Tanzania: Baadhi tupunguze "Ujuaji" Usio na "Tija"

[]ote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.[/]
-Alloyce, P.R.
imenibidi nikusome; kwa sababu kichwa cha mada yako ni cha uchokonozo.

Sasa nasema hivi: wewe ni mpumbavu, teana wa kutupwa kabisa kwa haya uliyoandika hapa..

Kama wewe hiyo tume ndiyo chanzo kikuu cha yote yaliyoelezwa na tume hiyo; usitake na wengine wote wawe wapumbavu kama wewe.

Nenda kamwambiye huyo aliyeunda hiyo tume ianzishwe tume nyingine huru kabisa isiyomfanyia kazi mhalifu aliyeunda hii ya kumsafisha.

Na kama hujaelewa nilichoeleza hapa, nitatumia muda zaidi kukufungua akili hiyo iliyojazwa matope na hao waovu unaowatetea wewe.
 
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.
Toa upumbavu wako apa,

Aisee chukua hii, naona ndani ya nchi kuna watu wamemkumbatia shetani , kiwango ambacho wanamuona Mungu kama sisimizi, nakwambia jiandaeni kuona kwamba Mungu hajalibiwi, huwezi kuwa na roho mbaya kiasi ichi kama vile hukuzaliwa ,au ukubebwa tumboni miezi 9 , hii ni kiwango cha level ya mwisho ya ushetani
 
Wewe ni mavi mkojo! Mtuhumiwa anajiubdiantume. Wewe ni mjinga mavi mkojo
 
Ni aibu ku-expose upumbavu wako chawa usiye na haya, video clips zilikuwa zaidi ya 100 tulizozishuhudia na hakuna hata moja iliyoonyesha waandamanaji wakiwa na silaha za jadi ila polisi wakimiminia watu wasio na silaha kila mtu aliyekuwa anafuatilia yaliyokuwa yakitokea ameziona.
Prime suspect ni Samia, yeye huyohuyo ndiyo ameunda tume, tume ilikuwa na hao chawa ambapo almost all of the have conflict of interest sasa unakuwa zuzu wa kiwango kikubwa kwa kiasi gani uuchukulie huo upuuzi waliouwasilisha kuwa ni credible report ya uchunguzi.
Common sense isn't common anymore.
Walio expose hizo videos, ambazo zingine zilikuwa AI generated si walikua timu moja na wale wa CNN? Na hao ndio walituambia kuna makaburi ya halaiki?

Huo ndio nasema ujuaji usio na tija, kwenye Ripoti ya Chande, wamesema wao pamoja na timu ya wataalamu walifika katika eneo hilo lililodaiwa kuwa na kaburi ya halaiki na kukuta hakuna kaburi la halaiki, pia kuna wakazi wengi wanaendesha shughuli zao katika hilo.

Nadhani mnaopinga, mngesubiri taarifa ya Mjumbe wa CommonWealth Lazarus Chakwera kuja na taarifa yake kisha mlinganishe. Siyo kuleta kujua kwingi na hauna unachojua tofauti na kuendeshwa na hisia binafsi. Vinginevyo bisha na varied and verified evidence.

Mwisho, nimekupa hii analysis uisome...
 
Attachments

Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.

View: https://www.facebook.com/share/v/18MjCqk5Lb/
 
Tunajuaje kwamba hata wewe ulioleta sio ujuaji? Usio na tija?
Soma hii utajua kama ni ujuaji usio na tija au wenye tija.😂😂😂
 
Attachments

Toa upumbavu wako apa,

Aisee chukua hii, naona ndani ya nchi kuna watu wamemkumbatia shetani , kiwango ambacho wanamuona Mungu kama sisimizi, nakwambia jiandaeni kuona kwamba Mungu hajalibiwi, huwezi kuwa na roho mbaya kiasi ichi kama vile hukuzaliwa ,au ukubebwa tumboni miezi 9 , hii ni kiwango cha level ya mwisho ya ushetani
Sawa mkuu, na mimi nakupa hii.... Ukae usome hii analysis iliyokosoa ripoti ya CNN.
 
Attachments

Wewe kweli ni mjinga. Tanzania yenye idara ya uusalama wa taifa, polisi, majeshi, halafu watu walipe vijana sehemu mbalmbali za nchi eti kufanya vurugu, halafu hakuna mlipaji hata mmoja mliyemkamata! Sisi sio wajinga hivo.
Bado tunarudi pale-pale ujuaji usiokuwa na tija.

Kwenye ripoti ya Chande, amependekeza kuundwa Tume ya upelelezi, itakayokuja na majibu ni akina nani walifadhili (wahusika wakuu).
 
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.

Huu upuuzi siyo kuweka hapa JF. Umeandika takataka. Kawatafute wasio na akili kukuzidi wewe, ukawapelekee.
 
