Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
Wewe ndiye mjinga wa mwisho nchi hii na hapa jukwaani, mama wengi tu wamewadanganya watoto baba zao. Ni watu wenye akili ndogo tu watakaozingatia tume ya watumishi watupu wastaafu wa mfumo wa CCM iliyoundwa na watuhumiwa.Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Kabla ya kuandika fikiria kimo chako cha kufikiri, pili siandiki kumfurahisha mtu, naandika uhalisia. Kaa kwa kutulia.Jitahidi kutojionesha kuwa huna akili.
Wewe kweli ni mjinga. Tanzania yenye idara ya uusalama wa taifa, polisi, majeshi, halafu watu walipe vijana sehemu mbalmbali za nchi eti kufanya vurugu, halafu hakuna mlipaji hata mmoja mliyemkamata! Sisi sio wajinga hivo.Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence).
Kwenye Post sijakuita wewe mjinga, wala kuita mtu mjinga. Soma, elewa kisha ukurupuke kuandika.Wewe ndiye mjinga wa mwisho nchi hii na hapa jukwaani, mama wengi tu wamewadanganya watoto baba zao. Ni watu wenye akili ndogo tu watakaozingatia tume ya watumishi watupu wastaafu wa mfumo wa CCM iliyoundwa na watuhumiwa.
Mkuu tume iliyoundwa na mtuhumiwa nayo ni tume? Na mwisho kabisa akasema tume ni yake na imeundwa na yeye. Au hukusikia?Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Hoja ni Ile Ile, Kila ukifanyacho jitahidi sana kutoonesha kuwa huna akili basi, haya mengine ni kelele tu.Kabla ya kuandika fikiria kimo chako cha kufikiri, pili siandiki kumfurahisha mtu, naandika uhalisia. Kaa kwa kutulia.
Unajuaje huu ujuaji bila ya wewe nawe kuwa mjuaji?Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Kwani Lazarus Chakwera na yeye si atatoa taarifa? Suala unalinganisha vipi evidence sio unalala unaamka unatoa data kichwani individual. Hii Tume ya Chande ni ya kwanza, tunasubiri zingine ndio tunafanya comparison then we Judge, lakini how comes you judge kitu ambacho hauna evidence ya kuipinga?Mkuu tume iliyoundwa na mtuhumiwa nayo ni tume? Na mwisho kabisa akasema tume mi yake na imeundwa na yeye. Au hukusikia?
Kiswahili ndio lugha rasmi na inayo eleweka safi kabisa kwa level yako,nani kakudanganya kwamba ukiweka kingereza chako hicho ambacho kina Grammatical errors kibao ndio utaonekana mwerevu? Wewe ni juha tu.Kwenye Post sijakuita wewe mjinga, wala kuita mtu mjinga. Soma, elewa kisha ukurupuke kuandika.
Thinking you are smart not enough to proof your smartness till you speak loudly or write.
Basi wewe ndio inatakiwa ujitathmini kwenye hilo ndugu. Hapo hakuna hoja....Hoja ni Ile Ile, Kila ukifanyacho jitahidi sana kutoonesha kuwa huna akili basi, haya mengine ni kelele tu.
Hiyo sio hoja.Kiswahili ndio lugha rasmi na inayo eleweka safi kabisa kwa level yako,nani kakudanganya kwamba ukiweka kingereza chako hicho ambacho kina Grammatical errors kibao ndio utaonekana mwerevu? Wewe ni juha tu.
Hivi ukizomewa na watu kuwa 'kavae upo uchi', kisha wewe ukaendelea kukaza mwendo bila ya kusimama na kujichunguza, huoni kuwa wewe utakuwa ni mpumbaf?Kwenye Post sijakuita wewe mjinga, wala kuita mtu mjinga. Soma, elewa kisha ukurupuke kuandika.
Thinking you are smart not enough to proof your smartness till you speak loudly or write.
Ni aibu ku-expose upumbavu wako chawa usiye na haya, video clips zilikuwa zaidi ya 100 tulizozishuhudia na hakuna hata moja iliyoonyesha waandamanaji wakiwa na silaha za jadi ila polisi wakimiminia watu wasio na silaha kila mtu aliyekuwa anafuatilia yaliyokuwa yakitokea ameziona.Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?