Tanzania hata kama tungekuwa na dhahabu kila mtaa bado umaskini ungekuwepo

Tuache uchoyo kivipi?
Sijakuelewa
Ndg yangu Sandal bin Ali..unataka dhahabu ili ujenge nyumba ya Madini?
Siyo kila Rasilimali lazima ivunwe!!!!

Wakoloni waliziona na kuzihifadhi . Wakijua kuwa miaka ya mbele kuna kizazi kitahitaji kujikimu...
Tuchape kazi bila kutegemea rasilimaĺi za wazi.
.
 
Habari za asubuhi waungwana!
Nimeamka salama nimekutana na habari moja ya ugunduzi wa madini katika Kijiji fulani huko Mtwara a.k.a Ntwala.
Nikajisemea moyoni kuwa bado hayataleta impact kwa taifa ingawa wananchi wachache watanufaika kwa kupata vibarua huko.
Nimebahatika kufanya kazi kwenye mgodi mkubwa zaidi wa dhahabu Tanzania, nimebahatika kufanya kazi kwenye hifadhi kubwa zaidi Tanzania, na nimebahatika kupita kwenye rasilimali kadhaa Tanzania. Hakika ni utajiri juu ya utajiri.
Hatuhitaji kugundua aina mpya ya madini, hatuhitaji kugundua rasilimali zingine kwa sasa.
Tuna hifadhi za wanyama lukuki
Tuna mito lukuki
Tuna maziwa lukuki
Tuna gesi nyingi
Tuna madini lukuki
Tuna fukwe za mahari kutoka kaskazini mpaka kusini mwa nchi.
Tuna ardhi inayosapoti karibu aina zote za mazao( Tanzania ina mikoa yenye uoto tofauti).
Tuna anga salama na kubwa
Je, kama hivi vyote vimeshindwa kuuondoa umaskini miongoni mwa Watanzania unadhani kuna haja ya ugunduzi wa rasilimali zingine?
Jibu ni hapana.
Tanzania hata tukiwa na dhahabu au almasi kila mtaa bado umaskini utaendelea.
 
Attachments

  • IMG_0579.MP4
    8.5 MB

Umesahau na mademu , tuna mademu kibao.....
 
Kuna siku nulikua napitia psychopia nikaona kuwa duniani kuna Ten great lakes zenye fresh water(maji yasiyo na chumvi) nikaona tatu zipo East Africa,tena Tanzania !!! Kiukweli nililia !!!
Kiukweli ukiangalia maisha ya watu wa baadhu ya maeneo hasa wilaya ya magu ni ukame wa hatari!??
Mimi mwenyewe baada ya kukusoma hapa najisikia kulia lia hapa....
 
Back
Top Bottom