Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

ndo maana tunawaambia ccm ilishakufa toka 2015 ilibaki ya magu sasa naye kaenda,tarajia makubwa nyani watakavyopararuana wakigombania punje zilizobaki
 
Hasa kanda ile!!!!!!! Zamani kikosi cha Sumbawanga huwezi wajua. Akina Kobelo mzee wa ferry
 
Uiangalie Tanzania na kuipima kwa maendeleo ya kiteknolojia - halafu wote bila kudharau hao TISS uliosema tujiulize:-
(i). Je, tumeendelea kiteknolojia kiasi cha kushinda udukuzi? NDIYO au HAPANA
Hapa rejea nchi kama USA, UK, China, Israel nk ambazo ziko juu kwa maendeleo ya kiteknolojia lkn zinadukuliwa - sasa iweje kwa Tanzania?

(ii). Njia ya kusafisha Ikulu - hapa bado hutakuwa umemaliza tatizo. Njia sahihi ni kuongeza timu ya rasilimali watu ndani na nje ya TISS waliobobea ktk taaluma ya masuala ya TEHAMA, IT, Cyber crimes, nk ili waje na suluhu ya udukuzi na mawasiliano mitandaoni.

(iii). Sheria vs mitandao, blogs, online TVs, na mitandao ya kijamii kuangaliwa upya. Hapa watu wanasajili ID fake sababu ya rooms za kisheria kuwa dhaifu sehemu fulani - kwa ujumla hatuwezi kufanikiwa kwa usalama wa mitandao kwa kutumia njia moja. Zipo njia nyingi zinazo-complement.

Msakila M Kabende
Kigoma
22/03
 
Mkuu una kaujinga unakokalea kichwani mwako.

Unaiponda demokrasia eh?
Nikuulize tu, Magufuli alifikaje pale alipofika?
Au unalivunja daraja la demokrasia alimradi wewe umefika uliko fika.

Ni dhahiri Prez Magufuli alifanya mengi mazuri na ya kuigwa, lakini mengine at the expense of democratic principles.
Kama wewe hutaki democracy si basi Jeshi lipate madaraka liendeshe nchi toka zamani, kwa mawazo hayo Magufuli angeupata wapi urais?

Narudia tena , ni ujinga kudhihaki muundo wa demokrasia uliokufikisha ulipofika, halafu ukafikiria ni business as usual.
 
Eeh bhana hebu endelea
 
dada kama unavyoonekana kwenye picha na wewe utakua mtu wa kitengo si bure
 
Umesahau pia kwamba afya ya Rais inagusa usalama wa nchi. Hao waliovujisha walifanya jambo jema. Sasa ulitakq nchi itawaliwe bila rais?
 
In technolojia Mkuu zamani ilikuwa hakuna sasa hivi in vigumu kuficha mambo. After all hakuna siri ya watu zaidi ya mmoja
 
Siyo kweli and that's not how CIA works.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…