#COVID19 Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya Covid-19

U
Tutaelewana tu.

Hakuna tatizo tena.

Tanzanai sio kisiwa cha kuweza kujitenga na dunia.
Umeambiwa Tz Ni Nchi yenye watu 58mil. Jiulize hilo Ni deal la chanjo ngapi, Tena irudiwe angalau mara 3 pata gharama kama dola 37 linganisha na mikopo na misaada tutakayopewa
USA wao order ya Kwanza ilikuwa dose πŸ’― milioni.
 
Mbona mnapenda kumtaja Mungu na kumshirikisha kwenye mambo ya kijinga?
 
Akili za nchi hii zimeanza kurejea, hongera mama!
 
"mtajua yuko Mungu aliyeumba mbingu na nchi" - Sawa! Ila sijui - Mungu wako aliumba Tanzania pekee (ya awamu ya 5)?
 
Sina utafiti wowote wa kisayansi lakini hapa nasema baba ikiwezekana kikombe hiki nisikinywe!

Sijui hasa ni kwanini sina imani na hizo harakati duniani za kudungana chanjo za corona, sijui!
 
Yani unakopa mkopo wa 1.2 trillions kwa ajiri ya vaccine? We passed through phase one and phase two epidemic then unaleta vaccine for what? Mkopo ??? Serious?? Ok.sawa
Ndugu soma habari kabla ya kuchangia. Mkopo ni "to help in tackling economic challenges of the Covid-19 pandemic".
Je unaelewa sentensi hiyo (gazeti ya leo)?
 
... Mataga mjiandae kudungwa Covid vaccination ikibidi kwa lazima daaadeki!
Mimi ni ccm na sitachanjwa ila ntajitolea kuwashika matakle bavicha ili chanjo zipenye vizuri
 
Kilichobaki Mama aseme neno sasa kuhusu katiba mpya ili tuanze kampeni ya kumpa 5 mingine ile ya haki kweri kweri.

Yule bwana alikuwa katuchelewesha sana!
Mengi atafanya lakini kwenye katiba mpya sijui!!kwani hata kama nia hiyo anayo lakini wazee(wahafidhina) walioko kwenye chama , ni kikwazo sana, kwani wanajua kabisa hii katiba ndio mlinzi mkubwa wa kuwepo CCM!!Any way cjui kwenye hili atafanyaje!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…