Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Upinzani mlipo chemka ni kwenye bunge la katiba..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udikteta ni relative.
Kuna wengine wanaweza kusema hata wewe ni dikteta ndani ya ACT-Wazalendo kwa sababu cheo chako hakina tofauti na Supreme Leader of Iran. Sayyid Ali Hosseini Khamenei
Acheni kulisha wananchi matango ya kisiasa.
Udikteta upi unaosema katika mazingira ya kuweza kusema serikali ya sasa inaongozwa na dikteta!
Hilo baadhi yetu tumeshawaambia sana lakini wapi! Watu wenyewe hawajielewi.
Pamoja na Demokrasia ya Ethiopia Mheshimiwa unajua kwasasa kwa jina la demokrasia kuna mauuaji makubwa ya raia yanaendelea Ethiopia.Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla - Zitto Kabwe
( Andiko la July, 2016 na uhariri kidogo 2018. Uhariri tena mdogo Jan, 2019 )
- Hupambana na Wafanyabiashara wakubwa ' matajiri ' ili kuweka matajiri wake wapya watakaokuwa msaada kwake. Rais Putin wa Russia alifanya hili vizuri sana alipochukua madaraka. Adolf Hitler yeye aliamua kuwaua wayahudi ( Jews ) kwani wakati huo Jews ndio walikuwa wanashikilia uchumi wa Ujerumani. Hapa kwetu Tanzania kwa miaka mitatu tumeshuhudia Wafanyabiashara wanakipata cha mtema kuni. Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wanabambikiziwa Kodi na wakibisha wanapewa kesi zisizo na dhamana, wanatupwa jela, wananyanganywa Mali zao na wengine kufilisiwa.
- Huteua Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao ni Watu wake wa Karibu. Rais Vladimir Putin yeye alifuta kabisa chaguzi za Magavana na akateua majenerali wa jeshi na watu wa KGB badala yake. Hapa Tanzania tumeshuhudia Wakuu wa Mikoa miungu Watu wenye kufanya lolote bila kuhojiwa na yeyote. Tumeshuhudia Wakuu wa Wilaya wakifunga watu bila kufuata sheria, wakinyanganya watu mali zao na kila aina ya vituko bila kuchukuliwa hatua.
- Hudhibiti vyombo vya habari. Rais Vladimir Putin alihakikisha TV zote zinakuwa za Serikali kwa kutaifisha TV binafsi na ilikuwa marufuku DUMA ( Bunge la Urusi) kuonyeshwa na ni yeye tu ndiye mwanasiasa aliyepaswa kuonekana kwenye TV. Hapa Tanzania Bunge limezuiwa kuonyeshwa moja kwa moja Lakini shughuli zote za Rais Magufuli zinaonyeshwa hata kwa masuala yasiyopaswa kuonyeshwa kama vile kusaini mikataba au mashauriano na Viongozi wa dini. Sheria ya Huduma za Habari nchini imeviweka vyombo vya Habari hatarini Katika kuchapisha au kutangaza Habari zao. Serikali imeweka kanuni za leseni ili kudhibiti kuwepo na kufanya kwao shughuli zao. Waandishi wanatekwa na kupotezwa kwa Mfano Azory Gwanda wa Gazeti la Mwananchi.
- Hudhibiti Vyama vya Siasa. Adolf Hitler wa alifuta vyama vyote Ujerumani. Vladimir Putin alizuia mikutano ya kisiasa na kuanzisha vyama vibaraka. Hapa Tanzania, kama tulivyotabiri katika makala Hii Mwaka 2016, “ Ndio mpango utakaofanywa Tanzania kwa kuanza na kuzuia mikutano ya vyama vya siasa. Sheria pia itabadilishwa na kuifanya nchi ya Chama kimoja pekee, CCM”. Hili limetokea kwa tarehe 29/1/2019 Bunge kutunga sheria ya mabadiliko ya sheria ya vyama vya Siasa na kumfanya Msajili wa Vyama kuwa Mdhibiti wa Vyama vya Siasa. Utekelezaji wa sheria mpya ya vyama vya siasa utapelekea ama vyama kutii maelekezo ya Serikali au kufutwa na hivyo CCM kuhodhi siasa za nchi.
Mtu yeyote mwenye akili timamu na mwenye kupata japo muda kidogo wa kujisomea anajua nini kinaendelea. Watu wasioona ama wana maslahi au uwezo wao wa kuona ni mdogo sana. Wengine wameamua tu kuvaa miwani za mbao. Wahanga wa Demokrasia wanajua maana ya haya tunayosema. Tanzania sasa imefunga duara ( Full Circle ) kwenye hatua Muhimu za nchi kuwa ya kidikteta.
