Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Inabidi tuwekeze sana kwenye teknolojia,nasisitiza tena tuwekeze kwenye teknolojia na tuanze kuwaandaa vijana wetu wenye 13yrs kwenye izi issue za tech toafauti na hapo kuna siku zitavuja taarifa ambazo zitazua taharuki hadi madhabahuni
 
Pole! Hiyo video imeshaenea sana! Na watumaji na hasa kwenye magroup, wanakamatwa kimya kimya! Be careful. Usisambaze kwa mtu yeyote yule kama una imiliki.

Kama vipi, ifute tu kwa manufaa yako na ya familia yako. Watu wana hasira kama za mbogo kwa kuondokea na mtukufu wao.
 
Tecnojia ndio inafanya mambo yavuje haraka, zamani mambo mengi yalikuwa kwenye makaratasi.

TISS walizuia kabisa watu kupiga picha mwili wa Magufuli lakini leo kuna video inasambaa ikionyesha mwili wa Magufuli ukiwa kwenye jeneza.

Jamaa inaonekana alivaa kamera kwenye miwani ,kofia ama koti.

Tecnolojia imekuwa juu Sana Hadi USA wanalia Kila siku kudukuliwa na Uruss.
Balaa hiyo video naisikia tuu.

Bado sijaiona
 
Inabidi tuwekeze sana kwenye teknolojia,nasisitiza tena tuwekeze kwenye teknolojia na tuanze kuwaandaa vijana wetu wenye 13yrs kwenye izi issue za tech toafauti na hapo kuna siku zitavuja taarifa ambazo zitazua taharuki hadi madhabahuni
Hakika...Mtu kama mimi nilikuwa napenda sana hii shughuli,ila sionekani.

HAWAVUMI LAKINI WAMO
 
Mkuu kumbuka teknolojia ya wakati huu imekua sana tofauti na wakati uliopita mifumo ya upashanaji habari imeongezeka mara dufu.

Kilichopungua wakati huu ni uzalendo tu.
Ndio maana niseme watu wajiulize chanzo kikubwa cha huo uzalendo kushuka ni nini?

Sio wote waliopo hata katika huo mfumo walikua wakifurahishwa na yaliyokua yakiendelea...
 
nikurekebishe hapo. huwezi run heavy operation kama hiyo bila usalama wa taifa.
CIA walihusishwa, navy seals special operators.. pamoja na 106th special aviation squad.
though operation ilikuwa ya CIA.. navy seals wakiwa ni tactical team ya kuekeleza mission.

so ni joint opp. japo mission kama hii ilikuwa ya siri sana that watu wachache walijua. ila si wawili.
Mwisho wa siku UBL aka smoke sulphur akiwa ghorofani akila halua
 
Yule Msanii tu!

Anatumia mitandao ya nje akiwa hapa nchini + server

Walishawahi kumhack ikawa ngumu
Itakua wewe ni mgeni kumfuatilia huyo jamaa nikuambie tu hayupo Tanzania! Nikuongeze asilimia za uhakika kua 100% ila anapenyezewa taarifa

So ili kubalance mzani kuwa kuna muda anapewa tango pori na analipost na kusimamia bila kufuta

Na kuna muda anapenyezewa mzigo halisi!

Nikuambie tu kwanini hata matango pori huwa anapost? Sababu kuu ni kucheza pia na wafuata nyayo yani kuwapoteza wanaomfuatilia kujua taarifa zatokea wapi...

Note: 2019 huyu jamaa alitoa taarifa kuwa kuna boss mkubwa huko jikoni atang'olewa na kweli baadaye aliyekua DGIS Mr Modestus alibadilishwa! So jifunze kumsoma huyu mtu katikati ya mistari sio rahisi sana kumpata maana ni mtu smart sana kwa nilivyogundua
 
Kama ni suala la Usalama tumefeli nchi hii. Kwa macho yangu leo nimeshuhudia picha ya Marehemu magufuli ndani ya Jeneza kavaa shati nyeupe na tai nyekundu...
Watu wa ajabu kweli kweli ukiangalia picha, ule mwili awakumuandaa vizuri kwa mazingira ya kukaa nje kwa muda mrefu. Mwili ushaanza kuvimba hatua za awali za kuharibika.

