Tanzania huenda tukapata Least Deleveloped Countries Fund ( LDCF ) kwenye US$100B za COP

Baada ya majadiliano na viongozi wenzangu hapa Glasgow, Scotland ni matarajio yangu kuwa nchi zilizoendelea zitatekeleza ahadi zake za kutoa fedha kwa ajili ya kukabiliana na athari za kimazingira zilizoanza kujitokeza duniani ikiwemo Tanzania kutokana na mabadiliko ya tabianchi
 
Nafikiri beberu naye atakuwa ameshatuchoka, kila akigeuka ni kuombwa pesa tu na hawa wanaojiita nchi maskini......akija kuona namna wanavyoendesha serikali zao kwa anasa za ma viiieite, rushwa na ufisadi wa kutisha anabaki ameduwaa.
 
Kaombwa na nani?
 
Hongera sana Rais Samia wewe ni zaidi ya Rais, Tunakupongeza sana,
 
Good,
 
Asante sana Mama Samia
 
Mtembea bure si Mkaa bure
 
Hongera sana mama
 
Huenda wakatupiga tena.
Badala ya kupata mabilioni ya shilingi, Wakatupatia phase 4.
 
Nzuri sana
 
Hongera Rais Samia
 
tutapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…