Ni dhahiri kuwa Dunia ina madikteta wengi waliowahi kuwaletea wananchi wao maendeleo. Ethiopia. Malaysia. Singapore. Hata Rwanda. Tofauti yao na Sisi ni kwamba Madikteta wao ni wanazuoni wenye uwezo wa kutumia akili na utulivu kufanya maamuzi. Madikteta wao wanasoma vitabu na majarida ya uchambuzi wa sera. Rais Paul Kagame wa Rwanda hakosi Harvard Business Review. Meles alikuwa na akili Kama mchwa mpaka wazungu walikuwa wanamwogopa na kitu cha kwanza alichoomba kupewa Kama msaada ni ' vitabu vya uchumi'. Hata hivyo tunashuhudia Ethiopia ikifuta sheria kandamizi na kuelekea kwenye barabara ya Demokrasia baada ya kuona uimla haulipi.Lee Kuan Yew wa Singapore na Mahathir Mohammed wa Malaysia ni waandishi wazuri wa vitabu. Hawa sio too technical...... Ni Intellectuals.
Pamoja na kuwa hao niliowataja wanasoma na wenye MAARIFA Mengi, Bado udikteta haukuwasaidia sana na wengi wamebadilika na kuwa wana Demokrasia.
( last edit 30/1/2019 )
Rais Magufuli alikuwa na haki ya kutumia mkono wa chuma kurejesha nchi hii kwenye maadili aliyotuacha nayo baba wa taifa.Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla - Zitto Kabwe

Hii nchi ni kichekesho cha kipekee, unaanzisha uzi kuhusu udikteta na unasomwa na watu!.
Nchi za kidikteta unaweza hata kuanzisha uzi na ukapata mrejesho wa jamii?.
Acha wongo, Hitler hakushinda dhidi ya Raisi Hindenburg mara zote mbili. Adolf Hitler alitokea bungeni baada ya chama chake kuwa kikubwa na chenye nguvu na kumfanya Herman Gōring kuwa kama spika: Wakaunganisha nguvu na vyama vingine kuwapinga wakomunisti.Unafahamu kwamba A. Hitler alishinda Uchaguzi Ujerumani? Unafahamu kwamba the rise of A.Hitler kulisaidiwa na USA akiwemo baba yake HW Bush aliyeitwa Prescot Bush? Unafahamu Ulaya yote pamoja na English monarchy walisapoti nazism?
Unafahamu apartheid AK ni ideology ya nazism na ilisapotiwa na Muzungu wote USA na Ulaya? Unafahamu Mandela alikuwa kwenye orodha ya terrorist USA?
Unafikiri ni kwa nini Mandela alitambulika kama terrorist na USA?
Huwezi kuwa unatukana viongozi wakubwa wa nchi halafu uachwe eti kwa kigezo cha uhuru wa kujieleza. Toa maoni ya kiungwana, hakuna atakayekugusa.Unashangaa nini, kwani hujawahi kuona ?
Unachochanganya wewe ni Freedom of Speech and Freedom after Speech. Kwenye nchi za kidikteta watu huwa wanaongea sana, lakini wanakipata cha mtema kuni baada ya kufanya hivyo.
Ndiyo maana leo nchi kama Korea Kaskazini ina maelfu ya wafungwa wa kisiasa. Uturuki ndiyo imeipiku hadi Uchina kwa kufungia waandishi wa habari.
Udikteta huwa hauzuii watu kuongea, watu kusema watasema tu. Bali udikteta ni kuwashughulikia watu baada ya kuongea sasa......
Naona wewe ni wale wale, ungekuwa una muda kidogo wa kusoma madikteta wa Duniani usingeandika Hata.
Baath Party ya Iraqi uliifahami, je chama cha Hitrer unakijua kilianzaje? Je wanachama kama wewe washanhiliaji waliendelea kushangilia?
