Tetesi: Tanzania Daima Hali Siyo Shwari, Mhariri Mkuu, Ndugu Neville Meena Atimuliwa Kazi

Tetesi: Tanzania Daima Hali Siyo Shwari, Mhariri Mkuu, Ndugu Neville Meena Atimuliwa Kazi

mkuu Media kuingia kwenye taharuki unaliona jambo dogo na lisilo la muhimu?
Mbona hukuongelea mawio lilipofungiwa? Unaongelea Tanzania Daima, au Uhuru kwanini usiliongelee mbona hawakulipwa miaka miwili?
 
MMEAKALIA MAJUNGU NYIE WATU MLIO VERY MISSERABLE AND HORRIBLE. Kwani likiwa na ukata yale matoilet paper ,mliyouza hadi machine yatapata hela na kufufuka?Huu ujinga ndio huwa unawafanya mfukuze watu waliozifanya taasisi za umma zipate hela mkidhani wao ndio wamefuata hela.Mkiingia mnachemsha. Kazi kubwa ccm waliyofanya ya hujuma,na bado mafanikio kiduchu ,msingekuja bila iabu hapa. MIaka nenda rudi watu wenye vichwa vidogo vya zika wamekuwa akikimbilia kuhujumu wengine waanaguke wakidhani wa ndio watainuka.Hizo nguvu mngezitumia kujijenga mngekuwa pema zaidi.
Kwani wewe ni mmoja kati ya 14?punguza hasira.
 
Hicho ni kitegauchumi binafsi sio chama.nilazima akisimamie
 
>>>>UKUTA imegeuka kuwa UKATA..........


Hivi operesheni KataFunua inaanza lini??
 
Sisi watu wenye akili kubwa tulishaliona hili.
Na tulisema Sera za uchumi za mtukufu ni mfu na hazina tija.
Tuliwambia private sector ambayo ndiyo muajiri mkubwa inakufa, jobless wanaongezeka lkn watu wengine walibisha.
Tunasema si Mbowe tu atakae kumbwa na sakata hili, watafwatia wengi na hakika watanzania wataendelea kutaabika na ajira zitapotea na umasikini utaongezeka.
Nawahurumia sana wanao furahia kadhia lkn huu ni mzunguko kwa sekta binafsi zote hivyo kama si wewe basi ndg yako ataguswa, au maslai yako yataguswa kwa namna moja AMA nyingine
 
Tuliwaambia Awamu hii siyo ya Akili ndogo kuongoza Akili kubwa
Na bado
 
MMEAKALIA MAJUNGU NYIE WATU MLIO VERY MISSERABLE AND HORRIBLE. Kwani likiwa na ukata yale matoilet paper ,mliyouza hadi machine yatapata hela na kufufuka?Huu ujinga ndio huwa unawafanya mfukuze watu waliozifanya taasisi za umma zipate hela mkidhani wao ndio wamefuata hela.Mkiingia mnachemsha. Kazi kubwa ccm waliyofanya ya hujuma,na bado mafanikio kiduchu ,msingekuja bila iabu hapa. MIaka nenda rudi watu wenye vichwa vidogo vya zika wamekuwa akikimbilia kuhujumu wengine waanaguke wakidhani wa ndio watainuka.Hizo nguvu mngezitumia kujijenga mngekuwa pema zaidi.


Hahahaha... Richard bana..hehehe.... sasa CCM wameingiaje hapo?
 
narudia tens wandugu tushiriki kujadili mambo ya msingi yatakayotukwamua toka hapa tulipo,,tuachane na minor issues kama hizi
Sie watanzania sio wa ivyo..major ishuz hatuzimudu..Bado tupo kwenye kampeni kwanza
 
i
Ccm inachanua chanu
its high time hawa wahariri are a liability kwenye media houses, badala ya kushughulika na kazi zao wako busy kupiga deal na wanasiasa, hivi ukijiuliza pale Habari walikojaa wakina Kibanda, Msaki, nk kwa gazeti linalouza nakala 1500, mtu yeyote mwenye akili atajiuliza wanafanya nini watu kibao. Hongera Mbowe its high time wahariri waache kujidanganya kuwa wao ni babu kubwa, du hii kali kabisa hata hivyo tasnia nzima inahitaji mabadiliko, watu wamekaa kwa muda mrefu mno hakuna innovation any more maisha ni business as usual, du, sasa ulaji wa muswada wa habari utafanyikaje? labda aenda habari jamvi la wageni au mwenyekiti wa Moat amchukue kule kwake
 
View attachment 454642

Kuna taarifa kuwa jana tarehe 04 Januari, 2017 Katika ofisi za gazeti la Tanzania Daima kulikuwa na patashika Nguo kuchanika. Kwa mujibu wa mdakuzi wa taarifa hii, chanzo cha patashika hiyo ilitokana na UKATA unaoukabila uongozi wa gazeti hilo, hali iliyopelekea Watumishi kutolipwa mishahara yao yapata miezi MITANO sasa. Habari zaidi zinasema mhariri Mkuu wa Tanzania Daima, Ndugu NEVILLE MEENA ametimuliwa kazi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuingiza wafanyakazi wengi wasiyo kuwa na tija kwa gazeti huku wakilipwa mishahara mikubwa.

Wakati huo huo Mmiliki wa gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), FREEMAN AIKAELI MBOWE ametoa maagizo ya kuwatimua wafanyakazi wangine na kuwabakiza kumi na nne(14) tu.


Nasubiria hii habari niisome kwenye magazeti ya Uhuru na Habari Leo ndiyo itakuwa imenoga.
Naamini watauelezea huu udaku kwa ufasaha zaidi kuliko alivyouelezea hapa MaiMadiba.
 
Huyu Meena naye aliota mapembe kiaina.Ngoja tusome wote number pamoja
 
Back
Top Bottom