Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika Telecommunication Industry

Kuna mambo hapo si kweli na mengine ni kweli swala la kuwa tunatumia tech ya miaka 20 iliyopita naweza kusema hapana ukweli kwa maana umeshindwa ku indicate kwa mantiki ipi iyo tech tunayotumia ila tu wazungu walipo tuzidi ni vitu kama 5G ambavo hata kwao vimekuwa implemented Practically recently kingine pia Broadband hawa wenzetu wapo mbali sana upande wa fiber almost nyumba zao nyingi kuna Fiber huingia ambapo through wired connection unaweza ku archive high speed na kuweza kucheza vitu kama game online au netflix yale smoothly, Sisi fiber ipo kwenye majiji machace ila pia public wife ni chache sana
Mimi ni mtaalam wa umeme ivo nimeshangaa kaa na watu wa telecom na Computer science wa nje
 
Uzi wako hujafanya research ya kutosha ili tupate kile hasa ambacho umekikusudia

Maana unapozungumzia telecommunications kuna

Voice call
SMS
Data/internet
 
Thread yangu mwisho nimeuliza maswali kama unayo majibu weka kama huna si lazima kuchangia. Yes nimejadili na wataalamu and it's already happened sorry if imekukera hakuna namna kurudisha muda nyuma.

Ciao! Kolola
 
Kosa si kufanya kosa bali kosa kurudia kosa
 
Uzi wako hujafanya research ya kutosha ili tupate kile hasa ambacho umekikusudia

Maana unapozungumzia telecommunications kuna

Voice call
SMS
Data/internet
Bro nimeeleza kwa urefu kuwezesha kupata mwanga na nimemaliza kwa kuuliza maswali kuweza kufahamu. So tactically majibu ya maswali ndio yatatupatia kufahamu mantiki ya 21 year back.
 
Nadhan wao walimaanisha mitambo inayotumika ni ya zaman..mfano kampuni nyingi zinatumia server na switch za kizaman ambazo hazina hata support ..upande wa devices ndio tupo nyuma sana...si unaona ata 4G yetu inavyosua sua
 
Uzi wako hujafanya research ya kutosha ili tupate kile hasa ambacho umekikusudia

Maana unapozungumzia telecommunications kuna

Voice call
SMS
Data/internet
Haikuwa research just conversation kama nilivyoshare so after 21 years ndio kujiuliza maswali niliyoambatanisha.
 
Hatuzumgumzi Smartphone bali mfumo wa mawasiliano ya huduma za simu (Data, SMS na Calls) mimi sio mtaalamu katika Telecommunications lakini wataalamu walinieleza hayo.
Changanya na zako......Mizungu inapenda kuwafanya ngozi nyeusi always wajisikie so inferior katika kila jambo na wewe ujafikiria mara mbili ukaipitisha kabisa na sasa ipo JF.
 
Nadhan wao walimaanisha mitambo inayotumika ni ya zaman..mfano kampuni nyingi zinatumia server na switch za kizaman ambazo hazina hata support ..upande wa devices ndio tupo nyuma sana...si unaona ata 4G yetu inavyosua sua
Oke! So ni kampuni bado hazifanyi upgrade ya mitambo yao.

Thanks
 
Changanya na zako......Mizungu inapenda kuwafanya ngozi nyeusi always wajisikie so inferior katika kila jambo na wewe ujafikiria mara mbili ukaipitisha kabisa na sasa ipo JF.
Siwezi kufeel inferior na conversation au mitazamo ya watu. That's why nimekuwa na maswali hadi kuuliza kufahamu hili 21 years lipo.
 
Nimejibu kitu kama hiki kuna wajuaji wakaniambia ni uongo!
 
Bei yao ilikuwa ghali sana sijui nani aliwashauri, zaidi ya laki 2 walikuwa wanacharge kwa broadband za majumbani, wakati kina Zuku kuanzia 69,000.
 
Hatuzumgumzi Smartphone bali mfumo wa mawasiliano ya huduma za simu (Data, SMS na Calls) mimi sio mtaalamu katika Telecommunications lakini wataalamu walinieleza hayo.
SIKIA ACHA KUMEZESHWA MFUMO WA TANZANIA NA MAREKANI NI VITU VIWILI TOFAUTI......KAWAULIZE PENETRATION YA MOBILE BANKING ILIVYOKUBWA AFRIKA MASHARIKI KULIKO HUKO KWAO NA JINSI ITAKAVYOSAIDIA KUINGIA KWENYE TECHNOLOGIA YA 5G..... KWAKUA MATUMIZI YA MANUNUZI KWA KUTUMIA SIMU NI MENGI KAMA WENZETU CHINA,...HILO SWALA LA TECHNOLOGY NI UWEKEZAJI TU NDO MAANA TUNA MAKAMPUNI KAMA VODACOM AU AIRTEL AMBAYO YANAJIANDAA KULETA 5G AFRIKA MASHARIKI...HAMNA KITU KINACHONIUDHI KAMA MTU ANAYEJUA LAUMU TU BILA KUTOA SOLUTION
 
Mkuu nikihitaji connection na hao wazungu inawezekana? Nina specialist wa Telecommunication anahitaji sana hiyo connection

Huyo ni specialist mshenzi ambae hana cinnection huyo ni takataka na tapeli. kama hawajui hao watajwa hapo juu anawajua akina nani sasa

Labda specialist wa kupika biriani
 
Wenzetu wa Marekani na duniani kwa ujumla walishazima GSM/ 2G. Kuna nchi ukienda hata Huduma ya SMS zilishafutwa mudaaa. Jamaa nachosema tunatumia Tech ya 21 Years ago ni kweli

Kuna Mkorea wangu alishangaa sana Nilivyokua naunga vifurushi. Hata tu *102# alikua anaishangaa simu yake ukiuliza salio inapiga badala ya kurequest kama za kwetu. Yeye huduma zote zinaishia kwenye App

Vidacom nimeona wana app ipo poa inaonyesha salio la vifurushi na huduma nyingine.

Pia lazima ukubali tupo nyuma. tena zaidi ya hiyo miaka 21.
Ukitaka kuona ni TCRA waamuru mitandao ya simu Izime 2G. ndio utajua kuwa tupo nyuma. Nchi yetu hadi leo kuna sehemu hazina 3G sasa huoni kama tupo matakoni mwa dunia??

Hivyo Vi4G vya uongo vya Mijini ambapo ukitembea kilometer 3 vinapotea visikusumbue.
Bado tupo nyuma sana.
Kama tungekuwa na uwezo wa kupata 3G ya marekani basi hatuna haja ya 4G hii tunayotumia kwa miaka 10 mbele ndo tukawa na Demand ya 4G
 
Sasa wenye utaalam wajadili nn na wakati ni wataalam tayari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…