Tanzania: Baadhi tupunguze "Ujuaji" Usio na "Tija"

Tanzania: Baadhi tupunguze "Ujuaji" Usio na "Tija"

Kwenye Post sijakuita wewe mjinga, wala kuita mtu mjinga. Soma, elewa kisha ukurupuke kuandika.

Thinking you are smart is not enough; you must prove your intelligence through what you speak and write.
Ukiandika kiingereza ndiyo unajikuta mwelevu mwenyewe 😄🤣🤣🤣

Wewe ndiyo kundule nyani asiyetaka kuliona
 
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.
Kuna wale wajuaji wanaowasubiri ICC waje wamchukue Samia wakamshtaki huko The Hague, wanaendelea kuota wakiwa wanatembea mchana kweupe.
 
Mkuu iko hivi , kitendo cha watawala kuendelea kutubagaza watz kwa mauwaji ya Oct 29/2025 kupitia iyo tume uchwara hakikubaliki , hata kama umeiba uchaguzi ilikua ni busara kuchutama , kukiri ,na kutafuta suruhu kama nchi, leo unakazia kama vile waliouliwa ni kuku , na kweli ukalia kiti kwa furaha ukiwa unawaona wanao wazima wa afya ,so sie ambao tumepoteza watoto wetu hatujui machungu ya kuzaa na kulea.
Ilikua alie kwenye kiti angalau kuonesha kukerwa hata kama anajua in and out what happened, ila badala yake anabariki kwa njia moja au nyingie,
Kwanza hii tume imekuja kuturudisha kwenye majonzi bora hata isingeundwa ,au bora iyo report yao isingesomwa.

Usiku mzima nimelala nalia nikikumbuka vijana wangu, moyo ulishaanza angalau kupona sasa kidonda kimeanza upya ,
Vijana wote waliopata ulemavu kwa kadhia ile serikali imeahidi kuwahudumia masuala yote ya afya zao, ikiwemo kuwapatia miguu ya bandia wale waliopata ulemavu.

Huko ni kuchutama kwa maana halisi ya uungwana, huko ni kujishusha. Kumbuka mheshimiwa SSH alishaomba radhi hadharani kwa yote yaliyotokea.
 
Kwenye Post sijakuita wewe mjinga, wala kuita mtu mjinga. Soma, elewa kisha ukurupuke kuandika.

Thinking you are smart is not enough; you must prove your intelligence through what you speak and write.
Ujinga sio tusi, ulichoandika kimemfanya mchangiaji kukuona mjinga. Ila mimi najua wewe sio mjinga. Kwa akili zako umeamua kukubali ujinga wa tume.
 
Kwani Lazarus Chakwera na yeye si atatoa taarifa? Suala unalinganisha vipi evidence sio unalala unaamka unatoa data kichwani individual. Hii Tume ya Chande ni ya kwanza, tunasubiri zingine ndio tunafanya comparison then we Judge, lakini how comes you judge kitu ambacho hauna evidence ya kuipinga?
Yaani uongo wa wazi ushindwe kuujua? Geita na Songwe watu wengi pia waliuwawa, kwenye mikoa ya watu waliokufa hiyo mikoa ipo?

Dar inasemekana waandamanaji walikuwa na mikuki na upinde, yaani hawa ma Gen-z watumie mikuki, wameitoa wapi na ya nini? Wanajua hata inavyotumika? Huko Arusha inasemekana kuna shahidi alilipwa 50,000 ili aandamane, ni nani mjinga wa kwenda kusema alilipwa ili aandamane wakati watu walikuwa wanakamatwa hata kwa kusingiziwa kuwa waliandama?
 
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.
Ur a, stain in humanity,
Kwa, akili ya kawaida ya darasa la pili,ukiona watu wamejipanga barabarani wana matawi ya miti, vitambaa wana mshangilia, Kagame, Sadam Hussein, Jiwe, Mobutu, Unaweza kusema kweli Hao viongozi ni wazuri kisa tu wana nchi wanashangilia!??
Waandamanaji walitoka wapi, wakati "watu walikuwa wamejipanga kwenye foleni kupiga kura, ili mmpate 97.8%?
Mtuhumiwa ccm, aliyeunda, tune ccm, waliofanya mauaji ccm, bro! Hata kama, mnawaona wananchi ni mburula! Tafuteni mbinu zilizoenda shule kuweza ku spin kitu kama hiki! You guys(ccm) ur incompetence is of biblical proportional!
Hata, Mimi ningekuwa nipo serikalini,nakula bata, ningetafuta mbinu za kuisafisha seeikali(igeni Kenya), Ila mnatumia mbinu za kitoto Sana,
Juzi tupo kijiweni, ikaja gari ndogo ikapaki, wakashuka jamaa wawili, wanavitambi, wakaja kwa mama ntilie, eti wanaagiza chai na chapatti! Kwa kuwaangalia tu, walikuja pale kufanya udukuzi, ni, yaani kama, wale ndio intelijensia, amabao hawajuhi, hata jinsi ya, kuishi uswazi, na, swaga, za, uswazi!!
 
