Acha shobo we kumeri.acha kutupotosha mh. ni TISS ambayo unamaana ya TANZANIA INTELLIGENCE and SECURITY SERVICE
siku nyingine kua making kabla ujakosoa maana utakosololewa wewe mwenyewe tena vibaya mno
Aisee hii sio kitu nzuri.....Jeneza na maiti sasa hivi ya Jiwe inazagaa mitandaoni.
Tena video kabisa. Hehehehe [emoji1787]
Nchi hii watu wanatundika suti tu na miwani nyeusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenye hiyo video aweke nasi tuoneHuyo Mpiga Picture Kaachia Video Na Sura Ya JPM, Hatari Technology Inatisha Mno
Kuna Mtu Alikuwa Anauliza Mbona Sura Haipo
Duh! Ndio mkuuOsama kwan alipatikana utawala wa Obama? Nahisi kusahau
Kijamaa nacho kinajidai ni "TITHI".Sasa kwani Mimi nimeàndikaje KADA?
Samahani mkuu nje ya mada, hicho cheo cha Malaika mkuu si ndio mkuu amekifuata huko? Imekuwaje umekimbia nacho huku JF?Usafishaji na kuweka new team si jambo la kubeza.
Information is power kama habari zinasambaa bila utaratibu ni hatari.
Wapangiwe majukumu mengine.
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Kenge hapo ni nani kama siyo wewe?Ni kweli aisee kama huyu kenge kazipata wapi habari za kuwa rais kavutankama sio hao hao tiss!?
Hapana,huyu ni Malaika Mkuu na yule Ni Mkuu wa Malaika.Mmoja yuko duniani mwingine yuko huko kusikoonekana.Samahani mkuu nje ya mada, hicho cheo cha Malaika mkuu si ndio mkuu amekifuata huko? Imekuwaje umekimbia nacho huku JF?
Sawa nimekuelewa mkuu 😄Hapana,huyu ni Malaika Mkuu na yule Ni Mkuu wa Malaika.Mmoja yuko duniani mwingine yuko huko kusikoonekana.
Naam, hii ndo kazi yao - WiZIkazi yao ni kubeba maboksi yaliojaa kura zilizopigwa tayari.
Nilitaka ufikirie tatizo sio kusomea au utoto wa jombiiCompetence also is required
Aise.bas nimezeekaDuh! Ndio mkuu
Hekima ndio zinazidi ukizeeka mkuu usihofuAise.bas nimezeeka
Wewe unadhani Serikali ilianzia Dunia ni? Serikali Chanzo chake ni Mungu na Protocol zote Zina takiwa ziwe na heshima zote na usiri ndio nguzo ya serikali imara na makini.Mkuu unakuwa mjinga kidogo.
Watu wasiporidhika ni vigumu sana kuwanyamazisha.
YOU CANT SILENCE THE WORLD.
Kwamba vyombo vingi vimenyamazishwa siyo kwamba watendaji wote wanaipenda hali hiyo.
Kila binadamu anayo nafsi inayomtuma kutenda sawa hata kama kuna watu hawapendi ukweli ujulikane.
Inawezekana hakupata nafasi ya kuaga pale uwanjani, anataka aiage alie kidogo ajirekodi ajipost kama chinga fulaniUnaitaka ya nini?