greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,764
- 3,230
Ukiandika kiingereza ndiyo unajikuta mwelevu mwenyewe ππ€£π€£π€£Kwenye Post sijakuita wewe mjinga, wala kuita mtu mjinga. Soma, elewa kisha ukurupuke kuandika.
Thinking you are smart is not enough; you must prove your intelligence through what you speak and write.
Kuna wale wajuaji wanaowasubiri ICC waje wamchukue Samia wakamshtaki huko The Hague, wanaendelea kuota wakiwa wanatembea mchana kweupe.Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Wakati mnafanya ule uhuni alikuwa rais wa Tanzania mpaka muda huu bado Rais wa JMT, nchi haongozwi kama kilabu ya pombe chafu inaongozwa kwa taratibu rasmi za kimaandishi.Wewe ni mavi mkojo! Mtuhumiwa anajiubdiantume. Wewe ni mjinga mavi mkojo
Vijana wote waliopata ulemavu kwa kadhia ile serikali imeahidi kuwahudumia masuala yote ya afya zao, ikiwemo kuwapatia miguu ya bandia wale waliopata ulemavu.Mkuu iko hivi , kitendo cha watawala kuendelea kutubagaza watz kwa mauwaji ya Oct 29/2025 kupitia iyo tume uchwara hakikubaliki , hata kama umeiba uchaguzi ilikua ni busara kuchutama , kukiri ,na kutafuta suruhu kama nchi, leo unakazia kama vile waliouliwa ni kuku , na kweli ukalia kiti kwa furaha ukiwa unawaona wanao wazima wa afya ,so sie ambao tumepoteza watoto wetu hatujui machungu ya kuzaa na kulea.
Ilikua alie kwenye kiti angalau kuonesha kukerwa hata kama anajua in and out what happened, ila badala yake anabariki kwa njia moja au nyingie,
Kwanza hii tume imekuja kuturudisha kwenye majonzi bora hata isingeundwa ,au bora iyo report yao isingesomwa.
Usiku mzima nimelala nalia nikikumbuka vijana wangu, moyo ulishaanza angalau kupona sasa kidonda kimeanza upya ,
Ujinga sio tusi, ulichoandika kimemfanya mchangiaji kukuona mjinga. Ila mimi najua wewe sio mjinga. Kwa akili zako umeamua kukubali ujinga wa tume.Kwenye Post sijakuita wewe mjinga, wala kuita mtu mjinga. Soma, elewa kisha ukurupuke kuandika.
Thinking you are smart is not enough; you must prove your intelligence through what you speak and write.
Yaani uongo wa wazi ushindwe kuujua? Geita na Songwe watu wengi pia waliuwawa, kwenye mikoa ya watu waliokufa hiyo mikoa ipo?Kwani Lazarus Chakwera na yeye si atatoa taarifa? Suala unalinganisha vipi evidence sio unalala unaamka unatoa data kichwani individual. Hii Tume ya Chande ni ya kwanza, tunasubiri zingine ndio tunafanya comparison then we Judge, lakini how comes you judge kitu ambacho hauna evidence ya kuipinga?
Ur a, stain in humanity,Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
AI generated my foot, keep on exposing your stupidity. Chawa Chande kwa maelekezo ya muuaji Samia ndiyo waaminishe watu wenye akili timamu kuwa clips zilikuwa AI generated. Nobody is buying that crap so keep it inside your butt-hole.Walio expose hizo videos, ambazo zingine zilikuwa AI generated si walikua timu moja na wale wa CNN? Na hao ndio walituambia kuna makaburi ya halaiki?
Huo ndio nasema ujuaji usio na tija, kwenye Ripoti ya Chande, wamesema wao pamoja na timu ya wataalamu walifika katika eneo hilo lililodaiwa kuwa na kaburi ya halaiki na kukuta hakuna kaburi la halaiki, pia kuna wakazi wengi wanaendesha shughuli zao katika hilo.
Nadhani mnaopinga, mngesubiri taarifa ya Mjumbe wa CommonWealth Lazarus Chakwera kuja na taarifa yake kisha mlinganishe. Siyo kuleta kujua kwingi na hauna unachojua tofauti na kuendeshwa na hisia binafsi. Vinginevyo bisha na varied and verified evidence.
Mwisho, nimekupa hii analysis uisome...
Inaitwa reading between the lines au tuseme the flow of information, maelezo ya mtu yanakuwezesha kumfahamu 'somehow' na mimi pia nilishafikia conclusion hiyohiyo.Duh! Tuhuma nzito hii mkuu, unamtuhumu hata usiye mjua, hujawahi kukutana naye, wala hujui anakoishi. Je, akiwa ni nafsi yako utakimbilia wapi mkuu.πππ
π₯π₯π₯π₯Kwamba hiyo tume fake Kwa kuwa imesema sisi wote tukubali ilichosema:
Eti, hayakuwa maandamano bali zilikuwa ghasia. Ni mjinga pekee atakayekubali huu upuuzi, kama anatuambia kuwa mpaka upande wa pili usikilizwe, (a) kwanini hakutuambia kama procedure za notice hazikufatwa au zilifatwa kama alivyotuambia kuwa maandamano lazima yatolewe notice? (b) Kwanini hajatueleza kama aliusikiliza upande wa pili ili yeye kufikia hitimisho lake lake kuwa hayakuwa maandamano kwasababu ametueleza kuwa haiwezekan kutoa hukumu bila kusikilizwa upande wa pili?