Walio expose hizo videos, ambazo zingine zilikuwa AI generated si walikua timu moja na wale wa CNN? Na hao ndio walituambia kuna makaburi ya halaiki?

Huo ndio nasema ujuaji usio na tija, kwenye Ripoti ya Chande, wamesema wao pamoja na timu ya wataalamu walifika katika eneo hilo lililodaiwa kuwa na kaburi ya halaiki na kukuta hakuna kaburi la halaiki, pia kuna wakazi wengi wanaendesha shughuli zao katika hilo.

Nadhani mnaopinga, mngesubiri taarifa ya Mjumbe wa CommonWealth Lazarus Chakwera kuja na taarifa yake kisha mlinganishe. Siyo kuleta kujua kwingi na hauna unachojua tofauti na kuendeshwa na hisia binafsi. Vinginevyo bisha na varied and verified evidence.

Mwisho, nimekupa hii analysis uisome...
AI generated my foot, keep on exposing your stupidity. Chawa Chande kwa maelekezo ya muuaji Samia ndiyo waaminishe watu wenye akili timamu kuwa clips zilikuwa AI generated. Nobody is buying that crap so keep it inside your butt-hole.
Namjua Chakwera kuliko ubavyomjua wewe, hivi unafahamu kuwa alimuua Salous Chilima akiamini itamsaidia itamsaidia kushinda second term lakini ika-backfire? Unless kusiwe na influence yake personally kwani naye anaamini katika kuua kulinda madaraka kama ilivyo kwa bloodthirsty serial killer Samia.
 
Duh! Tuhuma nzito hii mkuu, unamtuhumu hata usiye mjua, hujawahi kukutana naye, wala hujui anakoishi. Je, akiwa ni nafsi yako utakimbilia wapi mkuu.😂😂😂
Inaitwa reading between the lines au tuseme the flow of information, maelezo ya mtu yanakuwezesha kumfahamu 'somehow' na mimi pia nilishafikia conclusion hiyohiyo.
 
Kwamba hiyo tume fake Kwa kuwa imesema sisi wote tukubali ilichosema:
Eti, hayakuwa maandamano bali zilikuwa ghasia. Ni mjinga pekee atakayekubali huu upuuzi, kama anatuambia kuwa mpaka upande wa pili usikilizwe, (a) kwanini hakutuambia kama procedure za notice hazikufatwa au zilifatwa kama alivyotuambia kuwa maandamano lazima yatolewe notice? (b) Kwanini hajatueleza kama aliusikiliza upande wa pili ili yeye kufikia hitimisho lake lake kuwa hayakuwa maandamano kwasababu ametueleza kuwa haiwezekan kutoa hukumu bila kusikilizwa upande wa pili?

Eti wafanya ghasia walipewa mafunzo sehemu mbalimbali ikiwemo nyumba iliyo umbali wa mita 10 kutoka kituo cha police;
(a)Ikiwa hii ndio hoja kwanini polisi walioshindwa kugundua uhalifu huo wakati zamana ya ulinzi wa watu na Mali zao wamekabidhiwa wao Kwa mujibu wa Sheria na wao ndio wamesomea mambo hayo? au intelijensia yao imejikita chadema tu? (b) Tumeelezwa kuwa moja ya chanzo ni wanaharakati kupitia mitandao ya kijamii na kwamba TCRA walitoa tahadhari mapema, kama ndio hivyo kwanin police hawakutumia tahadhari ya TCRA kudhibiti matukio hayo?
Kwa kushindwa huko polisi kufanya kazi waliyopewa kisheria kwanin wasiwajibike? Halafu mjinga mmoja kama wewe unataka sote tuamini upuuzi wa chande.
Eti, wafanya ghasia walikuwa na silaha: kama walikuwa na silaha je ADHABU yao ni kuuwawa? Kwanin hatujaona hata clip moja ikionyesha wafanya ghasia hao wakiwa na bunduki? Na kama walikuwa na mafunzo na wanabunduki walishindwa nini kuuwa Askari wengi badala yake Askari wafe kiduchu? Lakin utamadun wa jeshi la polisi ni kuaga asikari waliouwawa hiyo report mbona hawajatuambia Askari waliouwawa waliagwa kijeshi wapi? Case study ni tukio la hamza kule dar Askari waliouwawa waliagwa kijeshi. (c) Hiyo report imetaja silaha walikuwa nazo wafanya ghasia mbona hajatueleza ni aina gani ya silaha hasa aina ya bunduki badala yake ametaja jumla jumla tu?

