Wajinga tu ndiyo wataamini kilichosemwa na hicho kizee kipumbavu.Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Mkuu iko hivi , kitendo cha watawala kuendelea kutubagaza watz kwa mauwaji ya Oct 29/2025 kupitia iyo tume uchwara hakikubaliki , hata kama umeiba uchaguzi ilikua ni busara kuchutama , kukiri ,na kutafuta suruhu kama nchi, leo unakazia kama vile waliouliwa ni kuku , na kweli ukalia kiti kwa furaha ukiwa unawaona wanao wazima wa afya ,so sie ambao tumepoteza watoto wetu hatujui machungu ya kuzaa na kulea.Sawa mkuu, na mimi nakupa hii.... Ukae usome hii analysis iliyokosoa ripoti ya CNN.
Niseme tu,kuna mambo HAYASAFISHIKI. Anyway you can keep on trying!Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Pole sana mkuu, na pole kwetu sisi wote watanzania. Wanaume wa Mara hua ni vigumu kutoa machozi ila mimi leo yamenitoka kwa ulivyoainisha kupoteza vijana wako.Mkuu iko hivi , kitendo cha watawala kuendelea kutubagaza watz kwa mauwaji ya Oct 29/2025 kupitia iyo tume uchwara hakikubaliki , hata kama umeiba uchaguzi ilikua ni busara kuchutama , kukiri ,na kutafuta suruhu kama nchi, leo unakazia kama vile waliouliwa ni kuku , na kweli ukalia kiti kwa furaha ukiwa unawaona wanao wazima wa afya ,so sie ambao tumepoteza watoto wetu hatujui machungu ya kuzaa na kulea.
Ilikua alie kwenye kiti angalau kuonesha kukerwa hata kama anajua in and out what happened, ila badala yake anabariki kwa njia moja au nyingie,
Kwanza hii tume imekuja kuturudisha kwenye majonzi bora hata isingeundwa ,au bora iyo report yao isingesomwa.
Usiku mzima nimelala nalia nikikumbuka vijana wangu, moyo ulishaanza angalau kupona sasa kidonda kimeanza upya ,
Sawa mkuu, napunguza...πππNawe Punguza Ujuaji Dogo.....
Huyu hajui alitendalo. Ulaji wa namna hii ni mbaya.Kwamba hiyo tume fake Kwa kuwa imesema sisi wote tukubali ilichosema:
Eti, hayakuwa maandamano bali zilikuwa ghasia. Ni mjinga pekee atakayekubali huu upuuzi, kama anatuambia kuwa mpaka upande wa pili usikilizwe, (a) kwanini hakutuambia kama procedure za notice hazikufatwa au zilifatwa kama alivyotuambia kuwa maandamano lazima yatolewe notice? (b) Kwanini hajatueleza kama aliusikiliza upande wa pili ili yeye kufikia hitimisho lake lake kuwa hayakuwa maandamano kwasababu ametueleza kuwa haiwezekan kutoa hukumu bila kusikilizwa upande wa pili?
Eti wafanya ghasia walipewa mafunzo sehemu mbalimbali ikiwemo nyumba iliyo umbali wa mita 10 kutoka kituo cha police;
(a)Ikiwa hii ndio hoja kwanini polisi walioshindwa kugundua uhalifu huo wakati zamana ya ulinzi wa watu na Mali zao wamekabidhiwa wao Kwa mujibu wa Sheria na wao ndio wamesomea mambo hayo? au intelijensia yao imejikita chadema tu? (b) Tumeelezwa kuwa moja ya chanzo ni wanaharakati kupitia mitandao ya kijamii na kwamba TCRA walitoa tahadhari mapema, kama ndio hivyo kwanin police hawakutumia tahadhari ya TCRA kudhibiti matukio hayo?
Kwa kushindwa huko polisi kufanya kazi waliyopewa kisheria kwanin wasiwajibike? Halafu mjinga mmoja kama wewe unataka sote tuamini upuuzi wa chande.
