mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kanuni ni hii.APITE SIMBA,TUPITE WOTE,AU WOTE TUBAKI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka jana Yanga alifika fainali shirikisho Afrika ikiwa ni timu yenye kikosi cha bei ndogo katika hiyo michuano.you don't have the team to qualify for the finals or the semi
😂😂😂😂😂😂😂Hakika.Ungemalizia Kwa kusema timu itakayovuka robo fainali utatowa tako ndio ningeona upo seriously.
Hapo umechambua au umetabiri?unajua sundowns waste time by possession. I mean they will score one goal and just pass till 90 minutes mark. that's how they win games
Wewe ndiyo umeongea kitu chenye akili sana,, Tanzania wanachanganga mpira na siasa , itachukuwa miaka 20 kufika huko wanakoota saizi kufikadirect to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need
1: experience
2. quality players
3. luck
4. money
5. leadership
6. fans
7.great manager
8. good facilities
tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5 years to reach the semi finals.
acheni hype. tulieni mtapata aibu. mkiweza fanyeni kaZi acheni mpira wa siasa. maneno mingi amna timu ya defenders na mzinze mawenge
yanga yanga kelele nyingi team ya guede na gamondi. acheni siasa tulieni
Unakumbuka yaliyotokea Afcon ya mwaka huu?direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need
1: experience
2. quality players
3. luck
4. money
5. leadership
6. fans
7.great manager
8. good facilities
tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5 years to reach the semi finals.
acheni hype. tulieni mtapata aibu. mkiweza fanyeni kaZi acheni mpira wa siasa. maneno mingi amna timu ya defenders na mzinze mawenge
yanga yanga kelele nyingi team ya guede na gamondi. acheni siasa tulieni
Gamondi has more experience than Nabi.gamondi is not nabi
Unatum8a kigezo gani kusema huyu uwezo anao na huyu hana uwezo hana kama ambavyo umeitaja Yanga isokua na uwezowananchi uwezo awana. no need to run around the bush.
Hiyo "amna" ulifundishwa shuleni kweli.amna atakaye fuzu.
Sikumaliza kusoma ila hizo features ulizoziweka hapo zinajitosheleza,atakaebisha ni mmoja ama wa viongozi au mdhamini wa hizo clubs.direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need
1: experience
2. quality players
3. luck
4. money
5. leadership
6. fans
7.great manager
8. good facilities
tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5 years to reach the semi finals.
acheni hype. tulieni mtapata aibu. mkiweza fanyeni kaZi acheni mpira wa siasa. maneno mingi amna timu ya defenders na mzinze mawenge
yanga yanga kelele nyingi team ya guede na gamondi. acheni siasa tulieni
Hivi hizo hoja za kikosi kutokukamilika ni kwa upande wenu tu au kikosi cha mamelodi hamkifahamu?Kila jambo Lina mwanzo,msimu uliopita yanga kacheza final cafcc
Msimu huu kaingia robo mbele ya team kutoka Algeria tena bingwa wa ligi pale kwao
Ka draw na Mamelody tena akiwa na kikosi ambacho kina upungufu wa wachezaji tegemezi
Huenda huu ndio mwanzo wa kufikia hiyo hatua na pengine kuchukua kombe
1.luck yanga wanayo kwa Sasa
2.uongozi unajitahidi sana (kumbuka Andre Mtine si mtu mdogo kwenye soccer la vilabu afrika)
3.Fedha IPO si kama zamani
4.Quality player wapo kwa level za afrika
Final tunaweza kucheza na kuleta ushindani changamoto ni pale tutakapokutana na Madrid kule duniani itatusumbua sana
Naomba game ijayo Mvala acheze itakuwa poa snaHivi hizo hoja za kikosi kutokukamilika ni kwa upande wenu tu au kikosi cha mamelodi hamkifahamu?
Captain wao Zwane,Mvala,beki 3 ile ya Morocco na hata mtukutu Mendieta hakucheza.
Zingatieni vitu alivyovisema jamaa hapo 1-8 kufika kule itakuwa uhakika na siyo kubashiri.
Hayo malalamiko mara kikosi hakikuwa kamili mnayatoa wapi?Naomba game ijayo Mvala acheze itakuwa poa sna
Yes yule Mmoroco mzuri na Zwane
Mkuu yanga kufika hapo kwenye hiyo hatua hakuna kitu chochote inakwambia!?
1.Exprience(wachezaji wengi wa Yanga walikuwepo msimu uliopita hadi wanacheza final pale Algeria)
2.Quality player ingawa ni wachache ila wapo Diara ,Yao,Job,Bacca,Aucho,Pacome,Mkude n.k Hawa wote ni wachezaji ambao ukiwaambia fanya hivi uwanjani wanafanya
3.leadership nimesema Andre sio mtu mdogo kwa mpira wa Afrika
4.Money ingawa sio kama wao Wala usm Wala belouzidad lakini bado hatuwezi sema ni zmaa zile za bakuli.
Bado naamini kushinda inawezekana
Poa ngoja game zipite huenda ukawa sahihi au nikawa sahihi vile kesho si yetu Bali Jana tuone utabiri wa nani utakuwa sahihi ila kama shabiki naiamini team yangu kuwa itafanya vizuriHayo malalamiko mara kikosi hakikuwa kamili mnayatoa wapi?
Unaposema kuwa na pesa siyo tu kumiliki kibunda,je inaenda sehemu sahihi na inatumika ipasavyo?
Angalia,wachezaji wameenda 26,viongozi 12 vipi hapo,unadhani ikitolewa bonus ni kundi lipi litaanza kugombania hizo fedha?
Sina shaka kuwa Mamelodi,Al Ahlly kuwaambia wachazaji wao kuwa wakichukua kombe mzigo wote watajua wenyewe nini cha kuufanya na siyo kwa timu za kabumbu wao kazi yao ni kunyakua mataulo ya walinda milango,kupitia lango lisilo rasimi,kuingia kinyumenyume uwanjani hayo ndiyo wanayoyaweza.
Imani na matokeo huwa haviendani.Poa ngoja game zipite huenda ukawa sahihi au nikawa sahihi vile kesho si yetu Bali Jana tuone utabiri wa nani utakuwa sahihi ila kama shabiki naiamini team yangu kuwa itafanya vizuri
Kuna wakati Imani na matokeo vinaendana na Kuna wakati haviendani as Imani huwa ni kwenye kesho na si LeoImani na matokeo huwa haviendani.
Tenda halafu vuna.