kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Miaka 100 kwa billion 500 ambazo hata bahresa angefanya kazi hiyo !!mzee mwinyi aliuza loliondo kwa mwarabu huyohuyo Leo wamasai wanakufa na kuzikwa kwa risasi za mwarabu ,TICS nayo tuliambiwa bandari itafanya vizuri lakini wewe ulishuhudia utopolo wa hao wahuni au umesahau