Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioNdiyo umeiona leo? [emoji848]
Pole! Hiyo video imeshaenea sana! Na watumaji na hasa kwenye magroup, wanakamatwa kimya kimya! Be careful. Usisambaze kwa mtu yeyote yule kama una imiliki.Ndio
Balaa hiyo video naisikia tuu.Tecnojia ndio inafanya mambo yavuje haraka, zamani mambo mengi yalikuwa kwenye makaratasi.
TISS walizuia kabisa watu kupiga picha mwili wa Magufuli lakini leo kuna video inasambaa ikionyesha mwili wa Magufuli ukiwa kwenye jeneza.
Jamaa inaonekana alivaa kamera kwenye miwani ,kofia ama koti.
Tecnolojia imekuwa juu Sana Hadi USA wanalia Kila siku kudukuliwa na Uruss.
Hakika...Mtu kama mimi nilikuwa napenda sana hii shughuli,ila sionekani.Inabidi tuwekeze sana kwenye teknolojia,nasisitiza tena tuwekeze kwenye teknolojia na tuanze kuwaandaa vijana wetu wenye 13yrs kwenye izi issue za tech toafauti na hapo kuna siku zitavuja taarifa ambazo zitazua taharuki hadi madhabahuni
Mkuu haiwezekani unifanyie mchakato PM?Ndio
Ndio maana niseme watu wajiulize chanzo kikubwa cha huo uzalendo kushuka ni nini?Mkuu kumbuka teknolojia ya wakati huu imekua sana tofauti na wakati uliopita mifumo ya upashanaji habari imeongezeka mara dufu.
Kilichopungua wakati huu ni uzalendo tu.
Mwisho wa siku UBL aka smoke sulphur akiwa ghorofani akila haluanikurekebishe hapo. huwezi run heavy operation kama hiyo bila usalama wa taifa.
CIA walihusishwa, navy seals special operators.. pamoja na 106th special aviation squad.
though operation ilikuwa ya CIA.. navy seals wakiwa ni tactical team ya kuekeleza mission.
so ni joint opp. japo mission kama hii ilikuwa ya siri sana that watu wachache walijua. ila si wawili.
Itakua wewe ni mgeni kumfuatilia huyo jamaa nikuambie tu hayupo Tanzania! Nikuongeze asilimia za uhakika kua 100% ila anapenyezewa taarifaYule Msanii tu!
Anatumia mitandao ya nje akiwa hapa nchini + server
Walishawahi kumhack ikawa ngumu
Watu wa ajabu kweli kweli ukiangalia picha, ule mwili awakumuandaa vizuri kwa mazingira ya kukaa nje kwa muda mrefu. Mwili ushaanza kuvimba hatua za awali za kuharibika.Kama ni suala la Usalama tumefeli nchi hii. Kwa macho yangu leo nimeshuhudia picha ya Marehemu magufuli ndani ya Jeneza kavaa shati nyeupe na tai nyekundu...
Hakuna mission ya hivyo suala la Osama baada ya 9/11 lilikua ni "wanted dead or alive" yani hata maiti ilikua ni kisasi tosha kwa waamerikaMkuu haya ni mambo ya kawaida sana kwenye system ya watu wengi. Bush na Bush Jr walimtafuta Osama zaidi ya 10yr bila mafanikio kosa Lao kubwa lilikuwa ni kushirikisha usalama wa taifa. Obama alifanikiwa kumpata baada ya kushirikisha watu wawili tu na yeye ni wa3. Vijana wakaanza mazoezi bila kufahamu wana mission gani.
So ili kubalance mzani kuwa kuna muda anapewa tango pori na analipost na kusimamia bila kufuta
Na kuna muda anapenyezewa mzigo halisi!
Nikuambie tu kwanini hata matango pori huwa anapost? Sababu kuu ni kucheza pia na wafuata nyayo yani kuwapoteza wanaomfuatilia kujua taarifa zatokea wapi...
Ukichunguza hadi kwenye maGroup ya Whatsaap yumo!...kuna admin wa group flani(Vision leaders nahisi) alikuwa anaremove baadhi ya watu waliohisiwa ni moja ya informer wake..lakini jamaa bado yupo anapost Habari zaoItakua wewe ni mgeni kumfuatilia huyo jamaa nikuambie tu hayupo Tanzania! Nikuongeze asilimia za uhakika kua 100% ila anapenyezewa taarifa....
Akaunti pia haipumzikiUko sawa mkuu...ndio mana inakuwa tabu kumpata/kuwapata. huwa hata tweets zao zinatoka sehemu tofautitofauti,,
Yani ndio mchezo unakua hivyo vitengo vyote duniani vina kitengo cha information and disinformation.... yaani taarifa halisi na uzushiIsee hata wewe ni smart...
Kumbe wakati mwingine anasimamia Tango pori lakini ni kuwapotezea watu wasishtukia... nahisi haswa waliopo vitengoni wasichunguzane.
Kumbe watu wanadai anabashiri kumbe ukweli anaujua.
naipenda sana Inteligence
Twitter for iPhone , Twitter for iPad, Twitter for Mac siku hizi ile Android siioni tena huenda ikarudi naamimi wanaopambana nae wameacha kumundermine uwezo wake kama mwanzo huenda wakichanga karata vyema wanaweza kumjua siku za usoni....Akaunti pia haipumziki
NdioOsama kwan alipatikana utawala wa Obama? Nahisi kusahau