Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 247
- 715
Watanzania ni majizi hata uyakabidhi bustani ya mboga yataiba mpaka mbegu hayajali umewekeza pesa kiasi gani na jinsi gani unataka huo mradi ukusaidie, matanzania yatakuibia tu!!! Bandarini Nani asiyejua hata Magufuli mwenyewe palimshinda, sasa Serikali imeona niia pekee ya kupata ufanisi ni kubinafsisha kwa mkataba ambao utaleta nafuu kubwa basi majizi mazoefu yanapiga kelele hayataki kukosa ulaji,,,,Samia kanyaga twende mpaka pale tutakapo tengeneza kizazi kizalendo.
Haiwezekani mpaka mlinzi wa geti bandarini ni tajiri,acha akae mwekezaji tuone kama huo utajiri mtaupata,,,chamsingi tupate Kodi zetu na tozo zingine kutoka kwa mwekezaji baaaasi!! Haiwezekani bandari mpaka leo utafikiri mwalo wa wavuvi acha teknolojia kubwa zifungwe bandari iaminike na nchi jirani kutokana na wepesi wa upakuaji mizigo utakaopatikana bandarini hapo mwisho wa siku pato la bandari likue na ajira pembezoni mwa bandari zipatikane,,,hakuna mwekezaji atakae kubali kibaka mmoja achezee flow meter then milioni za lita za mafuta zipite bila kujulikana,,,,wtz tunaongoza kwa wizi duniani acha tuongozwe mpaka tuwe tiyari,,,Jana nmemsikia kiongozi wangu Mbowe anakemea lakini kwa hili sipo nae kabisa,,,labda aniambie kwanini mashirika yote ya umma yamekuwa hayazalishi inavyotakikana mwisho wa siku tunalimbikiziwa tozo kila mahali,,,,Mh.Mbowe sidhani kama kahongwa bali nimeona ka udini flani kanamtawala ndo maana kahoji kwanini bandari za Zanzibar hazijabinafsishwa!? Sasa kwanini zibinafsishwe wakati zinafanya vizuri!? Wtz ni wajinga,,wezi,wanafiki,waoga,hawajui wanataka nini!!wapo wapo tuuuuu!! Leo tyr katiba mpya tumesahau tumedandia mambo ya bandari amabayo kila mtu anajua ilivyooza kwa wizi,,Samia anataka hela ya kuhudumia wtz alafu kuna wezi wako sehemu nyeti kama bandari wanahujumu na kuiba sasa kwanini asitafute muarobaini kama anavyotaka kufanya!???