Tanzania ili tuendelee tujiunge na Marekani

Ningekuwa na muda ningeandika paragraph ndefu sio kupinga bali kuonyesha uhalisia ambao wenyewe ni kipingamizi tosha.
Andika tuone hasara zake pia
Hii Mkuu ni debatable japo ina ukweli kiasi
Kuhusu Police brutality hata hapa nchini ipo
Mara ngapi jeshi la polisi linazua controversy ktk oparesheni zake?
Yote kwa yote bado Marekani Fursa tutapata nyingi kuliko ukandamizaji

Kama hayo yote yanafanyika kwa waliozaliwa hukohuko unadhani itakuaje kwa mtu aliyetoka nje kabisa?
Mkuu usiwe na hofu, sisi hatutakuwa koloni sisi tutakuwa jimbo linalojitawala
Tutakuwa na sheria zetu kwa kadri ambapo hazitapingana na za serikali kuu

Na sio hapo tu, bali umeona ni jinsi gani Caucasians wanavyodispise na kudharau Waafrika? Hapo haujafika kwao sasa unadhani itakuaje ukienda kwao?
Mkuu hebu usigeneralize kuwapaka matope wazungu wote

Wazungu wangapi wameoana na watu weusi wa Marekani?

Sikatai wapo wazungu wanaochukia weusi na vice versa is true in that case

Kama hata hao weusi waliozaliwa huko wanawafanyia yote hayo. Je unadhani watakubali kuona Taifa lao linaungana na nchi wanayoiita third world country? Tena iliyojaa watu weusi?

Mkuu hatutajiunga kwa kuonewa huruma, no
Nimeeleza sababu kwanini watukubalie hebu zirejee tena

Hatuendi kutia huruma, tunakwenda na kitu cha ku-offer

Hiyo haitoshi, hata hao Black Americans wenyewe wanawadharau waafrika vilevile,
SIO WOTE, usigeneralize na kama una data ziweke

Usitupoteshe kwa uzoefu wa mtu mmoja au wawili kugeneralize attitude za waMarekani weusi wote, hapana si sawa.

Kama kwa idadi yao ndogo na wanakosa vingi, je unafikiri watakubali kuona wengine kama wao tena million 60 waongezeke kwenye nchi yao?
Again, hatujiungi kwa kuonewa huruma
Tuna maslahi mapana kwao na hilo ndilo litawafanya wakubali na sio swala la wao kutuonea huruma au la
Bado haitoshi, watafuja rasilimali zetu zote ambazo hata wenyewe million 60 hazitutoshi na kwenda kujinufaisha wao million 300,
Hizi rasilimali zingetumika vizuri kwa hiyo miaka 60 sasa hivi nisingepoteza muda kuandika huu

Pengine mimi na rafiki zangu weusi tungekuwa Japan tukifanya utalii
rasilimali ambazo sasa hivi wanangaika kila namna kuzipata kwa malipo ya kijiko. (Ukisikia mbuzi kafia kwa muuza bucha ndio hii)
Hapana hapana hapana
Kwenye hii dunia hakuna kitu cha bure, ili upate ni LAZIMA ukubali kupoteza

Sisi tutapoteza udhibiti wa sera za mambo ya nje na usimamizi wa rasilimali na tutapata demokrasia na uchumi imara sana

Na ukiniuliza mimi nitakwambia it worth it
Na hiyo bado haitoshi, hapohapo watataka kupitisha propaganda za ajabuajabu ili kucontrol population sababu rasilimali hazitoshi. Kubomoa maadili mubashara na kuharibu vizazi vyote vijavyo kwa sababu zao nyingine zisizojulikana.
Hili halikwepeki tujiunge tusijiunge propagation iko pale pale ni swala la muda tu

Sasa kuliko kuogopa the inevitable why not face it?
Usigeneralize, mlete huyo alosema hivi, usitupotoshe please
Mimi nasema wako sahihi na hawajakosea.

Haya ni maoni yako ninayaheshimu sana
Mkuu hicho ulichoandika hakiwezekani na ni ndoto.
As a matter of fact ktk dunia ya sasa hili swala linawezekana sana

Au ungetupa sababu kwanini unadhani haliwezekani mkuu
Na kuliko kupitia yote hayo na kuishi kama mnyama na kuwa muoga kama kunguru kwa kutukanwa, kudharauliwa kubaguliwa na wamagharibi ni vizuri kubaki nyumbani kwenye amani ya kweli na kuhangaika na kuboresha nyumbani sababu nyumbani ni nyumbani tu.
Yani ulivyoandika hapa utadhani tukijiunga basi watanzania wote tutaanza kuwindwa kama kunguru dah

Police brutality ipo hata hapa kwetu tofauti ni kuwa Marekani walengwa ni watu weusi huku kwetu ni masikini na watu wanaoenda kinyume na serikali

Dharau hii tayari halitegemei kuungana ili tujue

Kubaguliwa nako tayari

Swala la kuboresha kwetu tushakwama miaka 60 sasa
Nachelea tusijekumbwa na The Sunk Cost Fallacy
Ni vizuri Tanzania iwe moja ihangaike na isimame yenyewe kama yenyewe kwa jasho lake lenyewe kama mataifa mengi makubwa duniani.

