Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio.
Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera zake za kudumu hasa ni zipi.
Hivi vya kwetu havieleweki kabisa vinaenda na matukio tu.
Mfano CCM ikisema kila mtanzania lazima awe na shamba upinzani watakuja mbio kupinga na kutishia kuipeleka CCM Umoja wa Mataifa kwa kulazimisha kila mtu awe mkulima!!!
Lakini ukiwauliza vyama vya upinzani vyote kuwa hivi nyie sera zenu za kudumu ni zipi ambazo vyama vyenu vikitajwa tu mtu anajua yes hii ndio sera ya kudumu ya chama changu?
Hatutaki vyama vingi.Tunataka chama kimoja kama enzi za Mwalimu.UsitufosiTanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio.
Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera zake za kudumu hasa ni zipi.
Hivi vya kwetu havieleweki kabisa vinaenda na matukio tu.
Mfano CCM ikisema kila mtanzania lazima awe na shamba upinzani watakuja mbio kupinga na kutishia kuipeleka CCM Umoja wa Mataifa kwa kulazimisha kila mtu awe mkulima!!!
Lakini ukiwauliza vyama vya upinzani vyote kuwa hivi nyie sera zenu za kudumu ni zipi ambazo vyama vyenu vikitajwa tu mtu anajua yes hii ndio sera ya kudumu ya chama changu?
Tatizo la vyama vya upinzani ni vyama vya upinzani vyenyewe!
Kwanza hawana hoja na hawaeleweki wanataka nini hasa, pili wameshindwa![]()
kuungana na uelewa wa jamii ya wapiga kura.![]()
Kwa mfano, kusema mradi wa reli, mradi wa umeme, barabara etc havina maana ni kama kuchallenge uelewa wao na watakudhibu accordingly.
Hapo hujaongelea sera ya majimbo, na ushoga...
Tatizo la vyama vya upinzani ni vyama vya upinzani vyenyewe!
Kwanza hawana hoja na hawaeleweki wanataka nini hasa, pili wameshindwa kuungana na uelewa wa jamii ya wapiga kura.
Kwa mfano, kusema mradi wa reli, mradi wa umeme, barabara etc havina maana ni kama kuchallenge uelewa wao na watakudhibu accordingly.
Hapo hujaongelea sera ya majimbo, na ushoga...
Dr Slaa alikua mzalendo hadi chadema walipoamua kumsaliti kwa kumualika fisadipapa kugombea urais.Mtu anaweza kuwa mzalendo bila kuwa CCM?
NIPE MFANO JAPO MMOJA
Kusujudia wazungu, kuweka madini rehani mali za nchi kwa wazungu na kukubali kuwa vibaraka wao na kuzuia maendeleo ya nchi ni ujinga zaidi.Uzalendo sasa hivi ni kujipendekeza na kumsujudia rais! Huo sio uzalendo. Maana sasa hivi ni ngumu kutofautisha uzalendo na ujinga.
Vyama vya upinzani TANZANIA tulikataa katakata tume iliyoundwa kuzunguka nchi nzima asilimia 82 ya waliohojiwa na tume mijini na vijijini walikataa kata kata vyama vingi
Nyerere alipopelekewa hiyo ripoti akasema ahhh hata kama wako wachache wanataka ruhusuni tu
Lakini ukitizama hadi leo msimamo wa watanzania walio wengi hawajabadilika hawataki vyama vingi
Hata vilivyoanzishwa vyote viianzishwa na wana CCM ambao walipigwa chini uongozi kwenye serikali na chama mihasira yao ndio wakapeleka kuanzisha vyama vya siasa
mfano CHADEMA kilianzishwa na MTEI NA BOB MAKANI wote walikuwa viongozi wa serikali waliopigwa chini na serikali
CUF ILIANZISHWA NA WAPIGWA CHINI, NCCR pia, NK
Kusujudia wazungu, kuweka madini rehani mali za nchi kwa wazungu na kukubali kuwa vibaraka wao na kuzuia maendeleo ya nchi ni ujinga zaidi.
