Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mkoa wa Kilimanjaro ndio wenye vijiji vilivyo endelea zaidi, nyumba bora, umeme, maji hata kipato, sio maneno yangu bali ni takwimu za serikaliKutokana na utaratibu wa wachagga kutokuuza viwanja kama makabila mengine, maendeleo yamezorota maeneo mengi.
Ukibaki kijijini utaishia kuwa mlevi wa mbege
Mimi nina moango wa kufyeka migomba na kahawa zote kule nilime maparachichi kwa large scaleHii ni cjangamoto kubwa sana. Wengi tunatembelea kwa siku chache na kurejea mjini. Vijana wa makabila menhine ndio wanalinda majengo mengi uchagani. Kuna haja ya kutafakari. Mimi nakusudia kubadilisha matumizi ya mji wetu uwe sehemu ya mapumziko kwa wanaohitaji kubadilisha mazingira kwa vipindi.
Hawapiki sana siku hizi, kuna viwanda bubu ambavyo vinatengeneza zile pombe kama jamii ya banana ndio vinazalisha pombe nyingi inayotumika sasaKwaiyo mkuu kule Kilimanjaro hakuna fursa za ujasiriamali zaidi ya kupika pombe za kienyeji , kuwa boda boda ni ngumu kwasababu wateja wanaonde kazin asubuhi hawapo na watu ni wachache na hawa tembei
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Tamduni muhimu kijana, Tz nzima sio kabila moja lazima ujue na uielewe asili yako.Tanzania nzima ndio inatakiwa iwe hivyo, huu ujinga wa ukabila haisaidii chochote zaidi ya kuleta ubaguzi
Tatizo linaletwa na watu kuhama, wala sio kuzaa kwa mpangoKusema ukweli mleta mada yupo sahihi kabisa, natoka wilaya ya rombo nadhani huko ndio hali mbaya kabisa hata biashara ndogondogo ni vigumu kufanya kwa sababu hakuna watu, serikali hapa lazima ifanye kitu huu ujinga wa kuzaa kwa mpango hamna tutajikuta siku moja mkoa flan unapoteza origin yake.
Kilimanjaro ukiitoa Moshi, sehemu nyingine MJINI ni wapi?Mkoa wa Kilimanjaro ndio wenye vijiji vilivyo endelea zaidi, nyumba bora, umeme, maji hata kipato, sio maneno yangu bali ni takwimu za serikali
Kwahiyo Kilimanjaro hakuna Maisha?Watu wapo mikoani wanatafuta maisha
Kilimanjaro maisha ni magumu mnoooo. Ukitaka idadi kamili ya watu Kilimanjaro labda uwahesabu December au uhesabu NYUMBA. Maana NYUMBA zinajengwa halafu Hakuna watu.Kwahiyo Kilimanjaro hakuna Maisha?
Nazungumzia vijiji sio mjiniKilimanjaro ukiitoa Moshi, sehemu nyingine MJINI ni wapi?
Ni Kwasababu Kilimanjaro yote ( ukitoa Moshi ) ni vijiji. Sasa ulitaka hizo huduma ziwepo Moshi pekee?Nazungumzia vijiji sio mjini
Huduma kama hizo kwa hali ya Tanzania unazikuta tu mjiniNi Kwasababu Kilimanjaro yote ( ukitoa Moshi ) ni vijiji. Sasa ulitaka hizo huduma ziwepo Moshi pekee?
Arusha hakuna ugumu wowote mkoa wa Kilimanjaro ndo mgumu sana kwenye mambo ya ardhiMikoa migumu zaidi kutoa ardhi ni Arusha
Arusha sehemu gani? Labda huko Longido, Maeneo ya Meru Ardhi ni ngumuArusha hakuna ugumu wowote mkoa wa Kilimanjaro ndo mgumu sana kwenye mambo ya ardhi
Sasa Meru ni sehemu ndogo haifikii hata marangu kwa ukubwa, hapo hujaongelea kibosho, old Moshi, machame, rombo Kilimanjaro hadi kule upareni kwenye milima watu wanagombania ardhiArusha sehemu gani? Labda huko Longido, Maeneo ya Meru Ardhi ni ngumu
Yeye anaongelea vijijin wewe unauliza mjiniKilimanjaro ukiitoa Moshi, sehemu nyingine MJINI ni wapi?
Kwasababu mikoa mingi Kuna MIJINIHuduma kama hizo kwa hali ya Tanzania unazikuta tu mjini