Tanzania inawezekana? Ruto asitisha ununuzi wa Magari ya Serikali kwa mwaka mzima, Mashirika ya umma 47 yafutwa hayana tija

Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.

======

View attachment 3034286

Kwa Tanzania hali ni tofauti, huku tunahimiza kulipa kodi ambayo sana inatumika kuendesha Serikali hasa hasa kununua Magari ya anasa.

Tuna hadi Naibu waziri mkuu cheo cha mchongo ambacho hakipo kikatba ila kimewekwa kwa sababu za siasa na mzigo tunabeba sisi.

Ukiachana na hayo bado tuna Baraza la Mawaziri kubwa sana na sana limekaa kimchongo sana.

Tanzania tuna Baraza kubwa sana la Mawaziri nazani kiliko hata Kenya ilivyo, na baadhi ya wizara zimekaa kimchongo hazina maana yoyote ile zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi.

Huku tunahimizwa sana hata na mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.

Na Watawala hawako tayari kupunguza Mzigo wa Baraza la mawaziri kwa sababu limekaa kisiasa hasa kulipana fadhila.
Uko sahihi
 
Swali la msingi upumbavu wa namna hii tunaendelea nao hadi lini?
 
Hoja nzuri na ndio wanafanya hivyo wanawakikisha matatizo ya wananchi. Wale wa kuchaguliwa huwa hawatoshi maana wao ni ngazi ya jimbo wakati wa kuteuliwa ni wa mkoa mzima labda. Anasemea mkoa mzima🤔.
Hata wewe ungeteuliwa usinhekataa kuwawakulisha wananchi
Is not about me? Binafsi kwa level niliyopo ningekataa kwa sababu zangu.
Tunazungumzia umuhimu wao wka nchi ni upe kuwa na utitiri wa wabunge halaf effective ni wachache? The rest wanaiingizia serikali hasara

Why tusiwe na bunge dogo but effective? Chomoa viti maalum acha wanaochaguliwa na mawaziri only
 
Huna tofauti na Comical Ali, unatetea hata visivyofaa, yaani hutumii akili hata kidogo.

Wenzako wanapunguza govt spending, wewe hadi wenza wa maraisi unawapa kiinua mgongo, na unatetea huo upumbavu.
Muhammad Saeed Al-Sahaff.
Unapunguza wakati inajiharishia? 😂😂😂

Ni lini na wapi kiuchumi kupunguza matumizi ya serikali kunakuza uchumi? Hizo ni matokeo ya kufikisika
 
Kwa hiyo Mama Kikwete kulipwa kiinua mgongo kama mke wa raisi kwako no sawa, are you sane?
 
Bora hicho ni kiinua mgongo,wao walikuwa na Bajeti ya first lady,sijui Watoto,second lady na upumbavu mwingine kama huo
 
Umeelewa swali? Mkuu, umeamua kutumia kiungo gani kufikiri? Kuna mwenzako nilimtukana juzi akaishia kunireport nikala ban. Mama Salma kupewa kiinua mgongo kwa hisani ya mumewe kwako ni sawa?
 
Nimejibu kulingana na swali lako,hujaona neno Bora hio?
 
Katiba Mpya iliyo bora, itaje IDADI Kamili ya Mawaziri na Manaibu Waziri wanaotakiwa..PERIOD...

Kiti maalum kiwe kimoja kila mkoa kwa kuwa shida za wanawake na jamii dhalili ni zile zile mkoa mzima na tuwapigie kura
 
Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.

======

View attachment 3034286

Kwa Tanzania hali ni tofauti, huku tunahimiza kulipa kodi ambayo sana inatumika kuendesha Serikali hasa hasa kununua Magari ya anasa.

Tuna hadi Naibu waziri mkuu cheo cha mchongo ambacho hakipo kikatba ila kimewekwa kwa sababu za siasa na mzigo tunabeba sisi.

Ukiachana na hayo bado tuna Baraza la Mawaziri kubwa sana na sana limekaa kimchongo sana.