Tumeshindwa kwa miaka 60, kwa mfumo wetu wa kisiasa kitu pekee tumefanikiwa ni umoja wakitaifa
Wananchi wa Tanzania waache Ujinga, Uvivu, Ukabila na Udini na wasimame kuwa kitu kimoja na kuendeleza taifa kama taifa moja. Ikiwemo kuchagua viongozi bora na kuweka mifumo imara, sababu hapa ndip kikwazo na tatizo kuu lilipo.
Mkuu twambie how tunaweza fanya yote haya

Unajua mara zote tunasikia watu kma wewe wanasema hivyo ila hawatwambii tunawekaje mifumo imara tunachaguaje viongozi bora
Na siku zote kumbuka mtafuta kwa jasho na kula jasho lake mwenyewe hueshimiwa.
Sisi Watanzania HATUTAJIUNGA KWA KUONEWA HURUMA, we have alot to offer, a lot mkuu
Futa fikra kuwa tutaenda kuwa tegemezi mkuu
Mkuu hakuna mtu mweupe anayempenda mtu mweusi.
Sio kweli mkuu, usigeneralize
Hizo International Relations na Public Relations zisikuongepee na kukuchanyanganya mpaka kufikia kuficha na kushindwa kuona uhalisia. Moyo wa binadamu ni kichaka lakini moyo wa mzungu ni msitu.
Mkuu uhalisia nauona na ndio maana nimekupa sababu logical za kwanini tufanye hivyo

Kwenye international relations self interest is the key na hoja zangu nimeziweka humo

Halafu hiyo sentensi yako ya mwisho ni upotofu, usigeneralize kusema Hakuna mzungu anaempenda mtu mweusi

Umeitoa wapi hii hoja?
 
Kwa faida ya Watanzania wote badala ya kwenda mimi kuishi peke yangu na ikanufaika familia yangu natamani tuilete Marekani hapa hapa tunufaike watu wote mkuu
Sio wote tunaitaka hio marekani
 
Ni kweli mkuu ila this is different
Sisi tutakuwa miongoni mwao, hatutatofautiana nao kisera na hawatakuwa na sababu yoyote kutufanyia kama walivyofanywa watu wa Libya

Ondoa hofu Mkuu

Na ni kweli pia hatujiwezi, tumeshindwa kusimamia rasilimali zetu
Na kujiunga nao si kwamba tunajisalimisha ila hapana tunatengeneza mazingi Ya kunufaika zaidi na rasilimali zetu mkuu
 
Sio wote tunaitaka hio marekani
Ni kweli kabisa nakubaliana nawe, na pia si wote hatuitaki mkuu

Ila wote tunataka maendeleo

Na ndio maana nimeleta uzi huu tujadili namna ya kuendelea ila hata ikibidi kujiunga na Marekani
 
Yaani ukimchukia Diamond tu unamlima shaba kama wanavyoita matapa wao.
 
Mawazo mazuri wala nisiyabeze. Umeshuka kwa hoja ziso shaka na kwa imani yako ni njema nzuri kuelekea kujiunga na Umarekani na hivyo kuwa kile kiitwacho developed nation.
Lakini bro binafsi sitamani hili litokee hata fikrani halijawahi kutokea zifuatazo ni sababu.
Utambulisho wetu ni kitu cha thamani sana. Asili yangu je? Eti Leo niwe Mmarekani! Utanzania niutupe! Kwa hali hii ipo siku watu aina yako watawakana hata wazazi wao.
Utamaduni mpya usio mzuri, Ni ajabu mtu conservative Kama mimi Leo nibadilike nianze kuamini na kuaminisha former Tanzanian ( current Americans) Kwamba Kuna Aina nyingine za ndoa wanaume kwa wanaume, wake kwa wake nk. Kweli?
Demokrasia, hiyo demokrasia unayoitaka ndo ile ambayo bibi Clinton anashinda anatangazwa Trump kisa maseneta wa Marekani ni waamuzi? Demokrasia ya kuoana Me na Me? Ke na Ke? Na sio Me na Ke? Hili nitalipinga vilivyo kwa muda wote wa maisha yangu.
Vurugu, maandamano , na fujo patakua kwao. Eti leo vurugu za ovyo, maandamano na fujo za ovyo ziwe na ziitwe Uhuru wa kidemokrasia. Uhuru ambao utakosesha wengine uhuru!

