Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio

Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio

Kaa kimya maana ya Sera. Nenda pale kwa Prof Semboja UDSM akufundishe maana ya Sera ni kozi ya semester mbili. Vinginevyo hujui chochote.

What's are the conditions for a statement to become a policy? Hata hujui na Wabunge wako wote hawajui. Bingwa wa Sheria anayeogopya na maprof Kama akina kabudi wenyewe wanamgwaya na wameona wamuibie Kura tu japo sisi wananchi tulimpa
 
Kila kikitokea chama ambacho kina mlengo tofauti anakuja MTU anabutua chama tawala kinakombolewa .... .

Marekani ameonesha democracy pale kilipochukua democratic chini ya Obama na baadaye Republican chini ya Donald T na sahivi mlengo umerudi kwa Democratic

Uzuri kule kuna kuwaga na midahalo mfano mdahalo wa Democratic wrote yani viongizi wenyewe hukaa hujadili mapungufu, bila kufumbiana macho wala upendeleo


Halafu Hashimu rugwe bhana ............!!
 
Chama J
Kaa kimy hujui maana ya Sera. Nenda pale kwa Prof Semboja udsm akufundishe maana ya Sera nu kozi ya semester mbili. Vinginevyo hujui chochote.
Alishastaafu siku nyingi mbona
 
Kwanza tulimalize hili la WIZI wa kura, CCM wameiba kura wazi wazi kabisa.
 
Na kwa sababu umepewa Huu ufunuo hii uanzishe wewe hicho chama
 
Kwanza tulimalize hili la WIZI wa kura, CCM wameiba kura wazi wazi kabisa.

This time wameiba kupitiliza had teja mmoja nae kashangaa wangeacha hata viti 30 Leo wasingepata kazi ya kuhaha viti maalumu
 
kikija chama kipya ndiyo CCM mtaacha kuingiza kura feki kwenye mabegi na vikapu kwenye chumba cha kupiga kura?
 
Hakuna kitu hicho, jadili kwa nini wanapora ushindi, huku kwetu baadhi ya madiwani walikataa cheti cha ushindi, lakini walilazimishwa wakubali kuwa wameshinda!
 
Watanzania wengi wameichoka CCM lakini vyama vingi vilivyoanzishwa vimeshindwa kuonyesha namna gani vitakuwa mbadala wa chama tawala.
Ni kweli tunahitaji Chama kipya cha upinzani chenye fikra mpya kwani wale milioni 14 waliokataa kupiga kura wana jambo lao
 
Mbadala ni Katiba mpya, si Chama kipya, mbadala ni Akili za Watanzania wajue maana ya vyama mbadala si vyama pinzani, Mtanzania anatakiwa ajue kazi ya vyama Vya mbadala,ajue haki Yake ni ipi,.
Hakuna chama cha upinzani kilichotumia mbinu nyingi tofauti Kama chadema,soon wapi walaumiwe
Sababu mbongo Hajui anataka nini
 
Huu upuuzi ungekua unajadiliana na mmeo mkiwa mnatafuta watoto!
 
Yaani vyama vyote hivi zaidi ya 17 bado haviyoshi?

Sema hivi Tanzania inahitaji kubadilisha katiba ili irudi rasmini kwenye mfumo wa chama kimoja badala ya kuhangaika kuiba kura. Jambo zuri bunge la 2020-2025 ni la chama kimoja cha CCM bafilisheni katiba ili muepuke kupora kura
 
Ndivyo alivyokushauri huyo Mungu wako Jambazi la kutoka Chato ?? Hicho chama chako kipya cha upinzani kije kipambane na jeshi , Polisi , usalama pamoja na majeshi ya kukodi kutoka Burundi kulinda kura zake katika uchaguzi ??
 
Ni kweli kabisa , Chama chenye sera ni CCM tu na sera zake ndizo hizi


 
Nafungua Chama kipya nakukiita Unga Juhudi. Hiki kitapendwa sana na CCM.
 
Back
Top Bottom