Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Kwa kweli naomba tusimpate tu
Kwa mfumuko wa Bei
Kwa kero za maji na umeme
Kwa kero ya tozo
Kero za wamachinga
Kusifia vifu vy wanauπŸ˜‚
 
2. Ni lini tena baada ya huyu tutampata Samia mwingine atakayekusanya kodi kwa wastani wa TZS 17.2 Trilioni kwa mwezi bila ya kukimbiza wafanyabiashara wala kuwadhulumu chochote- JAMANI, KUMBE TUNAKUSANYA TRIL 17 KWA MWEZI, KWA HIYO KWA MWAKA TRILION 204. BAJETI YA SERIKALI NI TRILION 29
 
CCM bana, hivi si ni nyie hawa hwa mlitaka Mwendazake apewe muda mwingine wa kutawala ATAKE ASITAKE, leo mshamgeukia maza. ha ha ha

Hii ni U-turn kwenye main road.
 
Mataga mmeanza sifa za kijinga kama za magufuli? Natumai mnajua mwisho wa huu ushabiki wa uvccm.
Mapambiombuzi ni dalili za kukaukiwa uwezo wa kufikiri na kujitafakari. Kwenye hili tunazidi kudidimia, waTz na hasa wasomi wetu wanatia aibu zaidi. Yaonekana kuna eneo tulifanya makosa makubwa/dhambi kama taifa. Tunahitaji maombi mazito ili tuweze kurudi na kupokelewa kwa Mungu. AMEN
 
πŸ˜… Ni gashol huyo mwehu
 
Uliyeleta mada hii tunaomba kujua elimu yako na jinsia pia ili tuweze kukuelewa!
 
Na sidhani ata kama 1.2 T inafika
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚ nataka ajiume ume nimpige na kitu kizito kichwani! Watu wanachukulia trillion 1 kitu cha mzaha mzaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…