Eti, wafanya ghasia walilipwa pesa;
Kama hii nayo ni hoja (a) Kwanini hajatutajia Kwa jina mlipaji alikuwa nani? (b) Kwanin hajatutajia jumla ya pesa zilizolipwa? (c) Kwanin hajatutajia njia iliyotumika kulipa watu kama ni by cash,mobile or bank.
Naishia hapo nitakuja tena badae.
Ila napenda kueleza kuwa hakuna uhalifu ulifanyika 29 October utafichwa liwe jua iwe mvua ni swala la muda tu tena muda mchache sana.
🔥🔥🔥🔥
These pretentious hypocrites will definitely pretend not to understand this brief, simple and straightforward analysis.
 
AI generated my foot, keep on exposing your stupidity. Chawa Chande kwa maelekezo ya muuaji Samia ndiyo waaminishe watu wenye akili timamu kuwa clips zilikuwa AI generated. Nobody is buying that crap so keep it inside your butt-hole.
Namjua Chakwera kuliko ubavyomjua wewe, hivi unafahamu kuwa alimuua Salous Chilima akiamini itamsaidia itamsaidia kushinda second term lakini ika-backfire? Unless kusiwe na influence yake personally kwani naye anaamini katika kuua kulinda madaraka kama ilivyo kwa bloodthirsty serial killer Samia.
Sasa wewe utaamini taarifa ipi, kama ya Chande hauiamini na hata wa mjumbe wa Jumuiya ya Madola Lazarus Chakwera unasema humuamini.

Basi inabidi ulete Tume yako, alafu utushawishi na sisi tuiamini, kama wewe ambavyo unasema huziamini zilizopo.😂😂😂
 
Ujinga sio tusi, ulichoandika kimemfanya mchangiaji kukuona mjinga. Ila mimi najua wewe sio mjinga. Kwa akili zako umeamua kukubali ujinga wa tume.
Duh! 😂😂😂

Sasa sijui nani atakubali ujinga wa mwingine, ila ngoja tumalize utata hivi.

"Kama muandishi ameandika na usijue ameandika nini alafu ukakurupuka kumwita mjinga, basi mnakuwa wajinga wawili wasiojuana. Kati ya hao wawili kila mmoja anakuwa anajua mwenzake ndio mjinga ila yeye anajiona sio mjinga."- Alloyce, P.R.​
 
  • Kicheko
Reactions: I M
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?

Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? 😂😂😂

Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! 😂😂😂

Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.

Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.​

-Alloyce, P.R.
Tatizo ni CHADEMA. Wanakataa kushiriki uchaguzi halafu wanakosoa ushindi wa Samia. Wanakataa kuhojiwa na Tume ya Jaji Chande lakini wanahoji matokeo ya ripoti.

Tuliwaambia CHADEMA kuongozwa na Lissu na Heche ni big mistake kwa kuwa ni mijitu ya jazba na mihemuko.
 
Ni aibu ku-expose upumbavu wako chawa usiye na haya, video clips zilikuwa zaidi ya 100 tulizozishuhudia na hakuna hata moja iliyoonyesha waandamanaji wakiwa na silaha za jadi ila polisi wakimiminia watu wasio na silaha kila mtu aliyekuwa anafuatilia yaliyokuwa yakitokea ameziona.
Prime suspect ni Samia, yeye huyohuyo ndiyo ameunda tume, tume ilikuwa na hao chawa ambapo almost all of the have conflict of interest sasa unakuwa zuzu wa kiwango kikubwa kwa kiasi gani uuchukulie huo upuuzi waliouwasilisha kuwa ni credible report ya uchunguzi.
Common sense isn't common anymore.
Katiba ya JMT ndiyo inampa Rais Mamlaka ya kuunda Tume, sasa ulitaka Tume aunde Father Charles Kitima? Nyie watu wapumbavu sana, hamsomi Katiba.

Pili yale hayakuwa maandamano bali vurugu zilizoanzishwa ili kuharibu uchaguzi na kupindua Serikali halali.
 
Kukwepa kutaja kina nani walifadhili ni dhahiri kwamba ni stori ya kutunga
 
Tume imeundwa na mtu anayetuhumiwa kuwa muuaji.

Walioteuliwa na huyo mtu ni watu wa karibu nae ambao wapo kwenye mfumo kandamizi!

Unadhani watu wakikaa kimya ndio itaponya taifa?

Acha ujuaji mleta mada!!
 
Back
Top Bottom