Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam
Bora waichukue nchi yote halafu waijenge iwe kama Dubenga hahahahahahahahaha full maflyover, maskyscraper kudadek, magari ya kifahari huhuhuhuhu lalalalalala. Ntafurahi sana aisee kubabek raha kama zote. MAMA TUUZE HARAKA WASIJE WAKAGHAIRI BURE.
 
Wanasiasa wamelitengeneza tatizo, kisha Rais atakuja na kauli ya kulitatua ili awe HERO. (Yaani wanajitekenya, halafu wanacheka wenyewe).

Kisha vijana wa CCM watatoa Pongezi zao kwa Mwenyekiti wao. na kusema anawajali Watanzania.

Mwisho, Hii ni wana test mitambo tu, ila nyuma ya pazia watapitisha.

#Blame Society
 
Wana JF popote
Popote ulipo bila kujali vyama, dini wala kabila andika neno hapana kupinga mikataba ya kilaghai ya siri wanayoingia viongozi,
Tambueni nchi sio ya Rais, wenye nchi ni wewe mtanzania hakikisha unademand uwazi kwenye mikataba tuanzie hii ya bandari,
Fanya hivo ili hata wajukuu zetu utawaelezea kua ulipinga kuuzwa kwa rasilimali za nchi yao hata kwa ID fake ya Jamii Forum,
Simama mtanzania, muda ni huu, wapuuzi wachache wasitupeleke kubaya,
Kama Raia wameshindwa kuendesha bandari tunalitaka JWTZ likaiongoze na vitengo vyote wawepo wao ili tujihakikishie usalama wetu na rasilimali zetu,
Sio bahati mbaya Tanzania kupewa bandari na Mwenyezi mungu, lazima tuamke, madini waliuza, gesi wakauza usiku bila aibu, mbuga za wanyama washauza, na bandari wanataka kuuza bila aibu,
 
Kwa maoni yangu, hakuna mkataba hatari kuwahi kutokea kama huu baada ya Uhuru.

Huu ni mkataba kama aliosaini Mangungo kwa Carl Peters.

1. Bandari zote za Tanzania Bara zinakwenda kuchukuliwa na Waarabu.

2. Waarabu wanakwenda kuchukua ardhi ya Tanzania Bara kiasi chochote wanachokitaka.

Maana yake ni kwamba, hata kama watataka kuchukua Mikoa yote ya Tanzania Bara, watachukua tu.

Ninachokiona mimi ni kwamba, wakishachukua Bandari zote Tanzania Bara, wataanza kuchukua ardhi ya Nchi kavu.
Hapo wataweza kuchukua hata mbuga za wanyama na hata migodi yote. Maeneo hayo yatachukuliwa kwa visingizio mbalimbali.

Rai yangu ni kwamba:-
*Viongozi wetu wa Dini zote wapaze sauti hadharani bila kificho kupinga jambo hili.

*Waandishi wa habari waungane kupinga jambo hili.

*Watanzania wote wote bila kujali tofauti zetu tupaze sauti zetu kupinga jambo hili.

Zaidi sana Serikali hii iunde majopo huru kadhaa ili kujadili kwa kina mkataba huu kabla mambo hayajaharibika.
Majopo hayo yahusishe viongozi wa kimila, viongozi wa Dini, Vyama vya siasa, Wananchi wote wa Bara (NB:- Wananchi wasiwakilishwe na viongozi wa siasa)

RIP, JPM, Baba.
HII NCHI INGEUZWA TU KILA MTU ALIPWE CHAKE BADO KIDOGO MLIMA KILIMANJARO NAO UTAENDA
Hongera sana CCM
 
Mimi sina tatizo na huo mkataba iwapo una nia kweli ya kuleta tija huko bandarini. Hofu yangu ni iwapo tu maslahi ya Taifa yatapewa kipaumbele, kutokana na aina ya viongozi na wasomi wetu.

Lakini pia kutokuweka ukomo wa huo mkataba, ni tatizo pia. Ikitokea mkazinguana, kesi inaenda kusikilizwa kwenye mahakama za kimataifa!! Yale yake ya mikataba ya Richmond, Escrow, nk!!

Ujinga mtupu.
 
Kwa maoni yangu, hakuna mkataba hatari kuwahi kutokea kama huu baada ya Uhuru.

Huu ni mkataba kama aliosaini Mangungo kwa Carl Peters.

1. Bandari zote za Tanzania Bara zinakwenda kuchukuliwa na Waarabu.

2. Waarabu wanakwenda kuchukua ardhi ya Tanzania Bara kiasi chochote wanachokitaka.

Maana yake ni kwamba, hata kama watataka kuchukua Mikoa yote ya Tanzania Bara, watachukua tu.

