Hata mimi nasapoti ,sisi wabongo upigaji mwingi sana na usimamizi mbovu.
 
Kiujumla Mzanzibari anamwona Mwarabu kama mtemi wake. Mzanzibari hajawahi kukataa anachoambiwa na Mwarabu. Sasa fikiria mpaka tufike mwaka 2030 ni nini kitatokea? Rejea Mwarabu alivyofanya biashara ya utumwa tusikute wanaturudia kwa namna nyingine.
 
Chachu! Hiyo Hapana inaandikwa wapi na kwa nani na pia kwa ajili ya nini bwege wewe!
 
Hiyo mifumo haiwezi kufanywa isomane na watanzania ? Mbona GePG inasomana na mifumo mbali mbali kama Luku, Polisi, TRA n.k. na imetengenezwa na watanzania ?
 
Kauza bandari za Tanganyika lakini za Zanzibar kaziacha
Mkataba unasema bandari zote,, viwanda vya free economy zone, miundo mbinu ya bandari zote inaboreshwa, mitambo itakayowekwa itapunguza ajira na itazuia watu wenye deal zetu pale,, nachotaka kujua nchi itapata nini kwenye hili deal
 
Watanzania tuamke nchi inaibiwa jamani, tuandamaneni kushinikiza nchi iache nia yake ovu dhidi ya uuzaji wa bandari zetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Andamana na wajinga WACHACHE.....

Watanzania walio wengi wako katika lindi la umaskini kutokana na huo upuuzi unaoendelea bandarini.....

Upuuzi wa kutotaka mifumo ya TEHAMA kusomana kati ya TPA na TRA ili tu waendelee kutuibia mali za wote....

Shtuka ,amka na ujitambue.....
 
Utasikia hatutaki ushogaaaaaaa Sasa ushoga umeingia Ikulu
 
Hiyo mifumo haiwezi kufanywa isomane na watanzania ? Mbona GePG inasomana na mifumo mbali mbali kama Luku, Polisi, TRA n.k. na imetengenezwa na watanzania ?
Hapo ndipo pakutafakari.....

Umekiri kama haisomani?!!!

Ikiwa umekiri hebu tafakari ni akina nani wako nyuma ya "culprit" hii?!!?

Jibu ni kuwa.....wengi....na wana nguvu....wamekuwa nazo miaka yote hii ....sasa mwanamapinduzi mkuu mh.SSH bado unamsiliba tuhuma za usaliti huo ?!!!!
 
Sasa serikali inashindwa nini coordination hyo? Hyo kampuni inaundwa na serikali ya UAE sasa sisi tunashindwa nn?
 
Ilikua zuga kwa wadanganyika
Hakuna "zuga"....

Mh.Rais SSH anataka bandari ichangie nusu ya bajeti ya nchi...kwa mwendo tulionao hatutofika huko.....unataka "status quo" iendelee?!!! Halafu ni kwa faida ya akina nani ?!!!

Wenzako wa Ludewa wanashangilia kulipwa stahiki zao za kupisha mradi wa MCHUCHUMA NA LIGANGA......
 
Pumbavu wewe? Huo mkataba umesema wapi utachangia nusu ya bajeti? Mnadhani kila mtu chawa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…