Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Tusi ilaumu timu yetu, Leo DRC imecheza Kama timu yenye wachezaji wenye uzoefu mkubwa. Magoli yao mawili ya Kwanza yameamuliwa na viwango binafsi vya wachezaji. Tunatakiwa tuwe na wachezaji wengi wanao cheza nje hasa Ulaya.
 
Timu mbovu ,wanafungwa hafu huoni hata wakijitutumia .miaka yote wanajifunza
 
Soka la Bongo utazani tumelogwa ukiwa na presha usiende kutazama unaweza kufia uwanjani km Vivian Efoe bao 3 nyumbani inauma sana.
 
Unachanganya MADESA....

Kwa kuwa KIVU YA KASKAZINI ,BENI NA KWINGINEKO KULE CONGO kumetulia shwari kabisaaaa?!!!!

Beni, Kivu Kaskazini huko ni suala la waasi (ADF, M23, Lord Resistance, nk) dhidi ya wakongo. Wakongomani wako pamoja dhidi yao.

Kwetu ni serikali yaani Sirro, Kingai, Sabaya na binamu zao dhidi yetu.

Siyo siri umoja wetu kama watanzania haupo tena.

Mshikamano haupo tena
 
Ba Tanzania bameokota ba 3 kunyavu[emoji23]
IMG_0950.jpg
 
Back
Top Bottom