Nguo ya kuazima haisitiri mat*ko - Wahenga
Mimi siwapishagi mkuu wala sijawahi wasujudia. Nawachukulia kama binadamu wengine tunapoishi kwa upendo na nawachukulia kama makabaila Mabeberu na mabepari wanapojificha nyuma ya demokrasia kupora mali za watuMzungu hapa kwetu automatically anasujudiwa. Kama huamini nenda na mzungu popote hapa Tanzania, kisha ukute viti vyote vimejaa kama hawajampisha akae. Kwani hayo madini yetu mpaka sasa hao wazungu hawayachimbi? Kuna maendeleo gani ya kuzuia hapa Tanzania? Au hizo propaganda mfu ndio unaona ni maendeleo ya kuzuiwa? Ukitaka kujua maendeleo nenda Afrika kusini uone maendeleo waliyofanya wazungu, na bado watu waliwakimbiza.
Anzisheni chakwenu,kwani vilivyopo mnasema vinachelewesha maendeleo.Mtakacho anzisha kitaweza kukidhi mahitaji yenu kulingana na matarajio yenu.Asante kwa kunielewa.Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio.
Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera zake za kudumu hasa ni zipi.
Hivi vya kwetu havieleweki kabisa vinaenda na matukio tu.
Mfano CCM ikisema kila mtanzania lazima awe na shamba upinzani watakuja mbio kupinga na kutishia kuipeleka CCM Umoja wa Mataifa kwa kulazimisha kila mtu awe mkulima!!!
Lakini ukiwauliza vyama vya upinzani vyote kuwa hivi nyie sera zenu za kudumu ni zipi ambazo vyama vyenu vikitajwa tu mtu anajua yes hii ndio sera ya kudumu ya chama changu?
Mimi siwapishagi mkuu wala sijawahi wasujudia. Nawachukulia kama binadamu wengine tunapoishi kwa upendo na nawachukulia kama makabaila Mabeberu na mabepari wanapojificha nyuma ya demokrasia kupora mali za watu
Madini wanachimba lakini kwa sasa tunaenda sawa. Wao wana mitaji sisi tuna mali, tunategemeana na hii itatufikisha mbali zaidi ya kuweka rehani
Kwa hiyo nisikulaumu sababu na wewe ni muafrika😂😂😂 Haya wewe tunza hicho kipaji chako cha ujinga Mimi nilishakikataa😎Weka mkataba wowote wa madini hapa ndio utajua kwa waafrika ujinga ni kipaji.
Vyama vya matukio Duniani kote vipo kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali kupitia matukio yote mapungufu yote siyo kuifagilia Serikali pindi ikizembea kwenye matukio yote, vyama vilivyopo Tanzania ni vyama imara ndiyo maana CCM kutwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwaonea kuwafanyia kila aina ya visa, visingekuwa vyama imara CCM wasingehaha kuiba kura uchakachuaji kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani.Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio.
Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera zake za kudumu hasa ni zipi.
Hivi vya kwetu havieleweki kabisa vinaenda na matukio tu.
Mfano CCM ikisema kila mtanzania lazima awe na shamba upinzani watakuja mbio kupinga na kutishia kuipeleka CCM Umoja wa Mataifa kwa kulazimisha kila mtu awe mkulima!!!
Lakini ukiwauliza vyama vya upinzani vyote kuwa hivi nyie sera zenu za kudumu ni zipi ambazo vyama vyenu vikitajwa tu mtu anajua yes hii ndio sera ya kudumu ya chama changu?
Wapinzani lazima wapinge kila kitu kwani hakuna kitu kizuri kinafanywa na CCM, kila miradi ya CCM ina ufisadi mapungufu mengi hivyo lazima wapinzani wapinge ujinga wote wa CCMTanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio.
Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera zake za kudumu hasa ni zipi.
Hivi vya kwetu havieleweki kabisa vinaenda na matukio tu.
Mfano CCM ikisema kila mtanzania lazima awe na shamba upinzani watakuja mbio kupinga na kutishia kuipeleka CCM Umoja wa Mataifa kwa kulazimisha kila mtu awe mkulima!!!
Lakini ukiwauliza vyama vya upinzani vyote kuwa hivi nyie sera zenu za kudumu ni zipi ambazo vyama vyenu vikitajwa tu mtu anajua yes hii ndio sera ya kudumu ya chama changu?
Kama unasaka uteuzi kwa mada hizo za kishamba kishetani kamwe hutakaa upate uteuzi kwa hata CCM wanataka mada za kuwasaidia siyo mada za kijinga jinga kama hiziTanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio.