Jambazi ni mama yako mzazi. Shoga mkubwa wewe!!Jambaz kuu alikuwa jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambazi ni mama yako mzazi. Shoga mkubwa wewe!!Jambaz kuu alikuwa jiwe
Ndio ujue kabla ya kufikia uamuzi huo hawakulewa "kangara"......Sasa serikali inashindwa nini coordination hyo? Hyo kampuni inaundwa na serikali ya UAE sasa sisi tunashindwa nn?
Mlete na menejimenti za kukodi kwenye idara zote za serikali maana mtanzania hajaweza kujitawala.Naunga mkono bandari kupewa dp world kwa masharti yoyote. Tumechoka na watendaji wetu hawa wazembe, bora kenda shika kuliko kumi nenda uje.
Tunaanzia hapa, kama faida ipo tutaiona. Kama haipo tutaona pia. Waliopo bandari wote wapelekwe halmashauri au wakae pembeni. Wanaopitisha mizigo bure ndio wanaolalamika, aliingia mwarabu bure hakuna tena.
Kuna mwenyekiti fulani wa chama nimeona kashiba asali anaanza kuponda mkataba, mara sijui hauna ukomo. Yeye mbona chamani kwake hana ukomo?
Hatuwezi kuendelea na hawa wafanyakazi wazembe wazembe wenye akili kama za cute wife, lazima tubadilike tunataka utendaji na ufanisi.
Samahan sana ndugu mtoa mada, huo unapatikana wapi, ili walau namim nyonge nipate kudodosa na kutoa hukumu ya haki na ushauri mujarabu, kuliko kunibugiza kisha nami kubugia na kutoa povu kama lote kwa nisichokijua? Naomba Muongozo wako tafadhaliBunge DHAIFU la CCM limepitisha azimio la kubinafsisha bandari ya DSM kwa kampuni ya DP World ya Dubai kwa miaka 100 hadi 2123.
#MyTake:
1. Maamuzi haya yamelenga kunufaisha watu wachache na kufuta urithi kwa vizazi vijavyo. Mwaka 2123 hakuna yeyote kati yetu atakayekua hai. Maana yake tumeamua kuwaachia msalaba wajukuu zetu ambao hata hawajazaliwa.
Unadhani Nyerere alishindwa kubinafsisha madini, bandari, mbuga za wanyama? Angeweza but alifikiria vizazi vya baadae. Ila sisi tumeamua kuuza urithi wa vizazi vyetu kwa tamaa ya muda mfupi. Tukikubali huu ujinga wajukuu zetu watapiga viboko makaburi yetu.
2. Kagame aliwahi kutukejeli tumpe bandari ya DSM atupe nusu ya bajeti ya nchi kila mwaka. Tukaona ametudharau. Lakini leo tunajiuza "cheap" kwa waarabu. Hakuna cha nusu wala robo ya bajeti. Kama tumeshindwa kuendesha bandari si bora tungempa Kagame, maana heri mwendawazimu uliyemzoea kuliko kichaa mpya.
3. Kampuni ya DPWorld inatuhumiwa "kupora" bandari nchi mbalimbali kwa kigezo cha uwekezaji. Bandari ya Sarubaya (Indonesia), Batangas (Ufilipino), Palao (Peru), Dakar (Senegal), bandari ya Djibout etc. Huko kote vimebaki vilio. Badala ya kujifunza, tumejipeleka kichwakichwa tukale za uso.
4. Katika kuonesha jinsi bunge lilivyo DHAIFU, limetoa siku 1 tu wananchi kutoa maoni yao. Yani jambo litakaloathiri maisha yetu na vizazi vyetu kwa miaka 100 ijayo litolewe maoni siku 1? Hawa watu wana kichaa? Halafu maoni yatolewe ukumbi wa Msekwa, uliopo bungeni. Ebo.!
Bandari inagusa maisha ya kila mtu, kuanzia mkulima wa Runzewe hadi Mwalimu wa Ludewa. Magari, mafuta, vyakula, nguo, pembejeo vinapita bandarini. Kugusa bandari ni kugusa maisha ya kila mtu. Ingeundwa kamati kukusanya maoni nchi nzima, sio kusema watu wakatoe maoni ukumbi wa Msekwa. Mwananchi wa Namtumbo anafikaje Msekwa?
5. Wananchi kataeni upuuzi huu. Mkinyamaza kwa kuona ni jambo la kisiasa msije kulia baadae. Maana mna "kaupuuzi" ka kunyamaza mkidhani waathirika ni wanasiasa tu. Utadhani bei ya petrol inapanda(ga) kwa wanasiasa tu. Siku yakiwachachia ndo mnaomba kupaziwa sauti. Ukikaa kimya usiombe kupaziwa sauti.
mkeka wenyewe hauna maajabu asilimia 99% ni wale wale. Kuna wakurugenzi wamekua miungu watu kazi yao kufokea watumishi na kupandisha mabega tuLeo wakaja na mkeka wa wakurugenzi na maDas. [emoji119]
Usiwe mjinga wa KUKARIRI....Sasa mwanao ushindwe kumdhibiti ukampe jirani ndiye akutunzie?