Ninachokiona mimi ni kwamba, wakishachukua Bandari zote Tanzania Bara, wataanza kuchukua ardhi ya Nchi kavu.
Hapo wataweza kuchukua hata mbuga za wanyama na hata migodi yote. Maeneo hayo yatachukuliwa kwa visingizio mbalimbali.

Rai yangu ni kwamba:-
*Viongozi wetu wa Dini zote wapaze sauti hadharani bila kificho kupinga jambo hili.

*Waandishi wa habari waungane kupinga jambo hili.

*Watanzania wote wote bila kujali tofauti zetu tupaze sauti zetu kupinga jambo hili.

Zaidi sana Serikali hii iunde majopo huru kadhaa ili kujadili kwa kina mkataba huu kabla mambo hayajaharibika.
Majopo hayo yahusishe viongozi wa kimila, viongozi wa Dini, Vyama vya siasa, Wananchi wote wa Bara (NB:- Wananchi wasiwakilishwe na viongozi wa siasa)

RIP, JPM, Baba.
Wauzwe mara ngapi? Naililia Danganyika. Uozefu wangu unaonyesha kuwa marais waswahili ni wa hovyo sana. Kwa vile ni watumwa wa kujitakia wa waarabu kwa kisingizio cha uislam. Muungano unaanza kuleta maangamizi baada ya gabacholi kupewa madaraka. Naanza kuwa na wasi wasi na kifo cha ghafla cha Magufuli. Inawezekana alikolimbwa au kusokoiniwa.
 
Bunge DHAIFU la CCM limepitisha azimio la kubinafsisha bandari ya DSM kwa kampuni ya DP World ya Dubai kwa miaka 100 hadi 2123.

#MyTake:
1. Maamuzi haya yamelenga kunufaisha watu wachache na kufuta urithi kwa vizazi vijavyo. Mwaka 2123 hakuna yeyote kati yetu atakayekua hai. Maana yake tumeamua kuwaachia msalaba wajukuu zetu ambao hata hawajazaliwa.

Unadhani Nyerere alishindwa kubinafsisha madini, bandari, mbuga za wanyama? Angeweza but alifikiria vizazi vya baadae. Ila sisi tumeamua kuuza urithi wa vizazi vyetu kwa tamaa ya muda mfupi. Tukikubali huu ujinga wajukuu zetu watapiga viboko makaburi yetu.

2. Kagame aliwahi kutukejeli tumpe bandari ya DSM atupe nusu ya bajeti ya nchi kila mwaka. Tukaona ametudharau. Lakini leo tunajiuza "cheap" kwa waarabu. Hakuna cha nusu wala robo ya bajeti. Kama tumeshindwa kuendesha bandari si bora tungempa Kagame, maana heri mwendawazimu uliyemzoea kuliko kichaa mpya.

3. Kampuni ya DPWorld inatuhumiwa "kupora" bandari nchi mbalimbali kwa kigezo cha uwekezaji. Bandari ya Sarubaya (Indonesia), Batangas (Ufilipino), Palao (Peru), Dakar (Senegal), bandari ya Djibout etc. Huko kote vimebaki vilio. Badala ya kujifunza, tumejipeleka kichwakichwa tukale za uso.

4. Katika kuonesha jinsi bunge lilivyo DHAIFU, limetoa siku 1 tu wananchi kutoa maoni yao. Yani jambo litakaloathiri maisha yetu na vizazi vyetu kwa miaka 100 ijayo litolewe maoni siku 1? Hawa watu wana kichaa? Halafu maoni yatolewe ukumbi wa Msekwa, uliopo bungeni. Ebo.!

Bandari inagusa maisha ya kila mtu, kuanzia mkulima wa Runzewe hadi Mwalimu wa Ludewa. Magari, mafuta, vyakula, nguo, pembejeo vinapita bandarini. Kugusa bandari ni kugusa maisha ya kila mtu. Ingeundwa kamati kukusanya maoni nchi nzima, sio kusema watu wakatoe maoni ukumbi wa Msekwa. Mwananchi wa Namtumbo anafikaje Msekwa?

5. Wananchi kataeni upuuzi huu. Mkinyamaza kwa kuona ni jambo la kisiasa msije kulia baadae. Maana mna "kaupuuzi" ka kunyamaza mkidhani waathirika ni wanasiasa tu. Utadhani bei ya petrol inapanda(ga) kwa wanasiasa tu. Siku yakiwachachia ndo mnaomba kupaziwa sauti. Ukikaa kimya usiombe kupaziwa sauti.
Ongeza wapumbavu na watumwa kama yeye
 
adhibitiwe kusafiri safiri, huko ndiko anazidi kutuchomesha mahindi.....anatuingiza mkenge taratibu mwisho tutajikuta tupo baharini na hakuna maboya ya kutusaidia kuokoa maisha yetu
 
Bora waichukue nchi yote halafu waijenge iwe kama Dubenga hahahahahahahahaha full maflyover, maskyscraper kudadek, magari ya kifahari huhuhuhuhu lalalalalala. Ntafurahi sana aisee kubabek raha kama zote. MAMA TUUZE HARAKA WASIJE WAKAGHAIRI BURE.
Dah! Nimecheka sana😂
 
Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam.

Pia soma > Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha mpaka Bandari? Tusikubali hili

Hili litaweka mazingira ya kufanyika kwa taratibu nyingine, ikiwamo mkataba wa makubaliano, kabla ya kuanza kwa sura mpya ya ushirikiano kati ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na DP World, kampuni ya kimataifa ya usafirishaji yenye makao yake makuu Dubai, Falme za Kiarabu.

Kampuni hiyo, ambayo mbinu yake ni kuondoa vizuizi vya biashara na kuunda mfumo ikolojia wa biashara ili kupanua mtiririko wa biashara ya ndani ya kikanda na kimataifa, itapewa gati ya tano hadi saba kushughulikia

Kwa kuingia ubia huo wa mashirikiano, Serikali inatarajia kuongeza ukusanyaji wa mapato kupitia bandari hiyo kwa asilimia 233.7 katika miaka kumi ijayo.

---

Parliament is this month expected to debate and approve the Intergovernmental Agreement (Iga) between Tanzania and Dubai on developing Dar es Salaam Port, The Citizen can reveal.

This will set the stage for other procedures, including the concession agreement, before the commencement of a new chapter for cooperation between the Tanzania Ports Authority (TPA) and DP World, a multinational logistics company based in Dubai, the United Arab Emirates.

The company, whose approach is to remove barriers to trade and create a trade ecosystem to expand the flow of both intra-regional and global trade, will be given berths five to seven to handle, according to Works and Transport minister Makame Mbarawa.

He told The Citizen in an exclusive interview last week that by working with DP World, the government expects to increase revenue collection through the port by 233.7 percent in the next ten years.

Prof Mbarawa said the target was to raise the amount in revenue that is collected from the port from the current Sh7.79 trillion per year to Sh26 trillion in the next decade.

“The potential private sector investment could enhance the competitiveness of Dar es Salaam Port by improving service quality and increasing efficiency,” he said.

It is on those grounds that more business could be drawn to the port, thus boosting revenue and contributing to Tanzania’s overall economic development.

Amidst current inefficiencies impacting end customers and escalating costs, private sector investment in the Port of Dar es Salaam is being recognised as a potential game-changer.

Prof Mbarawa said the government had made up its mind to partner with DP World in developing the port.

On why the government chose DP World, Prof Mbarawa said the company was uniquely positioned to partner with the government as it is a global logistics company that is capable of delivering the required nationwide transformation across the entire logistics value chain.

The company has a proven track record of managing, operating and investing in trade infrastructure in Africa for over 20 years to the highest international standards.

“We have great confidence in DP World and it is on that ground that we are planning to give to it berths five to seven to handle,” Prof Mbarawa said.

“With DP World, we expect to see improvement in the port’s performance. We expect to see the discharge period of vessels being cut to one day from the current four to five.”

This, explained Prof Mbarawa, could mean the removal of barriers to trade, which is key to driving and increasing trade flows.

The potential impact of private sector investment underscores the port’s strategic importance to Tanzania’s economy and its potential to catalyse economic growth and development in the country.

The potential introduction of cutting-edge technologies, advanced equipment and skilled personnel could enable the port to handle more cargo, alleviate congestion, and expedite ship turnaround times, thereby reducing costs for end customers.

Tanzania Shipping Agents Association (Tasaa) chairman Daniel Malongo said he had confidence in DP World, adding that it was among the world’s top four companies in the running of ports.

He commended the way the company has mechanised its handling equipment as well as operating and revenue collection systems.

“Transparency is of high degree since every movement from the time container is coming from the vessel to the port and ICD (Inland Container Depot), is reflected in the system,” said Mr Malongo.

“This will be of paramount importance to our country since it provides no loophole for revenue leakage.”

Tanzania Freight Forwarders Association (Taffa) president Edward Urio was also upbeat, saying DP World will add value to Dar es Salaam Port’s performance.

He said the company will bring in innovation, efficiency and competition to other operators handling berths eight to 11.

“They (DP World) have a good reputation. They handle some of the biggest ports in the world,” said Mr Urio.

Going by the TPA figures, the port handled 17 million metric tonnes of cargo in 2021, up from 14 million tonnes recorded in 2017, thanks to expanded capacity, marketing drive, recovery from Covid-19 and an enabling business environment.

It is believed that the involvement of the private sector brings the prospects for improved connectivity and the potential for expansion and modernisation of facilities at the port.

Stakeholders believe that the involvement of the private sector will pave a way for developing new terminals, refurbishing existing ones, and providing additional services such as warehousing, logistics and ship repair.

