Tanzania haina Mapato ya kubeba ongezeko la Mishahara yote kwa asilimia 23.3%

Kasome Tena uelewe kilichoongezwa ni kima Cha chini kama unajua hisabati ndiyo maana unaona ongezeko la mshahara ni 1.59T sawa dogo tatizo vijana mnasoma sentensi Moja unaleta uzi
 
Sukuma gang wanaona aibu baba yenu alikuwa anatukomesha watumishi ,mama samia oyeeeee
 
Mwandika uzi umeamua tu kuvuruga vilaza wa upinzani na sukuma gang. Asilimia 23 ni kwa kima cha chini ila hiyo asilimia hupungua unapoelekea kima cha juu. Kimsingi sio kila mfanyakazi atapata 23%. Kwamba nchi haiwezi kulipa hizo 23% ni hoja ya kupuuzwa. Hapo hesabu zikipigwa vizuri utakuta kiuhalisia serikali itaongeza labda 15% kwenye wage bill kitu ambacho ni kirahisi mno. Hoja nyingine kwamba tusingeongeza mishahara kwa sababu ya miradi ni ya kipumbavu zaidi. Haina maana watu wanashindwa hata kununua kiberiti ili kujenga reli. Lakini pia hiyo miradi kabla haijaanza tayari walishaplan jinsi ya kuutekeleza. Kama hukukuwa na mkakati wowote basi awamu ya tano itakuwa ni awamu ya ovyo kupata kutokea. Yaani ufanye mradi kwa kuminya haki za wafanyakazi?
 

Kukuza Uchumi hakuhitaji rocket science ila nashindwa kuelewa viongozi wetu wanafeli wapi…

Nchi za kiafrika zinajitaji viongozi jasiri na madikteta siasa na demokrasia ndio umaskini wetu….bila hivyo hatutoboi…
 
sawa brother lakin mbona unafoka imekuuma
 
Sasa hivi serikali inalipa wafanyakazi wake 500bn kwa mwezi.

Tu assume serikali iwaongezee kila mfanyakazi wake 50% ya mshahara wake.

Hii ina maana wage bili itakuwa 750bn kwa mwezi.

Je serikali haiwezi kupata hiyo 250bn kwa mwezi?
We kijana Hebu zima simu ukalale nimefuatilia Hesabu zako inaonyesha hujui kabisa mahesabu fanya hima ujifunze .
 
Mkuu
Mi Binafsi sioni tena kutangazwa bkwa miradi ile mikubwa ya kimkakati!
Sijui nini kumetokea hadi sasa!
NAJIULIZA
Mwenye majibu naomba!!
Kama ile ya jpm ambayo inaigharimu taifa au!! Alikuwa anakopa kimya kimya halafu tunaambiwa ni pesa za ndani. Ukisoeculate zaidi unapotezwa wasiojulikana. To hell jpm
 
Roho mbaya imekujaa...
Wafanyakazi walipokaa miaka 7 Bila kuongezewa Chochote Ndio maendeleo yalikuja??
Siku ukienda kupokea mshahara ndo utajua kuwa hao sukuma gang ni waume zako wanajua kinachoendelea,
Najua utarudi humu kulalamika kwa hesabu ulizopiga ukakuta sicho ulichotegemea.
Na pa kulalamika hutapapata.
 
Lakini pia tusisahau kunapokuwa na mdololo moja kati ya mbinu za kuchangamsha uchumi ni kuongeza mzunguko wa pesa kwenye uchumi. Hii mishahara inakwenda kwa wafanyakazi wa umma ambao wengi wao watazirudisha kwenye uchumi; na kuchochea ukuaji wa uchumi na kuongeza mapato; huo ni mtazamo mwingine, lakini uchumi ni social science, sio kila kinachotegemewa kinatokea. Tujipe muda kidogo.
 
Neno moja kwako wewe ni MPUMBAVU
 
Naona jobless unaumia sana, pole
 
Ninachokijua Ni kuwa Hali ya maisha yatapanda....tukubali Kodi ya pango ipande na bidhaa nyinginezo pia. Ukipandisha mishahara production ya bidhaa pia itapanda maana wafanyakazi Ni sehemu ya mitaji ya kuzalishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…