Mbona hukuongelea mawio lilipofungiwa? Unaongelea Tanzania Daima, au Uhuru kwanini usiliongelee mbona hawakulipwa miaka miwili?mkuu Media kuingia kwenye taharuki unaliona jambo dogo na lisilo la muhimu?
Kwani wewe ni mmoja kati ya 14?punguza hasira.MMEAKALIA MAJUNGU NYIE WATU MLIO VERY MISSERABLE AND HORRIBLE. Kwani likiwa na ukata yale matoilet paper ,mliyouza hadi machine yatapata hela na kufufuka?Huu ujinga ndio huwa unawafanya mfukuze watu waliozifanya taasisi za umma zipate hela mkidhani wao ndio wamefuata hela.Mkiingia mnachemsha. Kazi kubwa ccm waliyofanya ya hujuma,na bado mafanikio kiduchu ,msingekuja bila iabu hapa. MIaka nenda rudi watu wenye vichwa vidogo vya zika wamekuwa akikimbilia kuhujumu wengine waanaguke wakidhani wa ndio watainuka.Hizo nguvu mngezitumia kujijenga mngekuwa pema zaidi.
sio kusema, kweli Alabama matumiziTuseme nae anabana matumizi km Mh au?
MMEAKALIA MAJUNGU NYIE WATU MLIO VERY MISSERABLE AND HORRIBLE. Kwani likiwa na ukata yale matoilet paper ,mliyouza hadi machine yatapata hela na kufufuka?Huu ujinga ndio huwa unawafanya mfukuze watu waliozifanya taasisi za umma zipate hela mkidhani wao ndio wamefuata hela.Mkiingia mnachemsha. Kazi kubwa ccm waliyofanya ya hujuma,na bado mafanikio kiduchu ,msingekuja bila iabu hapa. MIaka nenda rudi watu wenye vichwa vidogo vya zika wamekuwa akikimbilia kuhujumu wengine waanaguke wakidhani wa ndio watainuka.Hizo nguvu mngezitumia kujijenga mngekuwa pema zaidi.
Wewe waita uzushi watu wanakufa njaaaMbowe ni mtu makini hawezi kufanya Huu upuuzi. Huu ni uzushi mtupu!
Sie watanzania sio wa ivyo..major ishuz hatuzimudu..Bado tupo kwenye kampeni kwanzanarudia tens wandugu tushiriki kujadili mambo ya msingi yatakayotukwamua toka hapa tulipo,,tuachane na minor issues kama hizi
Bangi za Jana bado zimo kichwani?narudia tens wandugu tushiriki kujadili mambo ya msingi yatakayotukwamua toka hapa tulipo,,tuachane na minor issues kama hizi
yes anabana matumizi ila yeye na genge lake wanachukia serikali ikibana matumizi na kupambana na ubadhilufuTuseme nae anabana matumizi km Mh au?
its high time hawa wahariri are a liability kwenye media houses, badala ya kushughulika na kazi zao wako busy kupiga deal na wanasiasa, hivi ukijiuliza pale Habari walikojaa wakina Kibanda, Msaki, nk kwa gazeti linalouza nakala 1500, mtu yeyote mwenye akili atajiuliza wanafanya nini watu kibao. Hongera Mbowe its high time wahariri waache kujidanganya kuwa wao ni babu kubwa, du hii kali kabisa hata hivyo tasnia nzima inahitaji mabadiliko, watu wamekaa kwa muda mrefu mno hakuna innovation any more maisha ni business as usual, du, sasa ulaji wa muswada wa habari utafanyikaje? labda aenda habari jamvi la wageni au mwenyekiti wa Moat amchukue kule kwakeCcm inachanua chanu
View attachment 454642
Kuna taarifa kuwa jana tarehe 04 Januari, 2017 Katika ofisi za gazeti la Tanzania Daima kulikuwa na patashika Nguo kuchanika. Kwa mujibu wa mdakuzi wa taarifa hii, chanzo cha patashika hiyo ilitokana na UKATA unaoukabila uongozi wa gazeti hilo, hali iliyopelekea Watumishi kutolipwa mishahara yao yapata miezi MITANO sasa. Habari zaidi zinasema mhariri Mkuu wa Tanzania Daima, Ndugu NEVILLE MEENA ametimuliwa kazi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuingiza wafanyakazi wengi wasiyo kuwa na tija kwa gazeti huku wakilipwa mishahara mikubwa.
Wakati huo huo Mmiliki wa gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), FREEMAN AIKAELI MBOWE ametoa maagizo ya kuwatimua wafanyakazi wangine na kuwabakiza kumi na nne(14) tu.
Aliuza shilingi ngapi?Tusiusmee moyo, yote yanawezekana. Nani alijua anaweza kuuza chama kwa FISADI? Nani alijua kuwa hakuwa analipa kodi kwa takribani miaka 20?
Unatumia vigezo gani kuiita hii habari kuwa ni ya "kweli"?Yaani hata hii habari ya kweli unaikataa?