imenibidi nikusome; kwa sababu kichwa cha mada yako ni cha uchokonozo.[]ote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.[/]
-Alloyce, P.R.
Toa upumbavu wako apa,Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Your own writeup is crap, and you consider yourself smart?Thinking you are smart is not enough; you must prove your intelligence through what you speak and write.
Wewe ni mavi mkojo! Mtuhumiwa anajiubdiantume. Wewe ni mjinga mavi mkojoNi vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Walio expose hizo videos, ambazo zingine zilikuwa AI generated si walikua timu moja na wale wa CNN? Na hao ndio walituambia kuna makaburi ya halaiki?Ni aibu ku-expose upumbavu wako chawa usiye na haya, video clips zilikuwa zaidi ya 100 tulizozishuhudia na hakuna hata moja iliyoonyesha waandamanaji wakiwa na silaha za jadi ila polisi wakimiminia watu wasio na silaha kila mtu aliyekuwa anafuatilia yaliyokuwa yakitokea ameziona.
Prime suspect ni Samia, yeye huyohuyo ndiyo ameunda tume, tume ilikuwa na hao chawa ambapo almost all of the have conflict of interest sasa unakuwa zuzu wa kiwango kikubwa kwa kiasi gani uuchukulie huo upuuzi waliouwasilisha kuwa ni credible report ya uchunguzi.
Common sense isn't common anymore.
Sawa.πππWewe ni mavi mkojo! Mtuhumiwa anajiubdiantume. Wewe ni mjinga mavi mkojo
https://www.facebook.com/Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Soma hii utajua kama ni ujuaji usio na tija au wenye tija.πππTunajuaje kwamba hata wewe ulioleta sio ujuaji? Usio na tija?
Sawa mkuu, na mimi nakupa hii.... Ukae usome hii analysis iliyokosoa ripoti ya CNN.Toa upumbavu wako apa,
Aisee chukua hii, naona ndani ya nchi kuna watu wamemkumbatia shetani , kiwango ambacho wanamuona Mungu kama sisimizi, nakwambia jiandaeni kuona kwamba Mungu hajalibiwi, huwezi kuwa na roho mbaya kiasi ichi kama vile hukuzaliwa ,au ukubebwa tumboni miezi 9 , hii ni kiwango cha level ya mwisho ya ushetani
Bado tunarudi pale-pale ujuaji usiokuwa na tija.Wewe kweli ni mjinga. Tanzania yenye idara ya uusalama wa taifa, polisi, majeshi, halafu watu walipe vijana sehemu mbalmbali za nchi eti kufanya vurugu, halafu hakuna mlipaji hata mmoja mliyemkamata! Sisi sio wajinga hivo.
Your own writeup is crap, and you consider yourself smart?
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Ni aibu ku-expose upumbavu wako chawa usiye na haya, video clips zilikuwa zaidi ya 100 tulizozishuhudia na hakuna hata moja iliyoonyesha waandamanaji wakiwa na silaha za jadi ila polisi wakimiminia watu wasio na silaha kila mtu aliyekuwa anafuatilia yaliyokuwa yakitokea ameziona.
Prime suspect ni Samia, yeye huyohuyo ndiyo ameunda tume, tume ilikuwa na hao chawa ambapo almost all of the have conflict of interest sasa unakuwa zuzu wa kiwango kikubwa kwa kiasi gani uuchukulie huo upuuzi waliouwasilisha kuwa ni credible report ya uchunguzi.
Common sense isn't common anymore.
Duh! Tuhuma nzito hii mkuu, unamtuhumu hata usiye mjua, hujawahi kukutana naye, wala hujui anakoishi. Je, akiwa ni nafsi yako utakimbilia wapi mkuu.πππMLeta mada atakuwa miongoni mwa wauaji walioondolewa akili na damu za watu.
Sawa sawa, ila umesahau kuwasema wanaokataa kuwa waliotekwa ni mambo ya mapenzi, kujiteka wenyewe.Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Hakuna hoja! Ni matusi tu. πππSasa wewe ni funza wa takoni au chohoni?
Kwamba hiyo tume fake Kwa kuwa imesema sisi wote tukubali ilichosema:Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Kana vitu kwenye hii tume ni vya kitoto kabisa. Tumia commo. Sense ni utoto mwingi halaf wanalazimisha ndio iwe narrativeNi vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?