Kwa hali ile bado tu wanamu expose kwenye joto na kuonyesha sura yake. Wakitoka Zanzibar kuna Mwanza; halafu wamburuze mpaka Chato kwa kupitia miji kadhaa.

Dalili zote zinaonyesha mwili utazikwa ukiwa ushaharibika zaidi now that is very disrespectful kwa marehemu.
 
Mkuu haya ni mambo ya kawaida sana kwenye system ya watu wengi. Bush na Bush Jr walimtafuta Osama zaidi ya 10yr bila mafanikio kosa Lao kubwa lilikuwa ni kushirikisha usalama wa taifa. Obama alifanikiwa kumpata baada ya kushirikisha watu wawili tu na yeye ni wa3. Vijana wakaanza mazoezi bila kufahamu wana mission gani.
Hakuna mission ya hivyo suala la Osama baada ya 9/11 lilikua ni "wanted dead or alive" yani hata maiti ilikua ni kisasi tosha kwa waamerika

Mwaka 1992 makomando wa Israel 5 wa Unit ya Sayeret Matkal walipanga mission ya kumfanyia assasination Sadam Hussein akiwa mazikoni Kwa ndugu yake kila kitu kilikamilika kikisimamiwa na Ehud Barak

Ila walipata ajali ya kujishambulia wao kwa wao ndio mission ikajulikana na kufutwa ila walikwashatangulia wengine na wao wangefuata kama wamaliziaji na ndio mwanzo wa mission hiyo iliyopewa jina la Operation Brumble Bush kujulikana na kufutwa rasmi...
 
So ili kubalance mzani kuwa kuna muda anapewa tango pori na analipost na kusimamia bila kufuta

Na kuna muda anapenyezewa mzigo halisi!


Nikuambie tu kwanini hata matango pori huwa anapost? Sababu kuu ni kucheza pia na wafuata nyayo yani kuwapoteza wanaomfuatilia kujua taarifa zatokea wapi...

Isee hata wewe ni smart...

Kumbe wakati mwingine anasimamia Tango pori lakini ni kuwapotezea watu wasishtukia... nahisi haswa waliopo vitengoni wasichunguzane.

Kumbe watu wanadai anabashiri kumbe ukweli anaujua.

naipenda sana Inteligence
 
Itakua wewe ni mgeni kumfuatilia huyo jamaa nikuambie tu hayupo Tanzania! Nikuongeze asilimia za uhakika kua 100% ila anapenyezewa taarifa....
Ukichunguza hadi kwenye maGroup ya Whatsaap yumo!...kuna admin wa group flani(Vision leaders nahisi) alikuwa anaremove baadhi ya watu waliohisiwa ni moja ya informer wake..lakini jamaa bado yupo anapost Habari zao
 
Mfumo watu wame resist mfumo waliokuwa wanautumikia kwa kuvujisha kila taarifa!
Mahela pia, kama watu wana njaa tusitegemee uzalendo wa kutunza siri, zitauzwa nje nje!

Hata wakitoa makamera na kufukuza watumishi wote, kama watakuwa na mfumo usiofurahiwa na wengi, mishahara ya ovyo, na kuajiri makada wa chama, tutegemee yale yale!

Sasa hivi hata nchi za Africa tulizozikomboa zinajiuliza kama zingechelewa kupata uhuru kama tungeweza kuwa wakombozi kweli??
Tupo uchi, tupo wazi, sad!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Isee hata wewe ni smart...

Kumbe wakati mwingine anasimamia Tango pori lakini ni kuwapotezea watu wasishtukia... nahisi haswa waliopo vitengoni wasichunguzane.

Kumbe watu wanadai anabashiri kumbe ukweli anaujua.

naipenda sana Inteligence
Yani ndio mchezo unakua hivyo vitengo vyote duniani vina kitengo cha information and disinformation.... yaani taarifa halisi na uzushi

Na hata jamaa amewapunguzia mzigo idarani kwenye kukipokea kifo cha jiwe imagine kingetangazwa kama suprise ingekuaje?
 
Akaunti pia haipumziki
Twitter for iPhone , Twitter for iPad, Twitter for Mac siku hizi ile Android siioni tena huenda ikarudi naamimi wanaopambana nae wameacha kumundermine uwezo wake kama mwanzo huenda wakichanga karata vyema wanaweza kumjua siku za usoni....
 
Back
Top Bottom