Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Na shida siyo kukusanya sh ngapi, shida ipo kwenye matumizi ya hovyo hovyo

1. Kununua ndege wakati Corona inaendelea

2. Unakodisha software ya erp kwa billion 69

3. Una wabunge 400 mshahara milioni 11 kila mwezi bado magari yao na marupurupu ya vikao

4. Una mawaziri 20+ wakati mawaziri 10 tu wanatosha

Na mengine mengi ya hovyo hovyo tu
 
Samia hatujamchagua sisi, ni matokeo ya katiba na mkitaka amani 2025 mmuache akapumzike kwao Zanzibar ila mking'ang'ania kutaka agombee tena ndiyo mwanzo wa kufa kwa ccm yenu
 
Umetumwa?
 
Unaijua Trillion wewe?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wacha wee!!!

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Taifa letu huangamia na huzidi kuangamia kwa kuwa na wananchi wa aina kama yako! Huna tofauti na vijana wanao sema MAMA KAUPIGA MWINGI.

Kwa hali iliyopo ndani ya taifa letu, dhulma iliyopo na ukandamizaji wa haki then waja na kusifia upuuzi, nenda vyuoni wasikilize hao walipewa mkopo na serikali, kipndi kilichopita mkopo wa mtu mmoja kwenye ada unawagawia watu wanne kwa kipndi hiki then unakuja kusifia kwenye hamna UVCCM bhana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Uvccm ni janga la kitaifa kwa vijana hapa nchini
 
Asante sana,tena sana,kutufahamisha wananchi,kuhusu maendeleo,tafadhali usiache kutujuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…