Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
- Thread starter
- #21
Andika tuone hasara zake piaNingekuwa na muda ningeandika paragraph ndefu sio kupinga bali kuonyesha uhalisia ambao wenyewe ni kipingamizi tosha.
Hii Mkuu ni debatable japo ina ukweli kiasiMkuu hivi unajua/umeona jinsi gani Black Americans wanavyoishi kwa tabu Marekani?
Ndio wana uhakika wa kula na kulala vizuri, miondombinu mizuri na wapo kwenye taifa lenye nguvu duniani, kwa wale wenye status kubwa basi usalama wa uhakika vilevile.
Lakini wanakosa kitu kimoja ambacho ndio kinadefine binadamu na kuleta amani ya ndani ambayo ndio ya msingi kuliko usalama na amani ya nje. Thamani ya Utu.
Ndio, Utu. Binadamu asiyethaminiwa utu wake waziwazi ni anaishi kwa tabu zaidi ya mnyama zaidi ya hapo kuna Ukandamizaji kifursa, Ubaguzi wa rangi, Police-brutality, Genocide n'k...
Kuhusu Police brutality hata hapa nchini ipo
Mara ngapi jeshi la polisi linazua controversy ktk oparesheni zake?
Yote kwa yote bado Marekani Fursa tutapata nyingi kuliko ukandamizaji
Mkuu usiwe na hofu, sisi hatutakuwa koloni sisi tutakuwa jimbo linalojitawalaKama hayo yote yanafanyika kwa waliozaliwa hukohuko unadhani itakuaje kwa mtu aliyetoka nje kabisa?
Tutakuwa na sheria zetu kwa kadri ambapo hazitapingana na za serikali kuu
Mkuu hebu usigeneralize kuwapaka matope wazungu woteNa sio hapo tu, bali umeona ni jinsi gani Caucasians wanavyodispise na kudharau Waafrika? Hapo haujafika kwao sasa unadhani itakuaje ukienda kwao?
Wazungu wangapi wameoana na watu weusi wa Marekani?
Sikatai wapo wazungu wanaochukia weusi na vice versa is true in that case
Kama hata hao weusi waliozaliwa huko wanawafanyia yote hayo. Je unadhani watakubali kuona Taifa lao linaungana na nchi wanayoiita third world country? Tena iliyojaa watu weusi?
Mkuu hatutajiunga kwa kuonewa huruma, no
Nimeeleza sababu kwanini watukubalie hebu zirejee tena
Hatuendi kutia huruma, tunakwenda na kitu cha ku-offer
SIO WOTE, usigeneralize na kama una data ziwekeHiyo haitoshi, hata hao Black Americans wenyewe wanawadharau waafrika vilevile,
Usitupoteshe kwa uzoefu wa mtu mmoja au wawili kugeneralize attitude za waMarekani weusi wote, hapana si sawa.
Again, hatujiungi kwa kuonewa hurumaKama kwa idadi yao ndogo na wanakosa vingi, je unafikiri watakubali kuona wengine kama wao tena million 60 waongezeke kwenye nchi yao?
Tuna maslahi mapana kwao na hilo ndilo litawafanya wakubali na sio swala la wao kutuonea huruma au la
Hizi rasilimali zingetumika vizuri kwa hiyo miaka 60 sasa hivi nisingepoteza muda kuandika huuBado haitoshi, watafuja rasilimali zetu zote ambazo hata wenyewe million 60 hazitutoshi na kwenda kujinufaisha wao million 300,
Pengine mimi na rafiki zangu weusi tungekuwa Japan tukifanya utalii
Hapana hapana hapanarasilimali ambazo sasa hivi wanangaika kila namna kuzipata kwa malipo ya kijiko. (Ukisikia mbuzi kafia kwa muuza bucha ndio hii)
Kwenye hii dunia hakuna kitu cha bure, ili upate ni LAZIMA ukubali kupoteza
Sisi tutapoteza udhibiti wa sera za mambo ya nje na usimamizi wa rasilimali na tutapata demokrasia na uchumi imara sana
Na ukiniuliza mimi nitakwambia it worth it
Hili halikwepeki tujiunge tusijiunge propagation iko pale pale ni swala la muda tuNa hiyo bado haitoshi, hapohapo watataka kupitisha propaganda za ajabuajabu ili kucontrol population sababu rasilimali hazitoshi. Kubomoa maadili mubashara na kuharibu vizazi vyote vijavyo kwa sababu zao nyingine zisizojulikana.
