Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.

-Alloyce, P.R.