Sasa serikali inashindwa nini coordination hyo? Hyo kampuni inaundwa na serikali ya UAE sasa sisi tunashindwa nn?
Ndio ujue kabla ya kufikia uamuzi huo hawakulewa "kangara"......

Hili taifa linachezewa kwa visingio vya UTAIFA NA UZALENDO ambao kimsingi unaweza kupatikana tukibinafsisha......

Baba wa taifa alisalitiwa na baadhi ya waliojiita wazalendo wakaua mashirika yetu ya umma kwa ubadhirifu mkubwa kabisa......
 
Mlete na menejimenti za kukodi kwenye idara zote za serikali maana mtanzania hajaweza kujitawala.
 
Wabongo sekta nyingi sana tumefeli. Unless tubadili mienendo yetu na tabia zetu ikiwemo sheria kali ama tuwaachie wenzetu waendeshe.

Kagame alishawahi kututukana kua tumpe tu bandari ya Dar, ataijenga Rwanda kama Dubai.
 
Wazanzibar hawana uchungu na Tanzania
 
Samahan sana ndugu mtoa mada, huo unapatikana wapi, ili walau namim nyonge nipate kudodosa na kutoa hukumu ya haki na ushauri mujarabu, kuliko kunibugiza kisha nami kubugia na kutoa povu kama lote kwa nisichokijua? Naomba Muongozo wako tafadhali
 
Acheni maneno

Mpo salama kabisaaaa..

Kazi iendelee...

💃🏽💃🏽💃🏽😊
 
Yamshinde rais mwenye "think tankers" uyaweze wewe mnywa kangara?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]Huu nao si "insanity" na "grandeur delusion"?!!! [emoji1787]
 
Mama Samia should be careful.
48hrs katika siasa ni very long!

Uzanzibari wa mama Samia hausaidii sana, actually ni liability.
Mbaya zaidi waziri wa ujenzi mzanzibari, Makame Mbarawa, inaufanya uamuzi huo mzito wa bandari kuwa na ukakasi.

Tulimpokea mama Samia kwa bashsha, lakini it seems she has taken us for granted.

Mama Samia be careful, kujinasua hapo inahitaji maelezo ya kina, G55 is round the corner
 
Duh
 
Usiwe mjinga wa KUKARIRI....

Kwani ni wote wanaowapa jirani watoto wao huangukia patupu?!!![emoji15]
Bila kupepesa macho ujinga unaanzia kwako punguani mkubwa ,ukiongea kawaida mtu hawezi kuelewa, bila shaka wewe ndiye walikutupia huko ukalelewe
 
Huna ujualo....kalaghabaho.....

Mh.Samia ni mzalendo kukuzidi wewe hapo na ndio maana taifa limeridhia awe rais wetu.....bambash
Kalaghabaho ni wewe na mamako tu. Hebu dhihirisha uzalendo wake hapa kwanza kabla ya kuanza kutukana tukana
 
Tanzania ni mali ya CCM...

Ni hadi pale ambapo wananchi watapoidhoofisha na kuipiga chini CCM, ndipo Tanzania itakuwa ya Watanzania...
 
Kwanza zilipigwa pasi nyingi sana katikati ya uwanja kwa kutoa motisha kwa yanga mara kununua magoli nikajisemea moyoni sio Bure kunakitu. Leo wakaja na mkeka wa wakurugenzi na maDas. [emoji119]
Wanaleta ili msijadili ya maana tuje shituka hakuna pakushika, mnakumbuka tozo, tulishitukia tunalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…