Eng. Hersi anamteua refa, waamuzi wasaidizi, kamisaa wa mechi; na kumteua Ally kamwe kuwa mwenyekiti wa kamati ya masaa 72. Simba wakitaka kulalamika kuhusu mechi hiyo wanakutana na adhabu kali pamoja na kupokwa alama 3. Hivi katika mazingira kama hayo ni kichaa yupi ataona hiyo ni sawa,

Je, Simba wangepaswa kutumia njia ipi kusema hiyo hapana, dialogue au violence??
 
..Mwalimu Nyerere na Tanu hawakukutana na vikwazo na ukatili wanaopitia wapinzani chini ya Ccm na dola.

..Mfano mdogo tu, hakuna taarifa zozote kwamba Mwalimu Nyerere aliwahi kukamatwa, kupigwa, na kudhalilishwa, na jeshi la polisi la Waingereza.

..Mfano mwingine, uchaguzi wa 1958 na 1960 ambazo zilisimamiwa na Wakoloni wa Kiingereza hakuna mgombea wa Tanu aliyeenguliwa.

Cc Nguruvi3, Mohamed Said, Fundi Mchundo
Kwani Mwl Nyerere na Mzee Karume walitumia njia zipi kupambana na vikwazo vya serikali ya mkoloni hadi kuingia Ikulu? Kwani wapinzani wetu hawazijui mbinu hizo? Au ni hizihizi ambazo wanazitumia sasa hivi.

Baadhi ya mbinu walizotumia wakoloni kuwazuia akina Nyerere na karume waziende Ikulu ni pamoja na:
1. Kuzuia mikusanyiko ya akina Nyerere
2. Kuzuia maandamano
3. Mbinu za kupiga kura tatu siku ya uchaguzi
4. Kuwarubuni/kununua baadhi ya viongozi wa upinzani ili kuungana nao dhidi ya akina Nyerere
5. Kugoma kuwatangaza akina Nyerere hata kama wameshinda kura na kujitangaza wao wenyewe kama washindi
6. Kuweka kizuizini viongozi na wafuasi wa akina Nyerere na Karume
7. Kuwabeza akina Nyerere kuwa hawajakomaa enough kuongoza nchi, waendelee kujiimarisha.
 
..Mwalimu Nyerere na Tanu hawakukutana na vikwazo na ukatili wanaopitia wapinzani chini ya Ccm na dola.

..Mfano mdogo tu, hakuna taarifa zozote kwamba Mwalimu Nyerere aliwahi kukamatwa, kupigwa, na kudhalilishwa, na jeshi la polisi la Waingereza.

..Mfano mwingine, uchaguzi wa 1958 na 1960 ambazo zilisimamiwa na Wakoloni wa Kiingereza hakuna mgombea wa Tanu aliyeenguliwa.

Cc Nguruvi3, Mohamed Said, Fundi Mchundo
Mwl Nyerere alisema hakuwa anawapinga makaburu kwasababu ya rangi yao ya ngozi bali vitendo vyao. Mwl alisema hata mwenye rangi nyeusi kama akifanya vitendo vya kubagua watu ni kabuuuru tu pia, atampinga.

Viongozi wetu wa Afrika wanajificha kwenye kichaka cha amani na utulivu katika kuwafanyia raia wao mabaya ili waendelee kutawala. Ukienda Rwanda, Uganda, Zimbabwe, msumbiji, nk kuko pia shwari kama hakuko shwari vile; manung'uniko ni mengi. Nchi hizo zote kuna vikundi vya watu wachache wenye vinasaba vya undugu, urafiki na uchawa kutoka viongozi wa zamani waliohai na waliokufa wanaoungangana na viongozi wa sasa wanaojumuisha ndugu, marafiki na machawa wao. Yaani ili makundi haya yadumu yatakusanyana vizazi vya viongozi wa zamani, marafiki zao na machawa wao pamoja.

Nimesoma na jamaa mmoja na tulikuwa tunakaa chumba kimoja na kozi moja, na nikuwa namshinda darasani, lakini kwakuwa mwenzangu baba yake alikuwa rafiki na mtu ambae baadae aliupata uongozi ghafla akawa mbunge na baadae waziri kabisa. Nikamuuliza umefanyaje mwenzangu akasema nimeshauriwa nikachukue fomu mengine niwaachie wao.
 
Wakoloni walikuwa ni watu wenye hekima na busara na siyo haya majangili yanayotuongoza kwa sasa
Hiyo inafahamika karibu kwa kila mtu, kinachokosekana ni viongozi wenye akili na maarifa kama akina Nyerere na Karume. Wapinzani wa sasa hawana busara wala hekima pia. Akina Nyerere na Karume walikuwa wanavieneza vyao vyao hadi vijijini na kila sehemu. Wakati akina Nyerere wakidai uhuru hawakusema kuwa kama watapata uhuru watataifisha mali za wageni wote na kuwafukuza wakoloni. Wao walikuwa wapole wakati wanadai uhuru na kuwa wakali baada ya kuupata uhuru. Hawa akina Lissu wanakuwa wakali kwa katiba, viongozi, muungano na kila kitu cha CCM hata kabla ya kuingia Ikulu, nani akupe IKulu?

Wapinzani wangeendelea kujenga ofisi za vyama vyao kila kijiji ili kuonyesha ukubwa na utayari wao wa kushika dola, wangeikubali hali ilivyo sasa hadi hapo watakapokuwa wameingia Ikulu. Mfano, hata kule marekani kama kikitokea chama kikatangaza kuvunja muungano wa USA na kuyapa uhuru majimbo bila shaka chama hivyo kitafutiliwa mbali na chama tawala.
 
Wakoloni walivizuia vyama vya TANU na ASP kushinda chaguzi kwa mbinu kama hizi zinazotumika sasa hivi kuzuia vyama vingine kushinda chaguzi.

Kila mtu anajua na anaona kama uwanja wa uchaguzi hauko sawa kwa vyama vyote. Uwanja haukuwa sawa waziwazi wakati wa akina Nyerere na Karume wakidai Uhuru wa nchi zao na hauko huru leo wakati wa utawala wa watu weusi wenyewe. Mbinu na mitego ni ileile kama iliyokuwa ikitumiwa na wakoloni, tofauti yake ni rangi ya wategaji mitego hiyo.

Madaraka yalikuwa matamu kwa wakoloni na ni matamu kwa watawala wa leo. Mbinu zilizotumiwa na weupe sio za kificho na zinazotumiwa na weusi sio za kificho pia.

Swali hapa ni je, akina Nyerere na Karume walitumia njia zipi kuvishinda vikwazo na wapinzani wa sasa wanatumia njia zipi kuvishanda vikwazo?

Je, mbinu walizotumia akina Nyerere bado zinafaa katika zama hizi?
Sijui utakuwa na umri mdogo? Jikumbushe Karume alivyopata uhuru kutoka kwa sultani! Damu ilimwagika!
 
Ni wakoloni gani hao? Tanganyika haikuwa koloni kama unavyodhani, Tanganyika ilikuwa chini ya Umoja wa Mataifa ndiyo sababu Nyerere alikuwa anakwenda kujieleza uwezo wetu ulipofikia kuweza kujiongoza(kujitawala), waliporidhika wakamuamuru Mwingereza aliyepewa usimamizi aondoke, sisi tulikuwa tofauti na nchi nyingine na ndicho chanzo cha sisi kukosa ujasiri wa kudai haki zetu tunapodhulumiwa.
 
Hebu tukumbushe mazingira yaliyosababisha akina Mzee karume na wenzake wamwage damu. Walifikishwa kona gani hadi washindwe kuvumlia?
 
Ni wakoloni gani hao? Tanganyika haikuwa koloni kama unavyodhani, Tanganyika ilikuwa chini ya Umoja wa Mataifa ndiyo sababu Nyerere alikuwa anakwenda kujieleza uwezo wetu ulipofikia kuweza kujiongoza(kujitawala), waliporidhika wakamuamuru Mwingereza aliyepewa usimamizi aondoke, sisi tulikuwa tofauti na nchi nyingine na ndicho chanzo cha sisi kukosa ujasiri wa kudai haki zetu tunapodhulumiwa.
Kila jambo lina chanzo chake (natural history). kumbe watanganyika tuko hivyo mbona akina Lissu wanaweza kudai haki zao katikati ya vyombo ya dalo? Huu ujasiri wao unasababishwa na nini, unatoka wapi, wana nini? Na hawa watanganyika wasioweza kudai haki zao za kidemokrasia woga wao unasababishwa na nini, unatoka wapi, wana nini?
 
Wakoloni walikuwa ni watu wenye hekima na busara na siyo haya majangili yanayotuongoza kwa sasa
Kosa wanalofanya akina Lissu na wenzake ni kudhani kuwa watanzania hawajui kama uwanja wa kidemokrasia umeinamishwa, hauko tambarare' wanadhani wananchi wanahitaji kuambiwa kitu wanachokijua na kukiona kwa macho yao. Ila kitu wasichokifahamu wakina Lissu ni kwamba CCM haijafikia red lines za watanzania kiasi cha kutaka kudai haki zao hata ikibidi kufa. Watanzania bado wanazo fursa nyingi chini ya CCM. Bado wanayo ardhi, wanalima, kufuga na kuvua bila bughudha; 92% ya wanaofanya biashara hawalipi kodi. Wanaofanya biashara ya unga wa dona wanaweza kuuza na bia na sumu ya panya kwenda kiduka hichohicho; na hakuna ubaguzi; hata wana CCM pia wanaishi maishi hayohayo wanayoishi wasiokuwa wanaCMM; yaani wanaishi pamoja na wanapigika pamoja kwenye huduma zote za kijamii. Hii ni tofauti na wakoloni ambao ubaguzi wa rangi na huduma ulikuwa mkubwa sana.
 
Hilo hata mimi nimeliona sana, bado uchumi wa mtu mmoja mmoja haujafika ile point ya kutuvumilika, bado kibinyo huko kwa wafanyabiashara hakijakaa kisawasawa.

Mtu ni anaipenda chadema/Act lakina anajua akiwa na kadi ya ccm kuna baadhi ya huduma anapata kirahisi, huyu akipima mzani anaona bora aishi hivyohivyo ilimradi anapeleka familia chooni.
 
Nafuu ya mkoloni na siyo CCM, umewahi kusikia mtoto wa masikini ameteuliwa kuwa KM/CEO/RC/RAS/DC/DAS/DED/ n.k ambaye siyo ndugu wa mkubwa au mwana CCM? Kwenye msiba wa ajira kuna mtoto wa Rais/Makamo/PM/Waziri/CEO/RC/RAS/DC/DAS/DED/Mbunge analalamika tatizo la ajira au yupo VETA?
 
Kila jambo lina chanzo chake (natural history). kumbe watanganyika tuko hivyo mbona akina Lissu wanaweza kudai haki zao katikati ya vyombo ya dalo? Huu ujasiri wao unasababishwa na nini, unatoka wapi, wana nini? Na hawa watanganyika wasioweza kudai haki zao za kidemokrasia woga wao unasababishwa na nini, unatoka wapi, wana nini?
Uoga ulisababishwa na kutotawaliwa, kutawaliwa kunajenga ujasiri wa kutovumilia manyanyaso.
 
Kila jambo lina chanzo chake (natural history). kumbe watanganyika tuko hivyo mbona akina Lissu wanaweza kudai haki zao katikati ya vyombo ya dalo? Huu ujasiri wao unasababishwa na nini, unatoka wapi, wana nini? Na hawa watanganyika wasioweza kudai haki zao za kidemokrasia woga wao unasababishwa na nini, unatoka wapi, wana nini?
Watoto saba wa baba na mama mmoja wanaweza kuwa watulivu sana kwenye familia mpaka majirani wakawpenda lakini unaweza kukuta mmoja wao ni balaa utadhani ng'ombe aliyekata kamba.
 
Hilo hata mimi nimeliona sana, bado uchumi wa mtu mmoja mmoja haujafika ile point ya kutuvumilika, bado kibinyo huko kwa wafanyabiashara hakijakaa kisawasawa.

Mtu ni anaipenda chadema/Act lakina anajua akiwa na kadi ya ccm kuna baadhi ya huduma anapata kirahisi, huyu akipima mzani anaona bora aishi hivyohivyo ilimradi anapeleka familia chooni.
Hii ndio inayosababisha hata wapinzani wakiwekwa korokoroni huoni wananchi wakihangaika sana na jambo hilo; wanaendelea na shughuli zao za kusaka tonge, maana njia za kusaka tonge bado zipo na zinapatikana. Watanzania wako huru kwelikweli; wanakula bila kufanyakazi, wanabet, kucheza pool na kwenda viwanjani kuangalia Simba na Yanga hata siku za kazi. Watanzania hawawezi kukubali kuachana (foregone) starehe kama hizi kirahisi eti kwakuwa Lissu anataka kwenda Ikulu. Iko siku CCM itang'oka kirahisi sana bila hata kutumia nguvu nyingi na wananchi watazirudisha mali zote zilizoibwa na watawala hata kama mali hizo zitakutwa kwa wajukuu zao.
 
Nafuu ya mkoloni na siyo CCM, umewahi kusikia mtoto wa masikini ameteuliwa kuwa KM/CEO/RC/RAS/DC/DAS/DED/ n.k ambaye siyo ndugu wa mkubwa au mwana CCM? Kwenye msiba wa ajira kuna mtoto wa Rais/Makamo/PM/Waziri/CEO/RC/RAS/DC/DAS/DED/Mbunge analalamika tatizo la ajira au yupo VETA?
Shida ni pale Prof. mahiri anapokimbia chuoni kuzalisha wataalam na kwenda kuwa RC au waziri wa Michezo
 
Hii ndio inayosababisha hata wapinzani wakiwekwa korokoroni huoni wananchi wakihangaika sana na jambo hilo; wanaendelea na shughuli zao za kusaka tonge, maana njia za kusaka tonge bado zipo na zinapatikana. Watanzania wako huru kwelikweli; wanakula bila kufanyakazi, wanabet, kucheza pool na kwenda viwanjani kuangalia Simba na Yanga hata siku za kazi. Watanzania hawawezi kukubali kuachana (foregone) starehe kama hizi kirahisi eti kwakuwa Lissu anataka kwenda Ikulu. Iko siku CCM itang'oka kirahisi sana bila hata kutumia nguvu nyingi na wananchi watazirudisha mali zote zilizoibwa na watawala hata kama mali hizo zitakutwa kwa wajukuu zao.
Kwahiyo ni suala la muda?? Kwa makadirio yako ni muda gani unaipa ccm??
 
Back
Top Bottom