Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bagamoyo ndio ulikuwa mpango mzima. kikwete yuko wapi aisee awape ushauri hao?La bandari Ni dalili tu. Kuna siku utasikia mkoa wa DSM unakodishwa kwa Waarabu.
Kuna siku tutaamka tutasikia wilaya na vijiji vimeuzwa Oman, na raia watatakiwa kuondoka haraka...
Hapa linatafutwa tukio la kuzima kelele, subiri tu soon utaona.Wauze tu,wabinafsishe kila kitu
Acha sisi tuendele kufatilia mambo ya simba yanga,singeli udaku wa maisha ya wasanii,betting inatutosha
Ova
Tuna viongozi wa hovyo kuliko kawaida, baadhi ya wabunge ndo vilaza kuliko unavowatazama wakiwa na suti zaoTISS ni idara ya chama na wanaofisi Lumumba.
Tuingie barabarani ndio solution.CHONDE CHONDE, TUACHIENI BANDARI YETU, TUACHIENI URITHI WETU, HATUTAKI MUWEKEZAJI nk KWENYE BANDARI YETU
CHONDE CHONDE, TUACHIENI BANDARI YETU, TUACHIENI URITHI WETU, HATUTAKI MUWEKEZAJI nk KWENYE BANDARI YETU
Ndiyo hivyoKuna wajinga walisema Mungu kaamua ugomvi, kumbe ni wao wenyewe!
Mungu akiamua ugomvi Taifa haliwezi kuwa na vilio na kuchanganyukiwa namna hii tena!
Ni lini Mungu akusudie kuwapeni furaha kama nchi, matokeo yake mmeanza vilio na kujilaumu?
Njia zenu za kishetani, kikombe hiki ni shariti kukinywea!
Na bado!