Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Hebu nipe uthibitisho wa hio point namba 2 with facts & figures kuwa ame arrive vipi katika hayo makusanyo?
Unaweza kuta lijamaa limekaa geto linajitungia takwimu na kubandika tu.

5 trilion to 7 trilion mwezi August to September, 700 billion to 959 billion from April to may, mapato yamepanda kutoka fedha za kigeni billion 109 to billion 399 kwa wiki.

Hahaha
 
Eeh maana hio trillion 19 anaiongelea kizembe sana
 
Weka authenticated documents za wahasibu wa serikali tuone kama unabwabwaja tu ama umetumwa kumwaga mapambio uchwara!

Acha ulevi bwana mdogo. Usiwafanye watu mazuzu humu.
Anatuona mandezi sana humu ndani! Magufuli pamoja na kubana na kufurukuta hakuwahi fikisha 3 trillion kwa mwezi!

Leo hii eti 19 trillion kwa mwezi! Labda kwa utapeli wa zile tozo zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…