Sasa kuliko kuogopa the inevitable why not face it?
Usigeneralize, mlete huyo alosema hivi, usitupotoshe pleaseCaucasians wanasema "Waafrica ni wavivu wanaopenda vya vikubwa na vya bure bila kufanya kazi, wanashindwa kuendeleza mataifa yao wanaenda kwao kutumia vyao walivyotafuta kwa kuhangaika na jasho.
Hivyo Waafrica wabaki barani kwao kila mtu abaki nchini kwake."
Mimi nasema wako sahihi na hawajakosea.
Haya ni maoni yako ninayaheshimu sana
As a matter of fact ktk dunia ya sasa hili swala linawezekana sanaMkuu hicho ulichoandika hakiwezekani na ni ndoto.
Au ungetupa sababu kwanini unadhani haliwezekani mkuu
Yani ulivyoandika hapa utadhani tukijiunga basi watanzania wote tutaanza kuwindwa kama kunguru dahNa kuliko kupitia yote hayo na kuishi kama mnyama na kuwa muoga kama kunguru kwa kutukanwa, kudharauliwa kubaguliwa na wamagharibi ni vizuri kubaki nyumbani kwenye amani ya kweli na kuhangaika na kuboresha nyumbani sababu nyumbani ni nyumbani tu.
Police brutality ipo hata hapa kwetu tofauti ni kuwa Marekani walengwa ni watu weusi huku kwetu ni masikini na watu wanaoenda kinyume na serikali
Dharau hii tayari halitegemei kuungana ili tujue
Kubaguliwa nako tayari
Swala la kuboresha kwetu tushakwama miaka 60 sasa
Nachelea tusijekumbwa na The Sunk Cost Fallacy
Ni vizuri Tanzania iwe moja ihangaike na isimame yenyewe kama yenyewe kwa jasho lake lenyewe kama mataifa mengi makubwa duniani.
Tumeshindwa kwa miaka 60, kwa mfumo wetu wa kisiasa kitu pekee tumefanikiwa ni umoja wakitaifa
Mkuu twambie how tunaweza fanya yote hayaWananchi wa Tanzania waache Ujinga, Uvivu, Ukabila na Udini na wasimame kuwa kitu kimoja na kuendeleza taifa kama taifa moja. Ikiwemo kuchagua viongozi bora na kuweka mifumo imara, sababu hapa ndip kikwazo na tatizo kuu lilipo.
Unajua mara zote tunasikia watu kma wewe wanasema hivyo ila hawatwambii tunawekaje mifumo imara tunachaguaje viongozi bora
Sisi Watanzania HATUTAJIUNGA KWA KUONEWA HURUMA, we have alot to offer, a lot mkuuNa siku zote kumbuka mtafuta kwa jasho na kula jasho lake mwenyewe hueshimiwa.
Futa fikra kuwa tutaenda kuwa tegemezi mkuu
Sio kweli mkuu, usigeneralizeMkuu hakuna mtu mweupe anayempenda mtu mweusi.
Mkuu uhalisia nauona na ndio maana nimekupa sababu logical za kwanini tufanye hivyoHizo International Relations na Public Relations zisikuongepee na kukuchanyanganya mpaka kufikia kuficha na kushindwa kuona uhalisia. Moyo wa binadamu ni kichaka lakini moyo wa mzungu ni msitu.
Kwenye international relations self interest is the key na hoja zangu nimeziweka humo
Halafu hiyo sentensi yako ya mwisho ni upotofu, usigeneralize kusema Hakuna mzungu anaempenda mtu mweusi
Umeitoa wapi hii hoja?