Eti, wafanya ghasia walikuwa na silaha: kama walikuwa na silaha je ADHABU yao ni kuuwawa? Kwanin hatujaona hata clip moja ikionyesha wafanya ghasia hao wakiwa na bunduki? Na kama walikuwa na mafunzo na wanabunduki walishindwa nini kuuwa Askari wengi badala yake Askari wafe kiduchu? Lakin utamadun wa jeshi la polisi ni kuaga asikari waliouwawa hiyo report mbona hawajatuambia Askari waliouwawa waliagwa kijeshi wapi? Case study ni tukio la hamza kule dar Askari waliouwawa waliagwa kijeshi. (c) Hiyo report imetaja silaha walikuwa nazo wafanya ghasia mbona hajatueleza ni aina gani ya silaha hasa aina ya bunduki badala yake ametaja jumla jumla tu?
Eti, wafanya ghasia walilipwa pesa;
Kama hii nayo ni hoja (a) Kwanini hajatutajia Kwa jina mlipaji alikuwa nani? (b) Kwanin hajatutajia jumla ya pesa zilizolipwa? (c) Kwanin hajatutajia njia iliyotumika kulipa watu kama ni by cash,mobile or bank.
Naishia hapo nitakuja tena badae.
Ila napenda kueleza kuwa hakuna uhalifu ulifanyika 29 October utafichwa liwe jua iwe mvua ni swala la muda tu tena muda mchache sana.
Wale vijana walikuwa wanaandamana uliona hata mmoja mwenye silaha? Tume la kipumbavu! Eti yanakuja na majibu yale yale Samunya alisema wakati wanaunda hiyo tume! Ujinga mtupu!Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Pole sana mkuu. Haya yana mwisho. Mungu hajalala!Mkuu iko hivi , kitendo cha watawala kuendelea kutubagaza watz kwa mauwaji ya Oct 29/2025 kupitia iyo tume uchwara hakikubaliki , hata kama umeiba uchaguzi ilikua ni busara kuchutama , kukiri ,na kutafuta suruhu kama nchi, leo unakazia kama vile waliouliwa ni kuku , na kweli ukalia kiti kwa furaha ukiwa unawaona wanao wazima wa afya ,so sie ambao tumepoteza watoto wetu hatujui machungu ya kuzaa na kulea.
Ilikua alie kwenye kiti angalau kuonesha kukerwa hata kama anajua in and out what happened, ila badala yake anabariki kwa njia moja au nyingie,
Kwanza hii tume imekuja kuturudisha kwenye majonzi bora hata isingeundwa ,au bora iyo report yao isingesomwa.
Usiku mzima nimelala nalia nikikumbuka vijana wangu, moyo ulishaanza angalau kupona sasa kidonda kimeanza upya ,
Kwa hiyo wewe na bicha lako hilo unaamini hiyo ripoti ni sahihi? Kwanza ni ripoti ya Rais wewe unaishabikia tu. Hiyo sio ripoti ni ujinga tu wa Mtu mweusi.Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
... delaying tactics kujaribu kuwasahalisha unyama waliotenda. Tumeimeshakula, wanataka kuunda tena tume nyingine na nyingine indefinitelyBado tunarudi pale-pale ujuaji usiokuwa na tija.
Kwenye ripoti ya Chande, amependekeza kuundwa Tume ya upelelezi, itakayokuja na majibu ni akina nani walifadhili (wahusika wakuu).
Huna akili!! Huna kabisa!Kabla ya kuandika fikiria kimo chako cha kufikiri, pili siandiki kumfurahisha mtu, naandika uhalisia. Kaa kwa kutulia.
Na waliwalipaje?. Tume imezua maswali mengi zaidi badala ya kutoa Majibu. Heri wangeifungia kabatini tu.Hao waliowalipa hao wafanya vurugu ni akina nani?
Rudi ukasikilize tena Mhe. Chande, alichozungumza kuna majibu ya hilo swali mkuu.πππHao waliowalipa hao wafanya vurugu ni akina nani?
Vi-emoj vingiiii! Dalili ya RainbowNi vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Wanaogoma watoe ripoti zaoNi vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?