escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Kwani hizo 1.6 Billion haziwezi kulipwa TBL na SBL watu tunywe bia hadi asubuhi kupunguza stress?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeBora tumefungwa..Ungesikia mama wa kipemba anasifiwa kama kacheza yeye
Mbona tumeshatoka kwao?Mbona Benin walitupiga kamoja nasi tukawapiga hako hako! Tukienda Kamanyola tunawapiga 3 kama wamesimama!
Wana hangover ya JiweZiliwahi kuisha Mkuu?
Jeshini inakwenda kama adhabu. Na baada ya hapo timu inavunjwaTimu ipi ya majeshi iliyofanya vizuri kwenye ligi kuu ya Tanzania?
Unachanganya MADESA....Nchi imejaa uchuro tushinde vipi?
Mahakamani makesi ya ajabu ajabu watu wanamshtakia Mungu mfululizo:
View attachment 2007100
Tungeambia mama Samia kafunga😜!Bora tumefungwa ungesikia asante fulani asante ccm kwa kututoa kimaso maso.
Wanasiasa waache kuingilia swala la mpira
👍Hatujapata matikeo tuliyo tarajia, ila tumecheza mpira mzuri, Tutengeze timu tu kwa ajili ya baadae
Unachanganya MADESA....
Kwa kuwa KIVU YA KASKAZINI ,BENI NA KWINGINEKO KULE CONGO kumetulia shwari kabisaaaa?!!!!
Hata la draft hatuwezi hii nchi hakuna kitu wapo vizuriLabda tufuzu kombe la dunia la drafti
kweliee, leta mrejesho.Mechi mhimu sana hii.