Nb. Naamini hizo ndoto zako zimetokea kwa bahati mbaya.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mawazo mazuri wala nisiyabeze. Umeshuka kwa hoja ziso shaka na kwa imani yako ni njema nzuri kuelekea kujiunga na Umarekani na hivyo kuwa kile kiitwacho developed nation.
Nafurahi kukuonaumekuja na hoja mkuu, hiki ni kitu kizuri sana
Mkuu hii ki hoja niliyoitazamia, ndiyo maana mwanzo wa uzi huu tumeanza kwa kuandika historia kwa ufupi ya hii tunayoiita Tanzania

Kabla ya mwaka β€˜63 hakikuwahi kuwepo hiki tuliko nacho leo na kabla ya 1885 hakukuwahi kuwa na Tanzania wala utanzania hivyo suala la identity ya utanzania ni ya kughushi, hakuna kitu pekee kuhusu utanzania mbalina neno lenyewe Utanzania

Pia nimeeleza vile ili kuonesha kuwa identity hubadolika, si suala la kijenetiki mkuu

Utamaduni mpya usio mzuri, Ni ajabu mtu conservative Kama mimi Leo nibadilike nianze kuamini na kuaminisha former Tanzanian ( current Americans) Kwamba Kuna Aina nyingine za ndoa wanaume kwa wanaume, wake kwa wake nk. Kweli?

Lakini hili suala la utamaduni mpya ukitazama vizuri ndani ya miaka 10-15 mbele huoni kuwa tutalipokea?

Mimi naona kwenye swala hili ni kama asemavyo Peter Drury β€œwe’re dumb if we do, dumb if we dont”

Halikwepeki, na hata ukitazama sasa kwenye mitaa yetu watu wanafahamu wazi kuwa fulani na fulani ni mashoga, fulani ni msagani na wengine ni maarufu sana

Kilichobaki ni kuona sheria inalipigia mkazo tu mkuu
Demokrasia, hiyo demokrasia unayoitaka ndo ile ambayo bibi Clinton anashinda anatangazwa Trump kisa maseneta wa Marekani ni waamuzi?
Mkuu demokrasia ile si perfect in all sense ila ni bora kuliko hii ya kwetu

Tazama Wabunge na mawaziri wetu
Wana weledi? Wanafanya mambo kwa maslahi ya wananchi au vyama vyao vya kisiasa mkuu?
Nasema kheri nusu shari kuliko shari kamili
Demokrasia ya kuoana Me na Me? Ke na Ke? Na sio Me na Ke? Hili nitalipinga vilivyo kwa muda wote wa maisha yangu.
Mkuu hali nchini kwetu inajieleza, pop culture imejaa dhamira hizi taratiibu watu wetu wanakumbwa na fikra hizi na ni suala la muda tu
Vurugu, maandamano , na fujo patakua kwao. Eti leo vurugu za ovyo, maandamano na fujo za ovyo ziwe na ziitwe Uhuru wa kidemokrasia. Uhuru ambao utakosesha wengine uhuru!
Mkuu heri kwa wastani waMarekani wana nafasi kubwa kujieleza kuliko sisi
Na si maandamano yote huwa na vurugu

Huku kwetu hata kujieleza kwa uhuru ni mtihani
Nb. Naamini hizo ndoto zako zimetokea kwa bahati mbaya.
Hapana ninatamani sana itokee mkuu na je umengalia faida tutakazozipata kisiasa, kiuchumi na kiulinzi?

Maana mkuu umetazamia kipengele kimoja tu cha kijamii
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya huo muungano then tuzalshe mashoga wengi,,,ndoa za mashoga
 
Mkuu kama ww unaishi Tanzania na ni mtembezi basi utakuwa unajua kuwa mashoga tayari tunao wengi sana

Kitu pekeetunachotifautiqna na Marekani kwenye swala hili kwa sasa ni sheria tu

Wao wamepitisha ila sisi bado na wala hatuwashughulikii

Hivyo usikhofu ati Mareka Watatuletea ushoga ila ukweli ni kuwa tayari tunao
 
Kwahyo wewe unahtj hyo Sheria????
 
Eti Wamarekani wenzetu!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆ
 
Might be possible...!

Nchi kama hai haitakuja kuendelea kamwe, unles yafanyike mabdiliko ya ajabu
 
Ni kweli kabisa nakubaliana nawe, na pia si wote hatuitaki mkuu

Ila wote tunataka maendeleo

Na ndio maana nimeleta uzi huu tujadili namna ya kuendelea ila hata ikibidi kujiunga na Marekani
Wazo zuri hili.
Ila sababu kuna watu wanafaidika sana na mfumo uliopo, na wao ndio watoa maamuzi basi kukubali hili itakua ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…