Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika Telecommunication Industry

Heshima yako yako Mkuu.

Kwa mara ya kwanza leo naomba nitofautiane na wewe kidogooo kuhusu hizi 3g na 4g.

Binafsi hizi 3g na 4g naona kwa hapa kwetu Tanzania kuna kiini macho kinachochezwa na network providers. Yaani nahisi kuna maeneo hawa voda na nduguze wanaandika 4g lkn in reality ni 3g au wanaandika 3g lkn in reality 2g.

Kwa nini??

Unaweza kuwa mahali(hata katikati ya miji) ukaona ni 3g lkn kunakuwa na ufanisi mdogo sana wa 3g. Kwa mfano unaweza kuwa na 3g lkn hata WhatsApp video calls zinakuwa zinakatakata na quality mbovu. Wakati mwingine hata hiyo 4g inakuwa na ufanisi kidogo sana.

Wakati mwingine unaweza usione tofauti ya 3g na 4g.

Mkuu kama utaweza kutufafanulia hiyo hoja yangu, basi ifafanue kwa lugha nyepesi ili hata Sisi walaji wa kawaida tuelewe.
 

Mtaalam wa umeme anzisha mada yetu ya umeme
 
Haikuwa research just conversation kama nilivyoshare so after 21 years ndio kujiuliza maswali niliyoambatanisha.

Ww hujaelewa kitu. Watu wanataka kupinga kuwa umeongea na waandamizi wa mitando mikubwa ya simu kama ilivyoitaja sasa wanakuzunguka tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kaka unatofautiana na chief kwa ujinga wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti hizi 4G wanaadika labda kama Simu zetu wanatengeneza hao Vodacom. Simu inajua huu ni mtandao gani inadisplay sasa kusema wanaandika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani wewe ukiweka sukari mdomoni huijui??

Mtandao ni kweli ni 4G ila issue ya speed ndio itadepend sasa ww kushindwa kudownload au kufanya video calls haibatilishi mtandao kutokuwa 4G
 
Maelezo yako hayajitoahelezi, umeshindwa kujustify kusema Tz inatumia teknolojoa ya miaka 21 nyuma wakati kwa sasa Tz inatumia teknolojoa ya 4G
 
USA wamezima 2g na Hawana coverage ya 4g nchi nzima, ni decision ya kibiashara zaidi kuliko ya kimaendeleo.

Inapunguza cost na kuwapa faida zaidi. Lakini inaumiza zaidi watu ambao hawaishi mjini. Ndio maana kwa USA starlink ni big issue inatoa coverage kwa maeneo mengine.

Zipo Nchi zinazoweza kubrag kuhusu Mobile data mfano hao wa korea, Ulaya maeneo ya Scandinavia, Japan etc, hawa wana coverage kila mahala na speed ya maana, ila sio USA.

Angalia hizi data

Pamoja na 5g average speed ya Mobile data ni 40mbps ambayo easly unaipata ukiwa Tanzania eneo lililo covered na 4g.

Kipindi cha nyuma kidogo kwenye 4g walikuwa wanaaverage around 20mbps ambayo ni speed ya kawaida sana kibongo bongo.

Kwa mobile data Tanzania tupo vizuri aisee.
 
Hio ni capacity, mtandao unakuwa na capacity fulani, mfano mnara Una capacity ya kuhudumia watu 1000, na mpo 10,000 Hilo eneo mtandao utakuwa slow.

Kuepuka Hilo kila siku nashauri watu humu
1. Hakikisha simu yako ina mimox2 ama mimox4 ili kuwasiliana na minara mingi Kadri unavyoweza
2. Iwe na Lte advance Sababu wachache wana hii tech hakuwi na congestion.

Mfano mimi nipo Kkoo hii ni tigo ambayo kwa average wapo nyuma ya Halotel na Voda.


Kuna watu hapa hapa Kkoo tigo inawasumbua, na hili ni Tatizo LA kifaa zaidi kuliko Mtandao.

47mbps hapo nina speed kuliko average 5G user wa USA.
 

Mkuu natamani kujua hiyo mimox sijui kama kuna uzi wake
 
Mkuu natamani kujua hiyo mimox sijui kama kuna uzi wake
Mimo ni Aina ya Antenna ambayo huwasiliana na mnara zaidi ya mmoja, kirefu cha Mimo ni multiple input, multiple Output.

Simu ina Wasiliana na minara tofauti kwa pamoja na minara inawasiliana na Antenna tofauti kwenye simu.



Sehemu kama mjini maghorofa kibao yana minara inasaidia.
 
Huyo ni specialist mshenzi ambae hana cinnection huyo ni takataka na tapeli. kama hawajui hao watajwa hapo juu anawajua akina nani sasa

Labda specialist wa kupika biriani
Nimetafuta jibu la kuweka hapa nimekosa. All in all it's cool 🙃
 
Marekani wanatumia bure sababu wachangiaji ni Sisi huku bara giza hole shit... ni sawa na umeme wa viwandani ni bei ghali na wa majumbani ni cheap so wenye viwanda wanachangia gharama za watumiaji wa umeme wa majumbani
 

Asante sana. pia umesema app hebu endelea kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…