Tanzania hatuna team ya kuingia semi final ya caf champions league, acheni hype

Kanuni ni hii.APITE SIMBA,TUPITE WOTE,AU WOTE TUBAKI
 
you don't have the team to qualify for the finals or the semi
Mwaka jana Yanga alifika fainali shirikisho Afrika ikiwa ni timu yenye kikosi cha bei ndogo katika hiyo michuano.
Je hilo unalizungumziaje???
 
UTOPOLO ya Msimu huu ikipata Deadly striker ina possibility ya kutinga nusu 85%. Imagine wangekutanishwa na Asec unazani Asec wangepona?
 
Hatukatai, chukulia mmojawapo akaingia utasemaje mkuu, au ndo utaukimbia uzii.
 
Wewe ndiyo umeongea kitu chenye akili sana,, Tanzania wanachanganga mpira na siasa , itachukuwa miaka 20 kufika huko wanakoota saizi kufika
 
Unakumbuka yaliyotokea Afcon ya mwaka huu?


Mpira ni mchezo wa dakika 90, timu ikichanga karata zake vizuri inaweza kuchukua kombe mbele ya magiant.


Hao Alahly na Mamelody wana nini hadi wasifungwe?

NB
Kuingia nusu fainali hadi fainali inawezekana ila consistency ndio itakuwa changamoto.
 
Eti wanakuambia sjui simba sjui yanga ya nzengeli na pakome wanapindua meza , hua nikisikia nacheka sana ..
 
Sikumaliza kusoma ila hizo features ulizoziweka hapo zinajitosheleza,atakaebisha ni mmoja ama wa viongozi au mdhamini wa hizo clubs.
 
Hivi hizo hoja za kikosi kutokukamilika ni kwa upande wenu tu au kikosi cha mamelodi hamkifahamu?

Captain wao Zwane,Mvala,beki 3 ile ya Morocco na hata mtukutu Mendieta hakucheza.

Zingatieni vitu alivyovisema jamaa hapo 1-8 kufika kule itakuwa uhakika na siyo kubashiri.
 
Naomba game ijayo Mvala acheze itakuwa poa sna
Yes yule Mmoroco mzuri na Zwane
Mkuu yanga kufika hapo kwenye hiyo hatua hakuna kitu chochote inakwambia!?
1.Exprience(wachezaji wengi wa Yanga walikuwepo msimu uliopita hadi wanacheza final pale Algeria)
2.Quality player ingawa ni wachache ila wapo Diara ,Yao,Job,Bacca,Aucho,Pacome,Mkude n.k Hawa wote ni wachezaji ambao ukiwaambia fanya hivi uwanjani wanafanya
3.leadership nimesema Andre sio mtu mdogo kwa mpira wa Afrika
4.Money ingawa sio kama wao Wala usm Wala belouzidad lakini bado hatuwezi sema ni zmaa zile za bakuli.
Bado naamini kushinda inawezekana
 
Hayo malalamiko mara kikosi hakikuwa kamili mnayatoa wapi?
Unaposema kuwa na pesa siyo tu kumiliki kibunda,je inaenda sehemu sahihi na inatumika ipasavyo?

Angalia,wachezaji wameenda 26,viongozi 12 vipi hapo,unadhani ikitolewa bonus ni kundi lipi litaanza kugombania hizo fedha?

Sina shaka kuwa Mamelodi,Al Ahlly kuwaambia wachazaji wao kuwa wakichukua kombe mzigo wote watajua wenyewe nini cha kuufanya na siyo kwa timu za kabumbu wao kazi yao ni kunyakua mataulo ya walinda milango,kupitia lango lisilo rasimi,kuingia kinyumenyume uwanjani hayo ndiyo wanayoyaweza.
 
Poa ngoja game zipite huenda ukawa sahihi au nikawa sahihi vile kesho si yetu Bali Jana tuone utabiri wa nani utakuwa sahihi ila kama shabiki naiamini team yangu kuwa itafanya vizuri
 
Poa ngoja game zipite huenda ukawa sahihi au nikawa sahihi vile kesho si yetu Bali Jana tuone utabiri wa nani utakuwa sahihi ila kama shabiki naiamini team yangu kuwa itafanya vizuri
Imani na matokeo huwa haviendani.
Tenda halafu vuna.
 
Imani na matokeo huwa haviendani.
Tenda halafu vuna.
Kuna wakati Imani na matokeo vinaendana na Kuna wakati haviendani as Imani huwa ni kwenye kesho na si Leo
Ila kama yasemavyo maandiko "Imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo ,ni bayana ya mambo yasiyoonekana"Waebrania
 
Kuna kitu umesema hapo kinaitwa LUCK
Acha vijana wajaribu bahati yao
Chini ya uongozi madhubuti wa mheshimiwa SIR100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…