Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

May I repeat, maisha bora, kipato bora ni jukumu lako mkuu.

Financial and social freedom is YOUR responsibility not theirs, not Government's - it's squarely yours.
Begin now by changing your mindset- how you view life, world, work, spirituality etc.
Achana na ujamaa, utakupotezea muda, maisha, fursa nk.
Wishing you best of luck!
 
Ndio maana nimeandika hapo Namba kwamba Uwezo wa kufikiri ni Mdogo ,sasa ulichoandika ni tuhuma au ushahidi ?
 
Labda Tanzania ya Burundi huko alikotokea Magufuli lakini siyo Tanzania hii. Kwa taarifa yako HATUTARUHUSU tena kiongozi mshamba na muuaji kama Magufuli atutawale
Hutaruhusu sio hatutaruhusu
 
Labda Tanzania ya Burundi huko alikotokea Magufuli lakini siyo Tanzania hii. Kwa taarifa yako HATUTARUHUSU tena kiongozi mshamba na muuaji kama Magufuli atutawale
Wananchi wengi wana Uwezo wa kufikiri kama ulionao wewe haijalishi levele zao Elimu ,sasa unategemea nini kwa mtu ambae hana Uwezo kufikiri na katafakari kwa kila anacho ambiwa au kusikia ? Mtu huyu anahitaji kuongozwa njia sahihi .
 
Wa nini, Rais wetu tuliyenaye anatosha.
 
Wananchi wengi wana Uwezo wa kufikiri kama ulionao wewe haijalishi levele zao Elimu ,sasa unategemea nini kwa mtu ambae hana Uwezo kufikiri na katafakari kwa kila anacho ambiwa au kusikia ? Mtu huyu anahitaji kuongozwa njia sahihi .
Wananchi wanaotaka mtu kama Magufuli ni wajinga na hawana akili. Najuwa ni wengi na wanafika hata 80% ukiwamo wewe pia. Ila tutawasaidia kwa kuwaelimisha kuwa pale TULIKOSEWA sana na Kikwette na Kamati kuu ya CCM kutuletea kama mgombea wa CCM na kisha kupewa URais wa Tanzania.

Mungu alisahihisha makosa ya Kikwette na CCM kwa kumuondosha mapema March 2021 kabla hajaipeleka nchi yetu papaya sana. I assure you kama angekuwa hai inawezekana hata wewe leo RNA ungekuwa umekufa au uko rumande kama Magufuli angekuwa hai
 
Katiba inayokuja
1. Je itaondoa ujinga wa kutotumia Elimu kwa usahihi?
2. Itaondoa uvivu? Na kutowajibika

Hii iliyopo na ubovu wake ikifuatwa hata kwa robo tu taifa linasonga.
Sometime wengine inabidi wauawe ikiwa wanaleta ujinga ili wajinga wanaoona waogope hata kama hawakubali, lkn wajue watakufa.
Unadhani utamaduni uliokithiri unaondoka overnight?
Pamoja na weakness za Jpm lkn amefanya tujue inawezekana kukawa na weledi kazini hata iwe kwa hofu.
Hao majambazi unaowataja nao wangeshughulikiwa. Mbona aliyejaribu kutikisa hakuuo a ukuu wa mkoa tena?
Lakini hata Mbwa hutumika kuzuia waharifu, kwahiyo kama kuna jambazi atatumika kuzuia majambazi kwetu ni salama.
Kuhusu kuiba kura hilo sio Tz tu. USA walidai Trump aliiba, Kenya ni miaka yote baba anadai kuibiwa, China ndio kabisaaa, lkn Nyerere mbona tulipigishwa kura kumchagua yeye pasipo kuwepo mpinzani? Na ulikuwa umeufyata mkia au wewe ni mtoto hujui. Unajua Mzee Mwinyi aligombea na nani na uchaguzi ulifanyika kwa hela zetu za kodi? Rasi yupo duniani anapita kwa kura sahihi , toa ushahidi? Acha waibe ila maendeleo na haki ziwepo
 
Yote ukiyoandika ni sawa. Ila watanzania tulikosewa sana na CCM kutuletea Magufuli kama Rais. Na Mungu analijuwa hilo akalisahihisha mapema March 17, 2021
 
Yote ukiyoandika ni sawa. Ila watanzania tulikosewa sana na CCM kutuletea Magufuli kama Rais. Na Mungu analijuwa hilo akalisahihisha mapema March 17, 2021
Kuna sheria za kidini zinasema
Usilitaje Jina la Mungu bure, Maana Mungu hatamuhesabia hana hatia mtu atajaye Juna la Mungu bure.
 
Kuna report yoyote uliiona ikisema uchumi wetu umepungia kukua au unakua kwa 2% ?

Lugha kiuchumia ata kasi ya kukua ikipungua kuwa negative itatamkwa hivohivo kuwa uchumi wa nchi fulan unakua kwa -0.4%!

Sasa leta report yoyote ambayo uliwahi kuiona uchumi wetu unakua kwa percent 2 tu! Inshort hakuna!

Kwa msaada zaidi, yale ni makadilio tu, world bank waaweza kutoa makadilio yao, ila IMF ikija kufanya makadilio nayo itatoa inavyoona! Na kumbuka sio lazima makadilio ya World Bank na IMF yaendane! Serikali nayo itatoa makadilio yao ambayo sio lazima yaendane na ya World Bank ma IMF.
 
TANZANIA HAIHITAJI AINA YA RAIS UNAEMFIKIRIA WEWE, NO NO NO.
 
He mkuu bado unamuwaza nduli tuu., kule zanzibar walipelekewa mamluki siku za uchaguzi watu walipigwa sana na kumwaga dam mbali matukio ya watu kutekwa na watu wasiojulikana, viroba viliokotwa huko fukweni nk, makesi ya kubambika na zahma tele unatamani haya yote yarudi???
 
Hakika. Tanzania inahitaji Rais mwenye sifa zifuatazo:-
1. Mzalendo wa kweli kabisa.
2. Mwenye uwezo binafsi(IQ ya juu)
3. Awe mchapakazi(asiwe uji uji)
4. Awe na ujasiri wa kiwango cha kimataifa.
5. Awe na uchungu wa Rasilimali za Nchi.
6. Awe dictator wa maendeleo ya kweli ya Nchi.
7. Awe tayari kuweka Rehani Maisha yake kwa ajili ya Watanzania.
 
Kabisa !!
 
Yote ukiyoandika ni sawa. Ila watanzania tulikosewa sana na CCM kutuletea Magufuli kama Rais. Na Mungu analijuwa hilo akalisahihisha mapema March 17, 2021
God doesn’t make mistakes; neither of us is a mistake.learn to respect others
 
Asante kwa kurudia nilichomaanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…