TANU na ASP vilikutana na vikwazo kama hivi kutoka kwa wakoloni

Kwahiyo ni suala la muda?? Kwa makadirio yako ni muda gani unaipa ccm??
Siku utakapoaana serikali inatoza kodi kwa kila mtu, bodaboda na machinga wamekosa sehemu ya maegesho na kufanyia biashara, ardhi ya kulima, kujenga na kufugia imepungua au imekwisha, haipo ujue kuwa muda wa CCM kuanguka umekaribia. Maana uholela kwa kila kitu ndio kete turufu ya kukubalika kwa CCM.
 
Professor mwenye maproject yake makubwa hawezi kukubali uteuzi wa kuwa DC au waziri. Shida yetu tuna maprofessor wanaosubiri mshahara mwisho wa mwezi.
Hela ya kwenye siasa ni nyingi halafu hutumii nguvu, RC/DC akiamua kila mwezi kupata milioni 100 kutoka kwa wafanyabiashara wala rushwa na wakwepa kodi na halmashauri hakosi kwa mwezi, na ndiyo wengi wanafanya hivyo.
 
Huu ni msiba mkubwa kwa taifa. Vyuo vinabakia na maprofessor wasiokuwa na ujuzi hata kidogo; wanapata uprofessor kwa machapisho ya wanzafunzi tu huko wale maprofesa wa Harvard wakiwa kwenye siasa.
 
Jenister ana diploma ni Waziri anavuta parefu 18M kwa mwezi nje na posho kibao + rushwa, mikopo 1B unalipa nusu, pensioni 300M baada ya miaka 5 tu, wewe ni Professor unakesha unasoma baada ya miaka 60 unapewa 120M na mshahara wako kwa mwezi hauzidi 7M, si utakuwa mjinga kuendelea kundisha watu huku failures wanalipwa pakubwa haswa. Mbunge/Waziri ndani ya miaka 5 ana uhakika wa kutengeneza zaidi ya 5B, wewe una u-Professor wako kwa miaka 60 hautazidi milioni 500 (mishahara + posho zako zote).
 
msomi wa tz ukimwambimbia tugome tudai mshahara hataki kwakuwa anatarajia siku moja atapata uteuzi kuwa mwenyekiti wa bodi au ubunge kutoka juu. Atahangaika tu na tafiki zenye matokeo ya kubumba. Utamkuta professor ana glossary ya kuuza pombe na kiti moto, wengine wanafuga nguruwe na wengine wanahangaika na kulima matikiti; ari ya kufundisha hawana.
 
Hata wao baada ya kudai uhuru hawakutaka wengine wawe huru yaani kuwaondoa kwenye ulaji.
Hakuna rangi hawakuona upinzani ulikuja kuruhusiwa baada ya wao kuachia madaraka.
 
Nijuavyo mimi akina Lissu hakuna rangi ambayo hawataiona kwenye demorasia za Afrika. Ataungana tu na akina Kambona, Fundikira, Ibrahim Babu, maalim Seif, Jumbe, nk kwenye orodha yao. Watakaoiangusha CCM ni wanaCCM wenyewe.
 
Wakoloni walikuwa ni watu wenye hekima na busara na siyo haya majangili yanayotuongoza kwa sasa
Kuna miundombinu iliyo jengwa na wakoloni KABLA YA UHURU ambayo sisi Kama taifa hatujaweza kujenga mpaka Leo.

Hii nchi ili iendelee inabidi BRAINY ziingie kwenye siasa kuliko ivi Sasa brainy zipo BENCH.

Niliwai kumnukuu ASKOFU GWAJIMA akisema TUWE NA VIPAO MBELE VYA MUDA MREFU NA TU FOCUS NAVYO KULIKO IVI SASA KILA MTU ANAJIENDEA ENDEA HATUNA MALENGO YA MUDA MFUPI WALA MIREFU.
 
Ni kweli, ona hivi sasa, tunatifua barabara tulizojenga kwa mkopo ili tujenge barabara za mkpo za mwendokasi. No planning.
 
Waliwaondoa wakoloni ila wao kuondolewa hawataki
Eti wao ndio wajua nini watanzania wanataka, eti wao ndio wana uchungu sana na nchi, eti wengine wote hawataweza kuongoza, eti bila wao china hawatakuwa marafiki zetu, eti wengine wote watalitumbukiza taifa kwenye vita na amani itatoweka.
 
Walipigania maslai yao binafsi
 
Kuna miundombinu iliyo jengwa na wakoloni KABLA YA UHURU ambayo sisi Kama taifa hatujaweza kujenga mpaka Leo.

Hii nchi ili iendelee inabidi BRAINY ziingie kwenye siasa kuliko ivi Sasa brainy zipo BENCH.

Niliwai kumnukuu ASKOFU GWAJIMA akisema TUWE NA VIPAO MBELE VYA MUDA MREFU NA TU FOCUS NAVYO KULIKO IVI SASA KILA MTU ANAJIENDEA ENDEA HATUNA MALENGO YA MUDA MFUPI WALA MIREFU.
Sure
 
msomi wa tz ukimwambimbia tugome tudai mshahara hataki kwakuwa anatarajia siku moja atapata uteuzi kuwa mwenyekiti wa bodi au ubunge kutoka juu. Atahangaika tu na tafiki zenye matokeo ya kubumba. Utamkuta professor ana glossary ya kuuza pombe na kiti moto, wengine wanafuga nguruwe na wengine wanahangaika na kulima matikiti; ari ya kufundisha hawana.
Mifumo yetu hasa Katiba ni ya kijinga sn haina faida kwa watanzania
 
Nikamsikia mama Samia anasema katiba ni kijitabu..eti watanzania hawana ELIMU Wala hawaijui katiba yao.. anasema katiba iliyopo HATUIJUI WHY TUTAKE NYINGINE hivyo kasema kutaka katiba mpyaa ni mawazo ya wachache.

Hivyo mama Samia aka cement kua tuanze na ELIMU ya KATIBA kwanza then ndipo ifuate KATIBA MPYA.

NOTE.
UTAFITI WANGU NA SABABU YA KUKWAMA KWA KATIBA MPYA NI KUHUSU ""MUUNDO WA SERIKALI YA MUUNGANO"" JE IWE MOJA , MBILI AMA TATU.

CCM INATAKA SERIKALI MBILI.. WAPINZANI & WATANGANYIKA WENGI WANATAKA SERIKALI TATU...WENGINE WANATAKA SERIKALI MOJA ILA ZANZIBAR HAITAKI SERIKALI MOJA MAANA NCHI YAO ITAMEZWA NA MUUNGANO.

yaan sina Imani kwa CCM hii Kama itatupa katiba mpya na boraa.
 
Zanzibar inatakiwa iwe ni Mkoa kama ilivyo Kigoma au Manyara, na Mwinyi anatakiwa awe Mkuu wa Mkoa
 
Back
Top Bottom