Eti wafanya ghasia walipewa mafunzo sehemu mbalimbali ikiwemo nyumba iliyo umbali wa mita 10 kutoka kituo cha police;
(a)Ikiwa hii ndio hoja kwanini polisi walioshindwa kugundua uhalifu huo wakati zamana ya ulinzi wa watu na Mali zao wamekabidhiwa wao Kwa mujibu wa Sheria na wao ndio wamesomea mambo hayo? au intelijensia yao imejikita chadema tu? (b) Tumeelezwa kuwa moja ya chanzo ni wanaharakati kupitia mitandao ya kijamii na kwamba TCRA walitoa tahadhari mapema, kama ndio hivyo kwanin police hawakutumia tahadhari ya TCRA kudhibiti matukio hayo?
Kwa kushindwa huko polisi kufanya kazi waliyopewa kisheria kwanin wasiwajibike? Halafu mjinga mmoja kama wewe unataka sote tuamini upuuzi wa chande.
Eti, wafanya ghasia walikuwa na silaha: kama walikuwa na silaha je ADHABU yao ni kuuwawa? Kwanin hatujaona hata clip moja ikionyesha wafanya ghasia hao wakiwa na bunduki? Na kama walikuwa na mafunzo na wanabunduki walishindwa nini kuuwa Askari wengi badala yake Askari wafe kiduchu? Lakin utamadun wa jeshi la polisi ni kuaga asikari waliouwawa hiyo report mbona hawajatuambia Askari waliouwawa waliagwa kijeshi wapi? Case study ni tukio la hamza kule dar Askari waliouwawa waliagwa kijeshi. (c) Hiyo report imetaja silaha walikuwa nazo wafanya ghasia mbona hajatueleza ni aina gani ya silaha hasa aina ya bunduki badala yake ametaja jumla jumla tu?
Eti, wafanya ghasia walilipwa pesa;
Kama hii nayo ni hoja (a) Kwanini hajatutajia Kwa jina mlipaji alikuwa nani? (b) Kwanin hajatutajia jumla ya pesa zilizolipwa? (c) Kwanin hajatutajia njia iliyotumika kulipa watu kama ni by cash,mobile or bank.
Naishia hapo nitakuja tena badae.
Ila napenda kueleza kuwa hakuna uhalifu ulifanyika 29 October utafichwa liwe jua iwe mvua ni swala la muda tu tena muda mchache sana.
Sasa wewe utaamini taarifa ipi, kama ya Chande hauiamini na hata wa mjumbe wa Jumuiya ya Madola Lazarus Chakwera unasema humuamini.AI generated my foot, keep on exposing your stupidity. Chawa Chande kwa maelekezo ya muuaji Samia ndiyo waaminishe watu wenye akili timamu kuwa clips zilikuwa AI generated. Nobody is buying that crap so keep it inside your butt-hole.
Namjua Chakwera kuliko ubavyomjua wewe, hivi unafahamu kuwa alimuua Salous Chilima akiamini itamsaidia itamsaidia kushinda second term lakini ika-backfire? Unless kusiwe na influence yake personally kwani naye anaamini katika kuua kulinda madaraka kama ilivyo kwa bloodthirsty serial killer Samia.
Duh! πππUjinga sio tusi, ulichoandika kimemfanya mchangiaji kukuona mjinga. Ila mimi najua wewe sio mjinga. Kwa akili zako umeamua kukubali ujinga wa tume.
Tatizo ni CHADEMA. Wanakataa kushiriki uchaguzi halafu wanakosoa ushindi wa Samia. Wanakataa kuhojiwa na Tume ya Jaji Chande lakini wanahoji matokeo ya ripoti.Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali walitumia upepo na maji?
Nachukia sana jamii isiyokuwa na uwezo wa kupambanua mambo (reasoning) lakini inadhani inajua, wakati haijui. Hii ni sawa na mama yako akwambie baba yako ni fulani, kisha wewe unagoma? πππ
Unaambiwa kuna makundi yalilipwa, na wengine wenye akili mbovu wakaunga msafara; wewe unabisha pasipo hata kutoa ushahidi (evidence). Hii ni sawa na mwanaume kulazimisha mtoto ambaye si wake kuwa wake kisa tu amemlea tangu akiwa kichanga! πππ
Au ndio tulitaka tuipangie Tume cha kufanya? Yaani, Tume iache professionalism na Integrity ifuate hisia.
Yote ya yote, Tume chini ya Mhe. Chande imefanya kazi nzuri. Hongera kwa timu nzima na mashahidi waliowasilisha ushahidi.
-Alloyce, P.R.
Katiba ya JMT ndiyo inampa Rais Mamlaka ya kuunda Tume, sasa ulitaka Tume aunde Father Charles Kitima? Nyie watu wapumbavu sana, hamsomi Katiba.Ni aibu ku-expose upumbavu wako chawa usiye na haya, video clips zilikuwa zaidi ya 100 tulizozishuhudia na hakuna hata moja iliyoonyesha waandamanaji wakiwa na silaha za jadi ila polisi wakimiminia watu wasio na silaha kila mtu aliyekuwa anafuatilia yaliyokuwa yakitokea ameziona.
Prime suspect ni Samia, yeye huyohuyo ndiyo ameunda tume, tume ilikuwa na hao chawa ambapo almost all of the have conflict of interest sasa unakuwa zuzu wa kiwango kikubwa kwa kiasi gani uuchukulie huo upuuzi waliouwasilisha kuwa ni credible report ya uchunguzi.
Common sense isn't common anymore.