Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,059
May I repeat, maisha bora, kipato bora ni jukumu lako mkuu.Wakishashiba kwa dhuluma, kupitia zile priviledge walizozipata kutokana na wizi, wanakuwa kama wananena kwa lugha hivi.
Tayari uko kwenye nchi inayozungumzia ujenzi na matumizi ya vyoo bora, madarasa, kipindupindu, vifo vya wamama wajawazito, sio tu kutosha ila kutokuwepo kwa umeme sehemu kubwa ya nchi, njia zisizopitika, mikopo ya hovyo, KISHA unasemaje? Sio mnyonge? Sio mlala hoi?
Ukiwa unaitwa Miraji Kikwenga, Fred Lowasa, Sijui nani kingunge na the likes, uko sahihi kuzungumza hivyo
Financial and social freedom is YOUR responsibility not theirs, not Government's - it's squarely yours.
Begin now by changing your mindset- how you view life, world, work, spirituality etc.
Achana na ujamaa, utakupotezea muda, maisha, fursa nk.
Wishing you best of luck!