This could in turn create new job opportunities, boost revenue, and draw more business to the port.

Moreover, this potential investment could stimulate economic diversification by attracting new sectors and businesses to the port.

DP World investment in Tanzania will modernise the port’s infrastructure by investing in the equipment, processes and systems at the port of Dar es Salaam to bring operations to world class levels of productivity, the company said in its recent statement.

The statement said the company will improve ease of doing business by using modern technology to shape the visibility, transparency, and speed up transit of cargo across Tanzania ports, Inland Container Depots and borders.

Source: The Citizen
Huo ni uwekezaji ni vzr
 
Bunge DHAIFU la CCM limepitisha azimio la kubinafsisha bandari ya DSM kwa kampuni ya DP World ya Dubai kwa miaka 100 hadi 2123.

#MyTake:
1. Maamuzi haya yamelenga kunufaisha watu wachache na kufuta urithi kwa vizazi vijavyo. Mwaka 2123 hakuna yeyote kati yetu atakayekua hai. Maana yake tumeamua kuwaachia msalaba wajukuu zetu ambao hata hawajazaliwa.

Unadhani Nyerere alishindwa kubinafsisha madini, bandari, mbuga za wanyama? Angeweza but alifikiria vizazi vya baadae. Ila sisi tumeamua kuuza urithi wa vizazi vyetu kwa tamaa ya muda mfupi. Tukikubali huu ujinga wajukuu zetu watapiga viboko makaburi yetu.

2. Kagame aliwahi kutukejeli tumpe bandari ya DSM atupe nusu ya bajeti ya nchi kila mwaka. Tukaona ametudharau. Lakini leo tunajiuza "cheap" kwa waarabu. Hakuna cha nusu wala robo ya bajeti. Kama tumeshindwa kuendesha bandari si bora tungempa Kagame, maana heri mwendawazimu uliyemzoea kuliko kichaa mpya.

3. Kampuni ya DPWorld inatuhumiwa "kupora" bandari nchi mbalimbali kwa kigezo cha uwekezaji. Bandari ya Sarubaya (Indonesia), Batangas (Ufilipino), Palao (Peru), Dakar (Senegal), bandari ya Djibout etc. Huko kote vimebaki vilio. Badala ya kujifunza, tumejipeleka kichwakichwa tukale za uso.

4. Katika kuonesha jinsi bunge lilivyo DHAIFU, limetoa siku 1 tu wananchi kutoa maoni yao. Yani jambo litakaloathiri maisha yetu na vizazi vyetu kwa miaka 100 ijayo litolewe maoni siku 1? Hawa watu wana kichaa? Halafu maoni yatolewe ukumbi wa Msekwa, uliopo bungeni. Ebo.!

Bandari inagusa maisha ya kila mtu, kuanzia mkulima wa Runzewe hadi Mwalimu wa Ludewa. Magari, mafuta, vyakula, nguo, pembejeo vinapita bandarini. Kugusa bandari ni kugusa maisha ya kila mtu. Ingeundwa kamati kukusanya maoni nchi nzima, sio kusema watu wakatoe maoni ukumbi wa Msekwa. Mwananchi wa Namtumbo anafikaje Msekwa?

5. Wananchi kataeni upuuzi huu. Mkinyamaza kwa kuona ni jambo la kisiasa msije kulia baadae. Maana mna "kaupuuzi" ka kunyamaza mkidhani waathirika ni wanasiasa tu. Utadhani bei ya petrol inapanda(ga) kwa wanasiasa tu. Siku yakiwachachia ndo mnaomba kupaziwa sauti. Ukikaa kimya usiombe kupaziwa sauti.
No Retreat ! Sasa ni muda wako wa kusarender kwani inajidhihirisha unaandika upuuzi bila hata ya kujua undani wake
 
Acheni ujima nyie,huko ulaya kwenyewe bandari zinaendeshwa na wawekezaji na sio serikali,hao DP world wanaendesha bandari nyingi tu ulaya yan mje kulalamika kwa iko kibandari chenu uchwara,ngojeni waje hao DP muone kama kuna meli itakaa bandarini siku 3 au wiki kule out anchor kusubiri kuingia bandarini,hao meli ndani masaa tu ishadischarge na kuondoka na nyingine inaingia,acheni upuuzi na ujuha
Kwani unafikiri sisi hatuwezi kufanya hayo? Wapo wanaoweza lakini kutokana na si wa kundi fulani la kimaslahi, hawawekwi kwenye nafasi
Shida baadhi ya sisi waafrika tukikabidhiwa kitengo tunakuwa mabosi uchwara, ukiritimba, umangimeza na tambo kibao! Hakuna kazi inayofanyika wala usimamizi, kauli za amri amri na kutishana, kukwamishana na kutambiana wakurugenzi wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom