Tanzania: Baadhi tupunguze "Ujuaji" Usio na "Tija"

Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.
Pumbavu!
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Wewe ndio mjinga na mjuaji!! Weka video hapa tuone waandamannaji wenye silaha!! Halafu unapaswa uamke toka usingizini kufikir bado watanzania ni wale enzi za mwalimu, dunia imebadilika watanzania wameelimika na kujitambua!! Kwahiyo msifikiri watanzania ni mbumbumbu tena!! NB: Sio lazima watu wakubaliane na mkakati wenu
 
Kwani Lazarus Chakwera na yeye si atatoa taarifa? Suala unalinganisha vipi evidence sio unalala unaamka unatoa data kichwani individual. Hii Tume ya Chande ni ya kwanza, tunasubiri zingine ndio tunafanya comparison then we Judge, lakini how comes you judge kitu ambacho hauna evidence ya kuipinga?
MKuu tumia logic ndogo tu. Anayetuhumiwa ndiye anaunda tume. Then unasema tusubiri tume nyingine ili kufanya comparison, are you mad? Hiyo tume nyingine inakuja kuchunguza yatokanayo na tume hii itokanayo na mtuhumiwa mwenyewe.
Mfano mdogo tu. Tukio linatokea Posta. Inaundwa tume uchwara inaelekezwa iseme tukio lilikuwa kariakoo na kuna ghorofa mbili. Tume ya pili inaundwa kuchunguza yaliyosemwa na Tume ya kwanza. Inakwenda kariakoo na kweli inakuta kuna ghorofa mbili so report ya Tume ya kwanza inaonekana ilisema ukweli. Huu ni ujinga wa hali ya juu sana
 
Sasa kama Commonwealth watakua wameiamini Tume iliyoongozwa na Mhe. Chande, tume ipi mtaipenda ili kuwaridhisha enyi Wagalatia?

Wakati mwingine tukubaliane kuto kukubaliana. Kipimo cha akili ni pale unapokubaliana na utalaamu pasipo kuwa na hisia za hovyo au kuendeshwa kwa mihemko.
 
Mbona unazunguka tu. Swali je upi uhalali wa tume iliyoundwa na mtuhumiwa mwenyewe?
 
Pata elimu inayoweza kukusaidia ili ukikaa ukasikia mwingine anaongea kama ulichoandika uwape elimu hii:

1. Sheria ya Tume za Uchunguzi (The Commissions of Inquiry Act)

Rais anapewa mamlaka haya chini ya Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32 ya Sheria za Tanzania). Sheria hii inampa Rais uwezo wa kuunda Tume pale anapoona kuwa kuna jambo lenye maslahi kwa umma (public interest) linalohitaji uchunguzi wa kina.​

2. Lini Rais huunda Tume?

Rais haundi Tume kwa kila tuhuma inayotolewa mitandaoni. Huunda tume pale ambapo kuna tukio kubwa la dharura (mfano: ajali kubwa, maafa, au uvunjifu wa amani), kuna tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka katika taasisi za serikali, na kuna jambo linalozua sintofahamu kubwa katika jamii ambalo linahitaji ukweli wa kitaalamu.​

3. Uhusiano kati ya "Tuhuma" na "Tume"

Hapa ndipo palipo na mtego wa kisheria ambao wengi wanashindwa kuuelewa Tume siyo Mahakama, kazi ya tume ni kuchunguza na kutoa mapendekezo (recommendations), siyo kutoa hukumu; pili, wajibu wa mtoa tuhuma, hata kama Rais ameunda Tume, ikiwa wewe ndiye uliyetuhumu, Tume itakuita wewe uende kutoa ushahidi. Ukishindwa kuthibitisha mbele ya Tume kile ulichokisema mtandaoni, Tume itaripoti kuwa tuhuma zako hazina msingi, na hapo ndipo unapoanza kukabiliwa na makosa ya kusingizia au kutoa taarifa za uongo.​
 
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.
Hivi walikufa wangapi kwa mujibu wa tume yenu?
 
Sawa mkuu, na mimi nakupa hii.... Ukae usome hii analysis iliyokosoa ripoti ya CNN.
Vifo vilitokea... Wananchi wana idadi yao... Tume wana yao (japo haziko constant)... Karibisheni wachunguzi wengine wasiofungamana na upande wowote!
Bila shaka ukweli utapatikana!
 
Pata elimu inayoweza kukusaidia ili ukikaa ukasikia mwingine anaongea kama ulichoandika uwape elimu hii:

1. Sheria ya Tume za Uchunguzi (The Commissions of Inquiry Act)

Rais anapewa mamlaka haya chini ya Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32 ya Sheria za Tanzania). Sheria hii inampa Rais uwezo wa kuunda Tume pale anapoona kuwa kuna jambo lenye maslahi kwa umma (public interest) linalohitaji uchunguzi wa kina.​

2. Lini Rais huunda Tume?

Rais haundi Tume kwa kila tuhuma inayotolewa mitandaoni. Huunda tume pale ambapo kuna tukio kubwa la dharura (mfano: ajali kubwa, maafa, au uvunjifu wa amani), kuna tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka katika taasisi za serikali, na kuna jambo linalozua sintofahamu kubwa katika jamii ambalo linahitaji ukweli wa kitaalamu.​

3. Uhusiano kati ya "Tuhuma" na "Tume"

Hapa ndipo palipo na mtego wa kisheria ambao wengi wanashindwa kuuelewa Tume siyo Mahakama, kazi ya tume ni kuchunguza na kutoa mapendekezo (recommendations), siyo kutoa hukumu; pili, wajibu wa mtoa tuhuma, hata kama Rais ameunda Tume, ikiwa wewe ndiye uliyetuhumu, Tume itakuita wewe uende kutoa ushahidi. Ukishindwa kuthibitisha mbele ya Tume kile ulichokisema mtandaoni, Tume itaripoti kuwa tuhuma zako hazina msingi, na hapo ndipo unapoanza kukabiliwa na makosa ya kusingizia au kutoa taarifa za uongo.​
Punguza ujuaji feki! Rais kuunda tume kwa Sheria tajwa haiondoi conflict of interest!
Na hilo limejitokeza kwenye ripoti ya time! Kama upo timamu read between the lines!
 
Sasa wewe utaamini taarifa ipi, kama ya Chande hauiamini na hata wa mjumbe wa Jumuiya ya Madola Lazarus Chakwera unasema humuamini.

Basi inabidi ulete Tume yako, alafu utushawishi na sisi tuiamini, kama wewe ambavyo unasema huziamini zilizopo.😂😂😂
Soma kilichoandikwa na ukielewe, nimekupa records za Lazarus Chakwera ambazo probably haukuwa ukizifahamu ila nikasisitiza na report isipoburuzwaburuzwa na Chakwera itakuwa sawa.
It's important to be cautious.
 
**** tu wewe,, ushashiba tozo zetu sasa mmeanza na dharau
 
Pata elimu inayoweza kukusaidia ili ukikaa ukasikia mwingine anaongea kama ulichoandika uwape elimu hii:

1. Sheria ya Tume za Uchunguzi (The Commissions of Inquiry Act)

Rais anapewa mamlaka haya chini ya Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32 ya Sheria za Tanzania). Sheria hii inampa Rais uwezo wa kuunda Tume pale anapoona kuwa kuna jambo lenye maslahi kwa umma (public interest) linalohitaji uchunguzi wa kina.​

2. Lini Rais huunda Tume?

Rais haundi Tume kwa kila tuhuma inayotolewa mitandaoni. Huunda tume pale ambapo kuna tukio kubwa la dharura (mfano: ajali kubwa, maafa, au uvunjifu wa amani), kuna tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka katika taasisi za serikali, na kuna jambo linalozua sintofahamu kubwa katika jamii ambalo linahitaji ukweli wa kitaalamu.​

3. Uhusiano kati ya "Tuhuma" na "Tume"

Hapa ndipo palipo na mtego wa kisheria ambao wengi wanashindwa kuuelewa Tume siyo Mahakama, kazi ya tume ni kuchunguza na kutoa mapendekezo (recommendations), siyo kutoa hukumu; pili, wajibu wa mtoa tuhuma, hata kama Rais ameunda Tume, ikiwa wewe ndiye uliyetuhumu, Tume itakuita wewe uende kutoa ushahidi. Ukishindwa kuthibitisha mbele ya Tume kile ulichokisema mtandaoni, Tume itaripoti kuwa tuhuma zako hazina msingi, na hapo ndipo unapoanza kukabiliwa na makosa ya kusingizia au kutoa taarifa za uongo.​
Je watu wakituhumu hiyo tume kuwa ni tume inayosema/kutoa taarifa za uongo ambazo zitaleta taharuki kwenye jamii. Je Rais ataunda tume nyingine kuichunguza hiyo tume ambayo aliiunda mwenyewe au kwa mamlaka yake atapotezea?
 
Back
Top Bottom