Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo kubwa kwa CHADEMA na upinzani kwa ujumla hawaelewi kuwa hawa wote kuanziaCCM = wajanja wachache + Jeshi la (wananchi + polisi + magereza) + TISS + Tume ya uchaguzi + Mahakama.
Tanzania INAHITAJI hii equation ivunjwe vunjwe ili CCM ibaki kuwa chama cha siasa tu, vinginevyo ni kama impossible kwa chama cha upinzani kushindana na CCM hata kama kitakua na sera za milele
Kwani CHADEMA ya Lumumba bado ipo?hiyo fungua idara ndani ya Chadema
Mtu anaweza kuwa mzalendo bila kuwa CCM?Upinzani wenye uzalendo kwa maslahi ya taifa
Sio upinzani kwa maslahi ya kina Amstadam
Hivyo vinajifia vyenyewe mbona
Upinzani wenye uzalendo kwa maslahi ya taifa
Sio upinzani kwa maslahi ya kina Amstadam
Kianzishe wewe kama unadhani ni rahisi .Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio.
Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera zake za kudumu hasa ni zipi.
Hivi vya kwetu havieleweki kabisa vinaenda na matukio tu.
Mfano CCM ikisema kila mtanzania lazima awe na shamba upinzani watakuja mbio kupinga na kutishia kuipeleka CCM Umoja wa Mataifa kwa kulazimisha kila mtu awe mkulima!!!
Lakini ukiwauliza vyama vya upinzani vyote kuwa hivi nyie sera zenu za kudumu ni zipi ambazo vyama vyenu vikitajwa tu mtu anajua yes hii ndio sera ya kudumu ya chama changu?
Tatizo la vyama vya upinzani ni vyama vya upinzani vyenyewe!Tanzania inahitaji CCM irudi kuwa cha cha siasa kwanza.
Upizani kwamwe hautasitawi na kuwa na muelekeo imara kama
CCM =serekali=nyombo nya dola.
Na kwakuwa watu hawawezi kuwa na mawazo sawa kitu pekee ninachoweza sitawi kwenye mazingira haya ni uasi (rebellion).
Watu wanaliangamiza Taifa huku wakipongezana na visingizio telee
Vita vya rasilimali
Mabeberu
Vyama hivi ni NGOs
Wapinga maendeleo yaani upuuzi teleee kuhalalisha kukandamiza mawazo tafauti na yao.