MLeta mada atakuwa miongoni mwa wauaji walioondolewa akili na damu za watu.
Ni aibu ku-expose upumbavu wako chawa usiye na haya, video clips zilikuwa zaidi ya 100 tulizozishuhudia na hakuna hata moja iliyoonyesha waandamanaji wakiwa na silaha za jadi ila polisi wakimiminia watu wasio na silaha kila mtu aliyekuwa anafuatilia yaliyokuwa yakitokea ameziona.
Prime suspect ni Samia, yeye huyohuyo ndiyo ameunda tume, tume ilikuwa na hao chawa ambapo almost all of the have conflict of interest sasa unakuwa zuzu wa kiwango kikubwa kwa kiasi gani uuchukulie huo upuuzi waliouwasilisha kuwa ni credible report ya uchunguzi.
Common sense isn't common anymore.
 
MLeta mada atakuwa miongoni mwa wauaji walioondolewa akili na damu za watu.
Duh! Tuhuma nzito hii mkuu, unamtuhumu hata usiye mjua, hujawahi kukutana naye, wala hujui anakoishi. Je, akiwa ni nafsi yako utakimbilia wapi mkuu.😂😂😂
 
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.
Sawa sawa, ila umesahau kuwasema wanaokataa kuwa waliotekwa ni mambo ya mapenzi, kujiteka wenyewe.
 
Kwamba hiyo tume fake Kwa kuwa imesema sisi wote tukubali ilichosema:
Eti, hayakuwa maandamano bali zilikuwa ghasia. Ni mjinga pekee atakayekubali huu upuuzi, kama anatuambia kuwa mpaka upande wa pili usikilizwe, (a) kwanini hakutuambia kama procedure za notice hazikufatwa au zilifatwa kama alivyotuambia kuwa maandamano lazima yatolewe notice? (b) Kwanini hajatueleza kama aliusikiliza upande wa pili ili yeye kufikia hitimisho lake lake kuwa hayakuwa maandamano kwasababu ametueleza kuwa haiwezekan kutoa hukumu bila kusikilizwa upande wa pili?

Eti wafanya ghasia walipewa mafunzo sehemu mbalimbali ikiwemo nyumba iliyo umbali wa mita 10 kutoka kituo cha police;
(a)Ikiwa hii ndio hoja kwanini polisi walioshindwa kugundua uhalifu huo wakati zamana ya ulinzi wa watu na Mali zao wamekabidhiwa wao Kwa mujibu wa Sheria na wao ndio wamesomea mambo hayo? au intelijensia yao imejikita chadema tu? (b) Tumeelezwa kuwa moja ya chanzo ni wanaharakati kupitia mitandao ya kijamii na kwamba TCRA walitoa tahadhari mapema, kama ndio hivyo kwanin police hawakutumia tahadhari ya TCRA kudhibiti matukio hayo?
Kwa kushindwa huko polisi kufanya kazi waliyopewa kisheria kwanin wasiwajibike? Halafu mjinga mmoja kama wewe unataka sote tuamini upuuzi wa chande.
Eti, wafanya ghasia walikuwa na silaha: kama walikuwa na silaha je ADHABU yao ni kuuwawa? Kwanin hatujaona hata clip moja ikionyesha wafanya ghasia hao wakiwa na bunduki? Na kama walikuwa na mafunzo na wanabunduki walishindwa nini kuuwa Askari wengi badala yake Askari wafe kiduchu? Lakin utamadun wa jeshi la polisi ni kuaga asikari waliouwawa hiyo report mbona hawajatuambia Askari waliouwawa waliagwa kijeshi wapi? Case study ni tukio la hamza kule dar Askari waliouwawa waliagwa kijeshi. (c) Hiyo report imetaja silaha walikuwa nazo wafanya ghasia mbona hajatueleza ni aina gani ya silaha hasa aina ya bunduki badala yake ametaja jumla jumla tu?

Eti, wafanya ghasia walilipwa pesa;
Kama hii nayo ni hoja (a) Kwanini hajatutajia Kwa jina mlipaji alikuwa nani? (b) Kwanin hajatutajia jumla ya pesa zilizolipwa? (c) Kwanin hajatutajia njia iliyotumika kulipa watu kama ni by cash,mobile or bank.
Naishia hapo nitakuja tena badae.
Ila napenda kueleza kuwa hakuna uhalifu ulifanyika 29 October utafichwa liwe jua iwe mvua ni swala la muda tu tena muda mchache sana.
 
20260423_233107.jpg
 
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.
Kana vitu kwenye hii tume ni vya kitoto kabisa. Tumia commo. Sense ni utoto mwingi halaf wanalazimisha ndio iwe narrative

Sio kwa kizazi hiki
 
Back
Top Bottom