Tanzania tuna Baraza kubwa sana la Mawaziri nazani kiliko hata Kenya ilivyo, na baadhi ya wizara zimekaa kimchongo hazina maana yoyote ile zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi.

Huku tunahimizwa sana hata na mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.

Na Watawala hawako tayari kupunguza Mzigo wa Baraza la mawaziri kwa sababu limekaa kisiasa hasa kulipana fadhila.
Mjumbe wacha ujinga. Kenyavilichofanya ninkurudi nyumavili iwevkama sisi lakini bado. Wewe unaongea baraza la mawaziri wenzako wana serkali 27. Yssni kila Kabila lina serkali yake huitwa County, ina bunge ina mahakama ina serkali kamili lakini Serkalinkuu moja ya Ruto kana hii ya Samia izihudumievhizo serkali zingine 26.
 
Is not about me? Binafsi kwa level niliyopo ningekataa kwa sababu zangu.
Tunazungumzia umuhimu wao wka nchi ni upe kuwa na utitiri wa wabunge halaf effective ni wachache? The rest wanaiingizia serikali hasara

Why tusiwe na bunge dogo but effective? Chomoa viti maalum acha wanaochaguliwa na mawaziri only
Kwa mtazamo wako. Ila mimi naamini tukitaka kupunguza ile 60% ya bajeti ambayo inaenda kwenye utawala yaani matumizi ya kawaida basi tunatakiwa kukubaliana kwamba
Mbunge
Mkuu wa wilaya
Mkurugenzi
DAS
Wanafanya kazi moja. Kundi hili inabidi liwe na mtu mmoja tu ambaye hata akitumia Landcruser 300 inakuwa moja tu.
Pale mkoani Kuna
Mkuu wa mkoa
RAS
Na wakuu wa idara
Elimu
Uchumi
Afya
Na wengine ambao bao pia wana wasaidiza wao na staff wanne watano hivi. Hii yote inachangia matumizi kuwa makubwa kuliko kuleta maendeleo.
Hao viti maalumu ndio kabisa hawataki WI kuwepo. Maana kuna
Viti maalumu hawa toka chamani
Wabunge wa kuteuliwa na Rais.
TUJISAHIHISHE.
 
Mda gani? 😂😂
Tumuombe Mungu atutunze tushuhudie yajayo kwenye nchi yetu.

Sifa mojawapo kubwa ya wale GnZi ni kwamba wengi hawana Elimu ile inayoitwa kubwa ila wapo highly exposed kwenye technology na hasa huku kwenye sosho media.
Wamejikuta mtaani hawana cha kufanya na wala hawana cha kupoteza. Kizazi hicho hapa nchini Kunakuja. Vijana walio shuleni Sasa hivi kutokana na kuona kuwa Elimu sio deal tena wameona wao hata wakifeli Sawa tu yaani hawana tena uchungu na elimu. Baadae hawa watu watakuja mtaani ambako hawatakuwa na la kufanya ili waishi. Shughuli itaanza hapo
 
Sasa kama hawana Cha kufanya Serikali ndio imesababisha wakose Cha kufanya? Kwa mfano Ruto atakata hizo Bajeti wanazolalamikia nk ndio itawapa Cha kufanya?

Nadhani ni wakati wazazi kuandalia Watoto shughuli za kufanya badala ya kusubiria Serikali ambayo haiwezi wapatia hizo kazi zote.

Mfano hapa Tanzania wasomi badala ya kutumia maarifa na ujuzi kutafuta maisha wanaenda kukaa Kwa mwamposa eti wanatumia Mafuta ya upako kutafuta kazi,inawezwkanaje Sasa? 😂😂
 
Umemaliza vizuri sana
Ikigoma huko kwenye muujiza watakuja mtaani kusaka vitu kwa nguvu au waanzishe gwaride na serikali.
Kuhusu kupunguza matumizi hiyo pesa inaingia kwenye pato Kama sio kubaki pale na hiyo itafanya kodi zipungue na kupunguza ukali wa maisha.
 
Back
Top Bottom