Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Uko sahihiLeo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.
======
View attachment 3034286
Kwa Tanzania hali ni tofauti, huku tunahimiza kulipa kodi ambayo sana inatumika kuendesha Serikali hasa hasa kununua Magari ya anasa.
Tuna hadi Naibu waziri mkuu cheo cha mchongo ambacho hakipo kikatba ila kimewekwa kwa sababu za siasa na mzigo tunabeba sisi.
Ukiachana na hayo bado tuna Baraza la Mawaziri kubwa sana na sana limekaa kimchongo sana.
Tanzania tuna Baraza kubwa sana la Mawaziri nazani kiliko hata Kenya ilivyo, na baadhi ya wizara zimekaa kimchongo hazina maana yoyote ile zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi.
Huku tunahimizwa sana hata na mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.
Na Watawala hawako tayari kupunguza Mzigo wa Baraza la mawaziri kwa sababu limekaa kisiasa hasa kulipana fadhila.
Siumeelewa lakini?kumamamakokokoMkuu rekebisha hapo andika baraza na sio balaza.
Swali la msingi upumbavu wa namna hii tunaendelea nao hadi lini?Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.
======
View attachment 3034286
Kwa Tanzania hali ni tofauti, huku tunahimiza kulipa kodi ambayo sana inatumika kuendesha Serikali hasa hasa kununua Magari ya anasa.
Tuna hadi Naibu waziri mkuu cheo cha mchongo ambacho hakipo kikatba ila kimewekwa kwa sababu za siasa na mzigo tunabeba sisi.
Ukiachana na hayo bado tuna Baraza la Mawaziri kubwa sana na sana limekaa kimchongo sana.
Tanzania tuna Baraza kubwa sana la Mawaziri nazani kiliko hata Kenya ilivyo, na baadhi ya wizara zimekaa kimchongo hazina maana yoyote ile zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi.
Huku tunahimizwa sana hata na mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.
Na Watawala hawako tayari kupunguza Mzigo wa Baraza la mawaziri kwa sababu limekaa kisiasa hasa kulipana fadhila.
Una tatizo gani dogo?Siumeelewa lakini?kumamamakokoko
Huna tofauti na Comical Ali, unatetea hata visivyofaa, yaani hutumii akili hata kidogo.Sasa hawana na wanauana uchumi umeharibika,Tanzania yapo na the economy is running smoothly.
Nini hoja Yako tena?ππ
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1808443921996947924?t=DMqPxnD9Q5jpwOjLno9xXA&s=19
Is not about me? Binafsi kwa level niliyopo ningekataa kwa sababu zangu.Hoja nzuri na ndio wanafanya hivyo wanawakikisha matatizo ya wananchi. Wale wa kuchaguliwa huwa hawatoshi maana wao ni ngazi ya jimbo wakati wa kuteuliwa ni wa mkoa mzima labda. Anasemea mkoa mzimaπ€.
Hata wewe ungeteuliwa usinhekataa kuwawakulisha wananchi
Unapunguza wakati inajiharishia? πππHuna tofauti na Comical Ali, unatetea hata visivyofaa, yaani hutumii akili hata kidogo.
Wenzako wanapunguza govt spending, wewe hadi wenza wa maraisi unawapa kiinua mgongo, na unatetea huo upumbavu.
Muhammad Saeed Al-Sahaff.
Kwa hiyo Mama Kikwete kulipwa kiinua mgongo kama mke wa raisi kwako no sawa, are you sane?Unapunguza wakati inajiharishia? πππ
Ni lini na wapi kiuchumi kupunguza matumizi ya serikali kunakuza uchumi? Hizo ni matokeo ya kufikisika
Bora hicho ni kiinua mgongo,wao walikuwa na Bajeti ya first lady,sijui Watoto,second lady na upumbavu mwingine kama huoKwa hiyo Mama Kikwete kulipwa kiinua mgongo kama mke wa raisi kwako no sawa, are you sane?
Umeelewa swali? Mkuu, umeamua kutumia kiungo gani kufikiri? Kuna mwenzako nilimtukana juzi akaishia kunireport nikala ban. Mama Salma kupewa kiinua mgongo kwa hisani ya mumewe kwako ni sawa?Bora hicho ni kiinua mgongo,wao walikuwa na Bajeti ya first lady,sijui Watoto,second lady na upumbavu mwingine kama huo
Nimejibu kulingana na swali lako,hujaona neno Bora hio?Umeelewa swali? Mkuu, umeamua kutumia kiungo gani kufikiri? Kuna mwenzako nilimtukana juzi akaishia kunireport nikala ban. Mama Salma kupewa kiinua mgongo kwa hisani ya mumewe kwako ni sawa?
It's clear, kuna kiungo tofauti na ubongo unatumia kufikiri.Nimejibu kulingana na swali lako,hujaona neno Bora hio?
Unachotumia weweIt's clear, kuna kiungo tofauti na ubongo unatumia kufikiri.
Mjumbe wacha ujinga. Kenyavilichofanya ninkurudi nyumavili iwevkama sisi lakini bado. Wewe unaongea baraza la mawaziri wenzako wana serkali 27. Yssni kila Kabila lina serkali yake huitwa County, ina bunge ina mahakama ina serkali kamili lakini Serkalinkuu moja ya Ruto kana hii ya Samia izihudumievhizo serkali zingine 26.Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.
======
View attachment 3034286
Kwa Tanzania hali ni tofauti, huku tunahimiza kulipa kodi ambayo sana inatumika kuendesha Serikali hasa hasa kununua Magari ya anasa.
Tuna hadi Naibu waziri mkuu cheo cha mchongo ambacho hakipo kikatba ila kimewekwa kwa sababu za siasa na mzigo tunabeba sisi.
Ukiachana na hayo bado tuna Baraza la Mawaziri kubwa sana na sana limekaa kimchongo sana.
Tanzania tuna Baraza kubwa sana la Mawaziri nazani kiliko hata Kenya ilivyo, na baadhi ya wizara zimekaa kimchongo hazina maana yoyote ile zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi.
Huku tunahimizwa sana hata na mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.
Na Watawala hawako tayari kupunguza Mzigo wa Baraza la mawaziri kwa sababu limekaa kisiasa hasa kulipana fadhila.
Kwa mtazamo wako. Ila mimi naamini tukitaka kupunguza ile 60% ya bajeti ambayo inaenda kwenye utawala yaani matumizi ya kawaida basi tunatakiwa kukubaliana kwambaIs not about me? Binafsi kwa level niliyopo ningekataa kwa sababu zangu.
Tunazungumzia umuhimu wao wka nchi ni upe kuwa na utitiri wa wabunge halaf effective ni wachache? The rest wanaiingizia serikali hasara
Why tusiwe na bunge dogo but effective? Chomoa viti maalum acha wanaochaguliwa na mawaziri only
Tumuombe Mungu atutunze tushuhudie yajayo kwenye nchi yetu.Mda gani? ππ
Sasa kama hawana Cha kufanya Serikali ndio imesababisha wakose Cha kufanya? Kwa mfano Ruto atakata hizo Bajeti wanazolalamikia nk ndio itawapa Cha kufanya?Tumuombe Mungu atutunze tushuhudie yajayo kwenye nchi yetu.
Sifa mojawapo kubwa ya wale GnZi ni kwamba wengi hawana Elimu ile inayoitwa kubwa ila wapo highly exposed kwenye technology na hasa huku kwenye sosho media.
Wamejikuta mtaani hawana cha kufanya na wala hawana cha kupoteza. Kizazi hicho hapa nchini Kunakuja. Vijana walio shuleni Sasa hivi kutokana na kuona kuwa Elimu sio deal tena wameona wao hata wakifeli Sawa tu yaani hawana tena uchungu na elimu. Baadae hawa watu watakuja mtaani ambako hawatakuwa na la kufanya ili waishi. Shughuli itaanza hapo
Umemaliza vizuri sanaSasa kama hawana Cha kufanya Serikali ndio imesababisha wakose Cha kufanya? Kwa mfano Ruto atakata hizo Bajeti wanazolalamikia nk ndio itawapa Cha kufanya?
Nadhani ni wakati wazazi kuandalia Watoto shughuli za kufanya badala ya kusubiria Serikali ambayo haiwezi wapatia hizo kazi zote.
Mfano hapa Tanzania wasomi badala ya kutumia maarifa na ujuzi kutafuta maisha wanaenda kukaa Kwa mwamposa eti wanatumia Mafuta ya upako kutafuta kazi,inawezwkanaje Sasa? ππ