Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Weka authenticated documents za wahasibu wa serikali tuone kama unabwabwaja tu ama umetumwa kumwaga mapambio uchwara!

Acha ulevi bwana mdogo. Usiwafanye watu mazuzu humu.
Huenda jamaa analipwa kwa hizi propaganda anazomwaga humu......jaribu kufuatilia hata nyuzi zake za nyuma utagundua hilo.
 
Kiukweli Tanzania iko salama mikononi mwa Rais SSH hasahasa;
1. Hakuna kikundi cha wasiojulikana kilichokuwa kinateka na kuua

2. Hakuna matusi kwenye majukwaa kama yule dikteta alivyokuwa anasema "Baki na mavi yako"

3. Hakuna task force ya TRA iliyokuwa inanyang'anya wafanyabiashara fedha zao

4. Hakuna TAKUKURU iliyokuwa inabambikiza watu makesi ya uwongo

5. Hakuna matumizi mabaya ya fedha za Serikali kama kujenga Airport Kijijini Chato

6. Hakuna matakwimu ya uwongo kama vile kukua kwa uchumi by 7.8% wakati ukweli ni 4.2%

7. Hakuna uwongo wa kusema tunajenga kwa fedha zetu wakati tunakopa kwenye mabenki ya kimataifa
 
Full idiot at his peak level...

Wapuuzi Kama nyie laana haiwezi kuwaacha salama kwa ujinga ujinga wenu huu..

Heti kakusanya 17T/month, hivi unaijua vizuri trillion 17.
Upuuzi na ujinga wako huu peleka huko Facebook kwa vilaza wenzio siyo hapa jf.
 
kwani amesafiri? amejiuzuru? amelazimishwa kujiuzuru? au kuna nini? au nia yako useme kuwa ''ITACHUKUA MUDA KUMPATA MAGUFULI MWINGINE" ama kweli nimeanini UJINGA NI MZIGO kama tu ZIGO LA MAVI....
 
Si Bora ya magufuli, tulikuwa na umeme, maji, vifaa vya ujenzi kwa Bei Chee, mfumuko wa Bei ulikuwa hakuna, sasa HUYU SSH dah tunalia sisi wafanyabiashara mzunguko wa pesa hakuna, mauzo hakuna, umeme wa mgao, maji ya mgao, vifaa vya ujenzi Bei juuuuu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mmeanza tena 🀣🀣🀣!!!
 



nakumbuka kwa jiwe.. kulikuwa na shairi kama hili.. au ndo hili watu wame edit tu.. ila wabongo wazuri sana wa kutoa sifa na kuabudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…