Mmezidiwa akili na mtu mmoja ambaye nahisi alitakiwa asiwazidi, sidhani kama ana IQ kubwa kuzidi wengiwenu, msichotaka kukiri ni kuwa kama tinavyo shughulikiwa sisi wapimzani nyie mmejazwa hofu, mkija kustuka ntakuwa mmechelewa hamtaweza kufanya chochote
Hiyo dunia nzima ni yako wewe na ukoo wako ??? Hitler hakushinda uchaguzi wa Uraisi dhidi ya Hindenburg mara zote mbili. Wala chama chake hakikushinda. Wanazi walifanikiwa kupata siti nyingi bungeni tu.Duh, wewe sasa unataka kuleta Ligi, Dunia nzima inajua Chama cha nazi kilishinda Uchaguzi Ujerumani unataka kulibishia hilo? Kuwa Kansela ni jambo lingine kwa mfumo wao ni lazima Raisi/ Mfalme akubali kama mtu ambaye Chama kilichoshinda anafaa kuongoza Serikali na ndiyo Hindenburg alichofanya, lkn nazi party kilichoongozwa na A.Hitler kilishinda Uchaguzi Ujerumani, hilo halina ubishi.
Ni kama Uingereza tu, ni lazima Ufalme ukubali kama Kiongozi aliyrchaguliwa na chama chake anafaa kuwa mkuu wa Serikali!
Umenichanganya mkuu! Unazitaja Greek na Roman empire kama mifano ya demokrasia na kuiweka pia uchina. Je, kwa vigezo vya leo unaweza ukasema China ina demokrasia? Ni yale yale ya akina Zitto wanayokataa kwamba TZ hakuna Demokrasia. Demokrasia ya Greek na roman haikumaanisha vyama vingi. Hii ya akina Zitto inamaanisha vyama vingi, na kama hakuna basi demokrasia hakuna. Wakigomewa mambo yao huo ni udikteta.Athene ya Ugiriki iliendelea kwasababu ya Demokrasia, hadi kufikia hatua ya kutishia nchi za kidikteta zenye nguvu kubwa za kijeshi kama Sparta: Wasparta hawakupenda Demokrasia na mifumo ya Athene na wakaamua kuivamia kwenye vita ya Peloponnesian ya Mwaka 431 BC. Unachokisahau ni kwamba waathene walienda mbali na kutengeneza mfumo wa Demokrasia wa moja kwa moja (Direct Democracy)
Roma ya kale lilikuwa ni dola la kifalme lakini kimsingi ndiyo dola ambalo tunaiga mifumo yake ya kidemokrasia katika dunia yetu ya leo. Kaisari na nguvu zake zote zile ilikuwa ni lazima atii matakwa ya Seneti ya Roma na aliposhindwa kufanya hivyo alishughulikiwa. Kaisari Julius alipigwa visu baada ya kutaka kushindana na Seneti ya Roma. Ile nchi ilikuwa inaheshimu sana utawala wa sheria.
Wanafalsafa wakubwa wengi ambao tunawasoma ni aidha walitoka kwenye nchi ya Ugiriki au Roma, ambazo zilikuwa ni za kidemokrasia na zilitawala dunia kwa muda mrefu. Roma ilitawala dunia kwa miaka zaidi ya elfu moja kwasababu ya mfumo wake wa kidemokrasia.
Pengine hujasoma vizuri, Ufalme wa Uingereza ilipata mafanikio makubwa sana baada ya kutengeneza kuruhusu mifumo ya kidemokrasia. Walipitisha The Magna Carta mwaka 1215 iliyotoa mashauri makubwa ya haki za raia wa Uingereza. Wakatengeneza The Common Law ambao ni mfumo wa kisheria unaoruhusu Demokrasia. Wakaja wanafalsafa kama wakina A.V Dicey wakazungumzia The Rule of Law na mengineyo.
Huu mfumo wa kidemokrasia ndiyo uliyoifanya Uingereza kuwa taifa la kwanza duniani kuleta mapinduzi ya viwanda mwaka 1776. Akawa na nguvu sana na ndiyo ukawa mwanzo wa PAX BRITANNICA na Uingereza likawa taifa lenye nguvu duniani lililomiliki makoloni barani Marekani, Asia na Afrika.
Uchina yenyewe ya leo imebadilika sana. Baada ya kuona Mao Zedong kafariki wakaamua kuachana na falsafa za kidikteta zisizokuwa na kichwa wala miguu. Deng Xiaoping aliruhusu uhuru wa kiuchumi na mfumo wa masoko. Ambao mpaka leo hii Maraisi Jiang Zemin, Hu Juntao na Xi Jinping wanauheshimu.
Hoja ya mkuu Zitto iko katika nyanja kuu mbili. Mosi, Uhuru wa kisiasa ambao kwa lugha ya kiingereza ni Civili and Political Rights. Pili, Uhuru wa Kiuchumi ambao kwa lugha ya kiingereza ni Economic, Social and Cultural Rights. Unaweza kubana uhuru wa kisiasa lakini ukaachia uhuru wa kiuchumi. Ametoa na mfano hai kabisa wa Meles Zenawi, Vladmir Putin na Paul Kagame: Wanabana siasa lakini Uchumi uko wazi, kwasababu Uchumi ni masoko na namba.
