IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,737
- 3,301
km spuare 900.000 mpaka leo hifadhi na jeshi na mataasisi ya kidini yana migogoro
mnaosema ni wazalendo walishindwa nini tenga maeneo Raisi unatakiwa uione tanzania ya mwaka 3026 na sio kupambana na matatizo ya leo na jana tuuuuu
na wananchi kila kona si upumbavu huuuuu.Waliweka 'focus'. Wali-highlight. Wewe ulitaka kila jambo lirekebishwe kwa wakati huo huo mmoja?
Hata juhudi za mwanzo zilizofanywa, zikaja kuvurugwa na hao wengine. Ujenzi wa nchi hauendi namna hiyo.
mnaosema ni wazalendo walishindwa nini tenga maeneo Raisi unatakiwa uione tanzania ya mwaka 3026 na sio kupambana na matatizo ya leo na jana tuuuuu