Tanzania: Baadhi tupunguze "Ujuaji" Usio na "Tija"

Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.
Wajinga tu ndiyo wataamini kilichosemwa na hicho kizee kipumbavu.
 
Sawa mkuu, na mimi nakupa hii.... Ukae usome hii analysis iliyokosoa ripoti ya CNN.
Mkuu iko hivi , kitendo cha watawala kuendelea kutubagaza watz kwa mauwaji ya Oct 29/2025 kupitia iyo tume uchwara hakikubaliki , hata kama umeiba uchaguzi ilikua ni busara kuchutama , kukiri ,na kutafuta suruhu kama nchi, leo unakazia kama vile waliouliwa ni kuku , na kweli ukalia kiti kwa furaha ukiwa unawaona wanao wazima wa afya ,so sie ambao tumepoteza watoto wetu hatujui machungu ya kuzaa na kulea.
Ilikua alie kwenye kiti angalau kuonesha kukerwa hata kama anajua in and out what happened, ila badala yake anabariki kwa njia moja au nyingie,
Kwanza hii tume imekuja kuturudisha kwenye majonzi bora hata isingeundwa ,au bora iyo report yao isingesomwa.

Usiku mzima nimelala nalia nikikumbuka vijana wangu, moyo ulishaanza angalau kupona sasa kidonda kimeanza upya ,
 
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.
Niseme tu,kuna mambo HAYASAFISHIKI. Anyway you can keep on trying!
 
Pole sana mkuu, na pole kwetu sisi wote watanzania. Wanaume wa Mara hua ni vigumu kutoa machozi ila mimi leo yamenitoka kwa ulivyoainisha kupoteza vijana wako.

Ila ni wakati sisi wote watanzania kushikamana kurudi kwenye umoja wetu tuliokua nao, haya mambo ya siasa ndugu yasikiye tu. Sudan Raia wasiokua na hatia wanauliwa, watoto, wanawake warembo, wanabakwa na kuuliwa. Inatia huruma sana. Kenya 2007 kama sijakosea, vijana, wanawake, na watoto walikufa wengi sana wakidhani hali hiyo ingewatoa kwenye changamoto walizokuwa nazo lakini hadi hii leo bado matatizo yao yamesimama pale-pale.

Marekani, aliingia kwenye Vita akiamini yeye ni SuperPower wakaua Raia wengi wasiokua na hatia Iran. Lakini, sasa hivi anatapa-tapa kutafuta kukaa mezani pasipo kudhalilika.

Muhimu tuweke tofauti zetu za kisiasa, masuala binafsi pembeni kisha tulie pamoja kisha tuseme "TUSIRUDIE TENA YA OKTOBA 29" kisha tusonge mbele tukiwa watanzania wale wa kuanzia miaka ya 19... Sio 2000's.🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Kwamba hiyo tume fake Kwa kuwa imesema sisi wote tukubali ilichosema:
Eti, hayakuwa maandamano bali zilikuwa ghasia. Ni mjinga pekee atakayekubali huu upuuzi, kama anatuambia kuwa mpaka upande wa pili usikilizwe, (a) kwanini hakutuambia kama procedure za notice hazikufatwa au zilifatwa kama alivyotuambia kuwa maandamano lazima yatolewe notice? (b) Kwanini hajatueleza kama aliusikiliza upande wa pili ili yeye kufikia hitimisho lake lake kuwa hayakuwa maandamano kwasababu ametueleza kuwa haiwezekan kutoa hukumu bila kusikilizwa upande wa pili?

Eti wafanya ghasia walipewa mafunzo sehemu mbalimbali ikiwemo nyumba iliyo umbali wa mita 10 kutoka kituo cha police;
(a)Ikiwa hii ndio hoja kwanini polisi walioshindwa kugundua uhalifu huo wakati zamana ya ulinzi wa watu na Mali zao wamekabidhiwa wao Kwa mujibu wa Sheria na wao ndio wamesomea mambo hayo? au intelijensia yao imejikita chadema tu? (b) Tumeelezwa kuwa moja ya chanzo ni wanaharakati kupitia mitandao ya kijamii na kwamba TCRA walitoa tahadhari mapema, kama ndio hivyo kwanin police hawakutumia tahadhari ya TCRA kudhibiti matukio hayo?
Kwa kushindwa huko polisi kufanya kazi waliyopewa kisheria kwanin wasiwajibike? Halafu mjinga mmoja kama wewe unataka sote tuamini upuuzi wa chande.
Eti, wafanya ghasia walikuwa na silaha: kama walikuwa na silaha je ADHABU yao ni kuuwawa? Kwanin hatujaona hata clip moja ikionyesha wafanya ghasia hao wakiwa na bunduki? Na kama walikuwa na mafunzo na wanabunduki walishindwa nini kuuwa Askari wengi badala yake Askari wafe kiduchu? Lakin utamadun wa jeshi la polisi ni kuaga asikari waliouwawa hiyo report mbona hawajatuambia Askari waliouwawa waliagwa kijeshi wapi? Case study ni tukio la hamza kule dar Askari waliouwawa waliagwa kijeshi. (c) Hiyo report imetaja silaha walikuwa nazo wafanya ghasia mbona hajatueleza ni aina gani ya silaha hasa aina ya bunduki badala yake ametaja jumla jumla tu?

Eti, wafanya ghasia walilipwa pesa;
Kama hii nayo ni hoja (a) Kwanini hajatutajia Kwa jina mlipaji alikuwa nani? (b) Kwanin hajatutajia jumla ya pesa zilizolipwa? (c) Kwanin hajatutajia njia iliyotumika kulipa watu kama ni by cash,mobile or bank.
Naishia hapo nitakuja tena badae.
Ila napenda kueleza kuwa hakuna uhalifu ulifanyika 29 October utafichwa liwe jua iwe mvua ni swala la muda tu tena muda mchache sana.
Huyu hajui alitendalo. Ulaji wa namna hii ni mbaya.
 
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.
Wale vijana walikuwa wanaandamana uliona hata mmoja mwenye silaha? Tume la kipumbavu! Eti yanakuja na majibu yale yale Samunya alisema wakati wanaunda hiyo tume! Ujinga mtupu!
 
Mkuu iko hivi , kitendo cha watawala kuendelea kutubagaza watz kwa mauwaji ya Oct 29/2025 kupitia iyo tume uchwara hakikubaliki , hata kama umeiba uchaguzi ilikua ni busara kuchutama , kukiri ,na kutafuta suruhu kama nchi, leo unakazia kama vile waliouliwa ni kuku , na kweli ukalia kiti kwa furaha ukiwa unawaona wanao wazima wa afya ,so sie ambao tumepoteza watoto wetu hatujui machungu ya kuzaa na kulea.
Ilikua alie kwenye kiti angalau kuonesha kukerwa hata kama anajua in and out what happened, ila badala yake anabariki kwa njia moja au nyingie,
Kwanza hii tume imekuja kuturudisha kwenye majonzi bora hata isingeundwa ,au bora iyo report yao isingesomwa.

Usiku mzima nimelala nalia nikikumbuka vijana wangu, moyo ulishaanza angalau kupona sasa kidonda kimeanza upya ,
Pole sana mkuu. Haya yana mwisho. Mungu hajalala!
 
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.
Kwa hiyo wewe na bicha lako hilo unaamini hiyo ripoti ni sahihi? Kwanza ni ripoti ya Rais wewe unaishabikia tu. Hiyo sio ripoti ni ujinga tu wa Mtu mweusi.
 
Nyumbu wezi waliokua wanachoma kuiba na kuharibu mali za watu walistahili kuuwawa hakuna kucheka na wahalifu.
 
Hao waliowalipa hao wafanya vurugu ni akina nani?
 
Bado tunarudi pale-pale ujuaji usiokuwa na tija.

Kwenye ripoti ya Chande, amependekeza kuundwa Tume ya upelelezi, itakayokuja na majibu ni akina nani walifadhili (wahusika wakuu).
... delaying tactics kujaribu kuwasahalisha unyama waliotenda. Tumeimeshakula, wanataka kuunda tena tume nyingine na nyingine indefinitely
 
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.
Vi-emoj vingiiii! Dalili ya Rainbow
 
Wanaogoma watoe ripoti zao
 
Back
Top Bottom