Raisi wetu ametuvuruga kote, kwenye Siasa na kwenye Uchumi. Huyu ni mtu wa aina gani aisee ??? Uchumi ni namba mzee: Hauna morality, hela hata itoke kwa shetani kama tu inaongeza mzunguko then its all good for the economy. Sema cha muhimu tu ni kusimamia mgawanyo wa keki ya taifa pamoja na ushindani.
Sisi tumebugi kote na hatujui hata tunakoenda. Hivi mkuu chige wewe unaelewa sisi tunaenda wapi ?? Hebu mje na mkuu JokaKuu mtusaidie hapa.
Unachanganya mambo tena: Kuna wafungwa wa makosa ya jinai na wafungwa wa makosa ya jinai yatokanayo na shughuli za kisiasa. Huwezi kumdhuru mtu kwa kusema kwamba ununuzi wa ndege siyo kipaumbele, au kusema kupeleka SGR Rwanda ni kukosa mkakati wa kibiashara. Huyu Mzee hataki aambiwe ukweli, yeye amekuwa nani ?Huwezi kuwa unatukana viongozi wakubwa wa nchi halafu uachwe eti kwa kigezo cha uhuru wa kujieleza. Toa maoni ya kiungwana, hakuna atakayekugusa.
Demokrasia ni pana sana, lakini hasa iko katika nyanja kuu mbili. Mosi, nyanja ya kinadharia au kitunu. Pili, nyanja ya kimfumo.Maana/Dhana ya DEMOKRASIA hasa ni ipi mkuu!
Yani Barbarosa ndo mshauri kutoka Nazareti! Ama kuishi kwingi ni kuona mengi. Na mwaka huu tutaona na kusikia mengi😀Ubaya huu ushauri umetoka Nazareti na kwavile wapo waliokariri kuwa jambo jema haliwezi kutoka Nazareti watakupuuza .
Sent using Jamii Forums mobile app
Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla - Zitto Kabwe
( Andiko la July, 2016 na uhariri kidogo 2018. Uhariri tena mdogo Jan, 2019 )
- Hupambana na Wafanyabiashara wakubwa ' matajiri ' ili kuweka matajiri wake wapya watakaokuwa msaada kwake. Rais Putin wa Russia alifanya hili vizuri sana alipochukua madaraka. Adolf Hitler yeye aliamua kuwaua wayahudi ( Jews ) kwani wakati huo Jews ndio walikuwa wanashikilia uchumi wa Ujerumani. Hapa kwetu Tanzania kwa miaka mitatu tumeshuhudia Wafanyabiashara wanakipata cha mtema kuni. Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wanabambikiziwa Kodi na wakibisha wanapewa kesi zisizo na dhamana, wanatupwa jela, wananyanganywa Mali zao na wengine kufilisiwa.
- Huteua Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao ni Watu wake wa Karibu. Rais Vladimir Putin yeye alifuta kabisa chaguzi za Magavana na akateua majenerali wa jeshi na watu wa KGB badala yake. Hapa Tanzania tumeshuhudia Wakuu wa Mikoa miungu Watu wenye kufanya lolote bila kuhojiwa na yeyote. Tumeshuhudia Wakuu wa Wilaya wakifunga watu bila kufuata sheria, wakinyanganya watu mali zao na kila aina ya vituko bila kuchukuliwa hatua.
- Hudhibiti vyombo vya habari. Rais Vladimir Putin alihakikisha TV zote zinakuwa za Serikali kwa kutaifisha TV binafsi na ilikuwa marufuku DUMA ( Bunge la Urusi) kuonyeshwa na ni yeye tu ndiye mwanasiasa aliyepaswa kuonekana kwenye TV. Hapa Tanzania Bunge limezuiwa kuonyeshwa moja kwa moja Lakini shughuli zote za Rais Magufuli zinaonyeshwa hata kwa masuala yasiyopaswa kuonyeshwa kama vile kusaini mikataba au mashauriano na Viongozi wa dini. Sheria ya Huduma za Habari nchini imeviweka vyombo vya Habari hatarini Katika kuchapisha au kutangaza Habari zao. Serikali imeweka kanuni za leseni ili kudhibiti kuwepo na kufanya kwao shughuli zao. Waandishi wanatekwa na kupotezwa kwa Mfano Azory Gwanda wa Gazeti la Mwananchi.