You get it wrong,, nina maana hiyo mifumo ya sasa haisomani sababu watu wanajua vichaka vya kupiga hela vinashindwa,,
Yamshinde rais mwenye "think tankers" uyaweze wewe mnywa kangara?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]Huu nao si "insanity" na "grandeur delusion"?!!! [emoji1787]Sina ugomvi na hili. Unafukuza wezi na kuingiza wengine. Hii ni akili au matope? Tunachoongelea hapa ni maslahi mapana ya taifa. Kwani hilo pango lilimshinda rais na mamlaka yote na vyombo vyote vya maguvu au alikuwa akinufaika na ujambazi huu? Nadhani kati yangu nawe na huyo unayemtetea kibubusa unaweza kuona nani mkumbaff kumbaff we
Mama Samia should be careful.Bunge DHAIFU la CCM limepitisha azimio la kubinafsisha bandari ya DSM kwa kampuni ya DP World ya Dubai kwa miaka 100 hadi 2123.
#MyTake:
1. Maamuzi haya yamelenga kunufaisha watu wachache na kufuta urithi kwa vizazi vijavyo. Mwaka 2123 hakuna yeyote kati yetu atakayekua hai. Maana yake tumeamua kuwaachia msalaba wajukuu zetu ambao hata hawajazaliwa.
Unadhani Nyerere alishindwa kubinafsisha madini, bandari, mbuga za wanyama? Angeweza but alifikiria vizazi vya baadae. Ila sisi tumeamua kuuza urithi wa vizazi vyetu kwa tamaa ya muda mfupi. Tukikubali huu ujinga wajukuu zetu watapiga viboko makaburi yetu.
2. Kagame aliwahi kutukejeli tumpe bandari ya DSM atupe nusu ya bajeti ya nchi kila mwaka. Tukaona ametudharau. Lakini leo tunajiuza "cheap" kwa waarabu. Hakuna cha nusu wala robo ya bajeti. Kama tumeshindwa kuendesha bandari si bora tungempa Kagame, maana heri mwendawazimu uliyemzoea kuliko kichaa mpya.
3. Kampuni ya DPWorld inatuhumiwa "kupora" bandari nchi mbalimbali kwa kigezo cha uwekezaji. Bandari ya Sarubaya (Indonesia), Batangas (Ufilipino), Palao (Peru), Dakar (Senegal), bandari ya Djibout etc. Huko kote vimebaki vilio. Badala ya kujifunza, tumejipeleka kichwakichwa tukale za uso.
4. Katika kuonesha jinsi bunge lilivyo DHAIFU, limetoa siku 1 tu wananchi kutoa maoni yao. Yani jambo litakaloathiri maisha yetu na vizazi vyetu kwa miaka 100 ijayo litolewe maoni siku 1? Hawa watu wana kichaa? Halafu maoni yatolewe ukumbi wa Msekwa, uliopo bungeni. Ebo.!
Bandari inagusa maisha ya kila mtu, kuanzia mkulima wa Runzewe hadi Mwalimu wa Ludewa. Magari, mafuta, vyakula, nguo, pembejeo vinapita bandarini. Kugusa bandari ni kugusa maisha ya kila mtu. Ingeundwa kamati kukusanya maoni nchi nzima, sio kusema watu wakatoe maoni ukumbi wa Msekwa. Mwananchi wa Namtumbo anafikaje Msekwa?
5. Wananchi kataeni upuuzi huu. Mkinyamaza kwa kuona ni jambo la kisiasa msije kulia baadae. Maana mna "kaupuuzi" ka kunyamaza mkidhani waathirika ni wanasiasa tu. Utadhani bei ya petrol inapanda(ga) kwa wanasiasa tu. Siku yakiwachachia ndo mnaomba kupaziwa sauti. Ukikaa kimya usiombe kupaziwa sauti.
DuhBunge DHAIFU la CCM limepitisha azimio la kubinafsisha bandari ya DSM kwa kampuni ya DP World ya Dubai kwa miaka 100 hadi 2123.

Kama ni wezi na wanyang'anyi huo mkataba watausaini kesho tu 😂Hatuna muda mrefu watasaini ushoga hawa mabata
Bila kupepesa macho ujinga unaanzia kwako punguani mkubwa ,ukiongea kawaida mtu hawezi kuelewa, bila shaka wewe ndiye walikutupia huko ukaleleweUsiwe mjinga wa KUKARIRI....
Kwani ni wote wanaowapa jirani watoto wao huangukia patupu?!!![emoji15]
Huyo atakuwa mfaidika wa hayo maana yeye anaongea uchafu badala ya hoja, hivi mtu huwezi jadili kawaida mpaka uongee maneno ya uchokoraaSasa serikali inashindwa nini coordination hyo? Hyo kampuni inaundwa na serikali ya UAE sasa sisi tunashindwa nn?
Uchungu upo kwenye kipande chao sisi huku santekalaweWazanzibar hawana uchungu na Tanzania
Kalaghabaho ni wewe na mamako tu. Hebu dhihirisha uzalendo wake hapa kwanza kabla ya kuanza kutukana tukanaHuna ujualo....kalaghabaho.....
Mh.Samia ni mzalendo kukuzidi wewe hapo na ndio maana taifa limeridhia awe rais wetu.....bambash
Wanaleta ili msijadili ya maana tuje shituka hakuna pakushika, mnakumbuka tozo, tulishitukia tunaliaKwanza zilipigwa pasi nyingi sana katikati ya uwanja kwa kutoa motisha kwa yanga mara kununua magoli nikajisemea moyoni sio Bure kunakitu. Leo wakaja na mkeka wa wakurugenzi na maDas. [emoji119]