- Hudhibiti Vyama vya Siasa. Adolf Hitler wa alifuta vyama vyote Ujerumani. Vladimir Putin alizuia mikutano ya kisiasa na kuanzisha vyama vibaraka. Hapa Tanzania, kama tulivyotabiri katika makala Hii Mwaka 2016, “ Ndio mpango utakaofanywa Tanzania kwa kuanza na kuzuia mikutano ya vyama vya siasa. Sheria pia itabadilishwa na kuifanya nchi ya Chama kimoja pekee, CCM”. Hili limetokea kwa tarehe 29/1/2019 Bunge kutunga sheria ya mabadiliko ya sheria ya vyama vya Siasa na kumfanya Msajili wa Vyama kuwa Mdhibiti wa Vyama vya Siasa. Utekelezaji wa sheria mpya ya vyama vya siasa utapelekea ama vyama kutii maelekezo ya Serikali au kufutwa na hivyo CCM kuhodhi siasa za nchi.
Mtu yeyote mwenye akili timamu na mwenye kupata japo muda kidogo wa kujisomea anajua nini kinaendelea. Watu wasioona ama wana maslahi au uwezo wao wa kuona ni mdogo sana. Wengine wameamua tu kuvaa miwani za mbao. Wahanga wa Demokrasia wanajua maana ya haya tunayosema. Tanzania sasa imefunga duara ( Full Circle ) kwenye hatua Muhimu za nchi kuwa ya kidikteta.
Ni dhahiri kuwa Dunia ina madikteta wengi waliowahi kuwaletea wananchi wao maendeleo. Ethiopia. Malaysia. Singapore. Hata Rwanda. Tofauti yao na Sisi ni kwamba Madikteta wao ni wanazuoni wenye uwezo wa kutumia akili na utulivu kufanya maamuzi. Madikteta wao wanasoma vitabu na majarida ya uchambuzi wa sera. Rais Paul Kagame wa Rwanda hakosi Harvard Business Review. Meles alikuwa na akili Kama mchwa mpaka wazungu walikuwa wanamwogopa na kitu cha kwanza alichoomba kupewa Kama msaada ni ' vitabu vya uchumi'. Hata hivyo tunashuhudia Ethiopia ikifuta sheria kandamizi na kuelekea kwenye barabara ya Demokrasia baada ya kuona uimla haulipi.Lee Kuan Yew wa Singapore na Mahathir Mohammed wa Malaysia ni waandishi wazuri wa vitabu. Hawa sio too technical...... Ni Intellectuals.
Pamoja na kuwa hao niliowataja wanasoma na wenye MAARIFA Mengi, Bado udikteta haukuwasaidia sana na wengi wamebadilika na kuwa wana Demokrasia.
( last edit 30/1/2019 )
Emenena vizuri sana,Kosa kubwa mnalofanya Upinzani ni kumtenganisha Magufuli na CCM, wengine hata mnaifanyia CCM promo kwa kumsifia Kikwete kwamba alifanya mazuri TZ mnachoshindwa kuelewa ni kwamba 2020/25 Kikwete ataikampenia CCM Magufuli ataenda atakuja mwingine lkn bado atakuwa ni CCM hivyo mtarudi tena hapa kuanza moja na kumchukia pia mwishowe hakuna mahali mnaenda.
Tuliona mlimchukia Mwinyi, Mkapa, hata Kikwete na sasa Magufuli.
Hivyo mkitaka mfanikiwe ni lazima mumjue adui yenu, na Adui yenu siyo Magufuli kwani huo Mswada ungepita hata kama Raisi asingekuwa Magufuli.
Nini maana ya Demokrasia ...maana kukosoa mnakosoa tena muda mwingine mnatoa kashfa na kukashifu ..na mnaishi vizuri tu ,labda milango ya madili ndio imefungwawamebadilika na kuwa wana Demokrasia.
Wewe mimi siyo ndugu yako: Halafu aliyemchagua Hitler kuwa Chancellor ni Raisi Paul Von Hindenburg, January 1933. Cheo hiki siyo cha kuchaguliwa bali kuteuliwa ambapo chama chenye viti vingi ndiyo hupata nafasi.Ndugu, nazi party kilikuwa na majority kwenye German Reichtag (Bunge) kwanza unaelewa Uchaguzi wa Ujerumanina Kansela anavyopatikana, tuanzie hapo isije kuwa tunabishana wakati mambo ya msingi hayako sawa!